Tanzania inawezekana? Ruto asitisha ununuzi wa Magari ya Serikali kwa mwaka mzima, Mashirika ya umma 47 yafutwa hayana tija

Tanzania inawezekana? Ruto asitisha ununuzi wa Magari ya Serikali kwa mwaka mzima, Mashirika ya umma 47 yafutwa hayana tija

Na baada ya hili linalo fuata Kenya ni kupunguza idadi ya Wabunge huenda uchaguzi ujoa Kenya ikawa na udadi ndogo sana ya Wabunge, make Raia walisha ona mzigo mkubwa uko kwenye kuendesha Serikali.

Huku tunawaza kugawa majimbo, ili kuendelea kuwapa watu ulaji.
Mkuu, ili jimbo liwe na haki ya kuwa na Mbunge lina takiwa like na vigezo vipi? katika kuzingatia eneo na idadi ya wananchi ndani ya jimbo husika.
 
Haya mambo yanayo fanyika Kenya huku yanawezekana? Tuzungumzie tu hata Mashirika ya Umma yanayojiendesha kwa hasara na still yanakumbatiwa na kupewa pesa za walipa kodi.

View attachment 3034252

Bajeti ya mwaka huu ya kununua magari ya Kifahari ya Serikali ni kubwa kuliko bajeti ya wizara kama 3 hivi.

Ni lazima tukate huu uhuni.
MIMI NI MWANA CCM, JAMBO HILI LINAFIKIRISHA! 😈
 
Leo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao ndio wanaoumia na mzigo mkubwa wa kuendesha Serikali.

======

View attachment 3034286

Kwa Tanzania hali ni tofauti, huku tunahimiza kulipa kodi ambayo sana inatumika kuendesha Serikali hasa hasa kununua Magari ya anasa.

Tuna hadi Naibu waziri mkuu cheo cha mchongo ambacho hakipo kikatba ila kimewekwa kwa sababu za siasa na mzigo tunabeba sisi.

Ukiachana na hayo bado tuna Baraza la Mawaziri kubwa sana na sana limekaa kimchongo sana.

Tanzania tuna Baraza kubwa sana la Mawaziri nazani kiliko hata Kenya ilivyo, na baadhi ya wizara zimekaa kimchongo hazina maana yoyote ile zaidi ya kuongeza mzigo kwa wananchi.

Huku tunahimizwa sana hata na mwigulu tulipe Kodi, Ila tusicho kijua hio kodi inatumika kugharamikia anasa za Watawala wa hili Taifa, huku wananchi wakiendelea kuwa masikini.

Na Watawala hawako tayari kupunguza Mzigo wa Baraza la mawaziri kwa sababu limekaa kisiasa hasa kulipana fadhila.
JPM alipofanya hivyo tukasema ni dikiteta! Kwa nini tuwe vigeu gegu?
 
Hajafanya hayo kwa kupenda ,,,huku presha ya wananchi huku presha ya wanaodai mikopo,,,,angekua na hizo akili mapema asingefikia huko, hata ule muswada ulikua kutokana na presha ya madeni japo na wao walitaka wapite humohumo kula,,kwa sasa hana namna lazima apunguze bajet akwepe kufilisika maana deni pia ni kubwa
 
Watu wakiwa madarakani wanalewa madaraka
Hivi mtu kama ana afya ya akili iliyotimamu kweli anaweza toa pesa za serikali kujengea nyumba ma Rais wastaafu halafu na wenyewe wanazipokea bila aibu yoyote ==>Halafu mtu aliefanya ubadhirifu huo watu wanamwita Rais wa Wanyonge

Benefits za wenza wa viongozi wa nchi nazo zimekaaje ?

Magari, Magari Magari Magari. Magari Magari
Hivi Africa tumeambukizana ulimbukeni wa Magari ?
Kila nchi ya Africa unasikia huo ulimbukeni
Hivi Africa kweli ni watu TIMAMU ?
 
Back
Top Bottom