Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Alibana matumizi ya serikaliJPM alifanya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alibana matumizi ya serikaliJPM alifanya nini?
Kwanza Tanzania sio Nchi iliyofilisika kama Kenya.Leo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao ndio wanaoumia na mzigo mkubwa wa kuendesha Serikali.
======
View attachment 3034286
Kwa Tanzania hali ni tofauti, huku tunahimiza kulipa kodi ambayo sana inatumika kuendesha Serikali hasa hasa kununua Magari ya anasa.
Tuna hadi Naibu waziri mkuu cheo cha mchongo ambacho hakipo kikatba ila kimewekwa kwa sababu za siasa na mzigo tunabeba sisi.
Ukiachana na hayo bado tuna Baraza la Mawaziri kubwa sana na sana limekaa kimchongo sana.
Tanzania tuna Baraza kubwa sana la Mawaziri nazani kiliko hata Kenya ilivyo, na baadhi ya wizara zimekaa kimchongo hazina maana yoyote ile zaidi ya kuongeza mzigo kwa wananchi.
Huku tunahimizwa sana hata na mwigulu tulipe Kodi, Ila tusicho kijua hio kodi inatumika kugharamikia anasa za Watawala wa hili Taifa, huku wananchi wakiendelea kuwa masikini.
Na Watawala hawako tayari kupunguza Mzigo wa Baraza la mawaziri kwa sababu limekaa kisiasa hasa kulipana fadhila.
Hoja nzuri na ndio wanafanya hivyo wanawakikisha matatizo ya wananchi. Wale wa kuchaguliwa huwa hawatoshi maana wao ni ngazi ya jimbo wakati wa kuteuliwa ni wa mkoa mzima labda. Anasemea mkoa mzima🤔.Hao ambao wanakosa nafasi hizo wanafanya kazi gani mtaani? Man hiyo ni very weak point
Pale wanaenda wawikilishi kuktatuw matatizo ya wananchi si kukaa bure tu
Ni kweli kabisa maana Kenya hawana haya mashangi sijui LC200 Mara ghafla Lc 300 na hiyo ndio weakness yao. Kenya wako weak sana hata kwenye sarafu maana yao ni ndogo sana yaani yetu 20 ni sawa na yao 1 this is weakness.Kwanza Tanzania sio Nchi iliyofilisika kama Kenya.
Pia Tzn Haina mipango Wala matumizi ya kipumbavu kama Kenya,elewa hilo.
Taifa la Wajinga, utaongea chochote ili muladi kuwafurahisha unao waabuduKwanza Tanzania sio Nchi iliyofilisika kama Kenya.
Pia Tzn Haina mipango Wala matumizi ya kipumbavu kama Kenya,elewa hilo.
So far Wiliam Ruto is the Best PresidentKumbe inawekana watu wakiwa serious kuandamana? huku wanaongezeana posho na kuiba mali za umma
Rais anayeweza kusikiliza Kero za Wananchi akaacha kutumia majeshi na Polisi huku akiwa na Rundo la Siraha na kuamua kuwa Muungwana.Leo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao ndio wanaoumia na mzigo mkubwa wa kuendesha Serikali.
======
View attachment 3034286
Kwa Tanzania hali ni tofauti, huku tunahimiza kulipa kodi ambayo sana inatumika kuendesha Serikali hasa hasa kununua Magari ya anasa.
Tuna hadi Naibu waziri mkuu cheo cha mchongo ambacho hakipo kikatba ila kimewekwa kwa sababu za siasa na mzigo tunabeba sisi.
Ukiachana na hayo bado tuna Baraza la Mawaziri kubwa sana na sana limekaa kimchongo sana.
Tanzania tuna Baraza kubwa sana la Mawaziri nazani kiliko hata Kenya ilivyo, na baadhi ya wizara zimekaa kimchongo hazina maana yoyote ile zaidi ya kuongeza mzigo kwa wananchi.
Huku tunahimizwa sana hata na mwigulu tulipe Kodi, Ila tusicho kijua hio kodi inatumika kugharamikia anasa za Watawala wa hili Taifa, huku wananchi wakiendelea kuwa masikini.
Na Watawala hawako tayari kupunguza Mzigo wa Baraza la mawaziri kwa sababu limekaa kisiasa hasa kulipana fadhila.
Wakenya siyo mafala kama sisi watanzania kuongoza hao jama ni lazima ujipange kama vile unaongoza UKSo far Wiliam Ruto is the Best President
They are heading to European standard of governance.Wakenya siyo mafala kama sisi watanzania kuongoza hao jama ni lazima ujipange kama vile unaongoza UK
Education Education Education(Lowasa)They are heading to European standard of governance.
Tanzania haijawahi na haitakuja kuwa Taifa la wajinga kama hao mbumbumbu wenzako wa Kenya unaowashabikia.👇👇Taifa la Wajinga, utaongea chochote ili muladi kuwafurahisha unao waabudu
Sasa hawana na wanauana uchumi umeharibika,Tanzania yapo na the economy is running smoothly.Ni kweli kabisa maana Kenya hawana haya mashangi sijui LC200 Mara ghafla Lc 300 na hiyo ndio weakness yao. Kenya wako weak sana hata kwenye sarafu maana yao ni ndogo sana yaani yetu 20 ni sawa na yao 1 this is weakness.
Huna haja ya kulaumu viongozi bali jilaumu wewe keboard worier na watanzania wenzakoLeo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao ndio wanaoumia na mzigo mkubwa wa kuendesha Serikali.
======
View attachment 3034286
Kwa Tanzania hali ni tofauti, huku tunahimiza kulipa kodi ambayo sana inatumika kuendesha Serikali hasa hasa kununua Magari ya anasa.
Tuna hadi Naibu waziri mkuu cheo cha mchongo ambacho hakipo kikatba ila kimewekwa kwa sababu za siasa na mzigo tunabeba sisi.
Ukiachana na hayo bado tuna Baraza la Mawaziri kubwa sana na sana limekaa kimchongo sana.
Tanzania tuna Baraza kubwa sana la Mawaziri nazani kiliko hata Kenya ilivyo, na baadhi ya wizara zimekaa kimchongo hazina maana yoyote ile zaidi ya kuongeza mzigo kwa wananchi.
Huku tunahimizwa sana hata na mwigulu tulipe Kodi, Ila tusicho kijua hio kodi inatumika kugharamikia anasa za Watawala wa hili Taifa, huku wananchi wakiendelea kuwa masikini.
Na Watawala hawako tayari kupunguza Mzigo wa Baraza la mawaziri kwa sababu limekaa kisiasa hasa kulipana fadhila.
Sasa hawana na wanauana uchumi umeharibika,Tanzania yapo na the economy is running smoothly.
Nini hoja Yako tena?👇👇
View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1808443921996947924?t=DMqPxnD9Q5jpwOjLno9xXA&s=19
Hapa yupo sahihi viongozi wetu ushamba unawasumbua wanapenda sana anasa kila kiongozi akiingia anataka gari jipya wakati nchi zetu zina mambo mengi ya muhimu kwa wananchi kama afya na miundo mbinu huo ni ushambaLeo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao ndio wanaoumia na mzigo mkubwa wa kuendesha Serikali.
======
View attachment 3034286
Kwa Tanzania hali ni tofauti, huku tunahimiza kulipa kodi ambayo sana inatumika kuendesha Serikali hasa hasa kununua Magari ya anasa.
Tuna hadi Naibu waziri mkuu cheo cha mchongo ambacho hakipo kikatba ila kimewekwa kwa sababu za siasa na mzigo tunabeba sisi.
Ukiachana na hayo bado tuna Baraza la Mawaziri kubwa sana na sana limekaa kimchongo sana.
Tanzania tuna Baraza kubwa sana la Mawaziri nazani kiliko hata Kenya ilivyo, na baadhi ya wizara zimekaa kimchongo hazina maana yoyote ile zaidi ya kuongeza mzigo kwa wananchi.
Huku tunahimizwa sana hata na mwigulu tulipe Kodi, Ila tusicho kijua hio kodi inatumika kugharamikia anasa za Watawala wa hili Taifa, huku wananchi wakiendelea kuwa masikini.
Na Watawala hawako tayari kupunguza Mzigo wa Baraza la mawaziri kwa sababu limekaa kisiasa hasa kulipana fadhila.
Mda gani? 😂😂Ni suala la muda tu
Mkuu tuanze na ukubwa wa serikali,ni kubwa mno.Leo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao ndio wanaoumia na mzigo mkubwa wa kuendesha Serikali.