Tanzania is a dictatorship country than Uganda.

Mambo ya nchi yako umeyamaliza mpaka ujiingize kwa mambo ya watanzania?
Unateseka nini juu ya Tanzania?
Waachie watanzania acha kutokwa na shipa hawajakutuma uwasemee, wivu chuki unafiki na roho mbaya zako na wakenya wenzio zinawazidi kiwango sana hasa nyakati hizi mnapobanwa kende kuliko zama zingine....

Kutwa kuchwa hamuwachi kuwasema ssma watanzania na maisha yao, kama nchi yenu nzuri mithili ya Paradise ni heri kwenu kwani Tanzania imewazuia nini ninyi kula mema ya nchi yenu?
Waacheni wapumue na nchi yao pambaneni na unyang'au wenu wapuuzi ninyi msio faa hata urafiki....
Na katika watu watanzania wanapaswa kujihadhari nao kutokana na chuki zao za wazi ninyi wakenya ni namba moja maana hakuna jema mtatamani kuliona katika hii nchi isipokuwa daima mnatafuta namna ya kulidhoofisha hili taifa, nchi yenu haina uovu mbona mwaupamba?
Tanzania kama nchi ina madhaifu yake yanayopaswa kudaiwa na watanzania wenyewe sio kupitia ufedhuli na unafiki wenu, muwe na aibu wapuuzi ninyi...
Kila siku mnakuja na thread juu ya Tanzania kwani mnateswa na nini kwenye hii nchi? Mmeombwa usaidizi hata wa sima basi muwalishe watanzania? Kuna misaada yenu inapotea bure hata muumie kiasi hicho?
Tunajua furaha yenu ni uharibifu dhidi ya hili taifa hivyo hizi hoja zenu mnaleta leta kujifariji na kutafuta namna ya kuishusha Tanzania ndani na nje ya Africa kwa namna yoyote kwakuwa kiundani kabisa mwajua mbali na jitihada zenu za ufedhuli hii nchi ni kikwazo kwenu kwani imejaaliwa kuwazidi..
Wivu dhidi ya Tanzania ukizidi kuwapelekea ukichaa wakenya. Na inafahamika mko tayari kuungana na adui yoyote dhidi ya Tanzania ili mjione mko juu.
Poleni sana..
Nobody complained when Rogo was killed, in fact almost all Kenyans appreciated the government for the good work. I myself am happy for the killing of Rogo and Makaburi.But the case of Azory nobody is happy Magufuli and his sycophants like you.
 
Hawa manyang'au yana tafuta kila sababu kutaka kujiona wako juu ya Tanzania, na wanawapata watanzania wasioitambua nia yao wanawaunga mkono, mambo ya taifa hili wayaache kabisaaaa wapambane na nchi yao ya kipuuzi wivu umewazidi umewazalishia chuki mbaya sana.
 
Acha kuungana na hao manyang'au yenye chuki dhidi ya Tanzania, nchi hii ina madhaifu mengi sana ambayo yanapaswa kusemewa na watanzania wenyewe sio hao wanaosema kwa mgongo wa kujipatia umaarufu na chuki ilhali kwao kuna upuuzi usioelezeka, haki idaiwe kwa mikono safi.
Hatuhitaji wenye chuki dhidi yetu wajifanye wasemaji wetu.
Hawaachi kuandika mabaya kwa Tanzania kila uchwao...
Wakapambane na ya kwao huko watuache kamwe hatuwafikii kwa uovu dhidi ya wananchi wao ni extra miles nyang'aus...japo uovu wa wengine haupaswi kujustify uovu wetu.
Tuache kulialia. Ni kweli mambo yanayoendelea hapa nchini kuna viashiria vya udictetor. Au kwa sababu wamesema wakenya? Wangesema wamarekani mngeona ni sawa.


Kuna ukandamizaji mkubwa wa haki za kiraia hapa nchini....
 
Huu wehu wako umezidi. Nakuhakikishia kuna wakenya hawajui Tanzania iko wapi kwa ramani. Kuna wale wanaosikiliza nyimbo za akina diamonddiamond na hawajuini wa nchi gani
 
Huu wehu wako umezidi. Nakuhakikishia kuna wakenya hawajui Tanzania iko wapi kwa ramani. Kuna wale wanaosikiliza nyimbo za akina diamonddiamond na hawajuini wa nchi gani
Pambana na nchi yako wewe mnyarawanda wa Kenya, achana na Tanzania na kila baya na zuri lao, wanaomba nini kwenu mpaka muumie kiasi hiki?
Chuki chuki chuki na roho mbaya zimekutawaleni, kwani ulisikia watanzania wakiomba watambuliwe na hao wakenya wasioijuwa ramani ya Tanzania?
Jitafakarini sana na chuki zenu, sasa mnakuja kwa mgongo wa Tanzania kuwa nchi ya kidikteta baada ya maeneo mengine kukwama na dunia kutambua ufirauni wenu dhidi ya Tanzania.
Aibu kubwa kwenu, mmeshindwa kupambana kivyenu mpaka muitaje Tanzania ndipo mfanikiwe nyang'au nyie.
 
Mimi ni mtanzania ila ukisoma comments za watanzania wenzangu kwenye huu Uzi unabaki kushika shavu na kupata huzuni

1. Watanzania tuna Low IQ ,

2. Hatujielewi

3. Hatujui tunataka nini

4. "Uvyama" umetutawala kuliko "Utanzania"

5. Kiwango cha kureaaon mambo ni cha hali ya chini kuliko binadamu yoyote duniani. Hili Niko radhi kusimama kokote kwasababu nimekutana na watu wa mataifa tofauti tofauti na kupima uelewa wao wa kureason vitu .. Watanzania tuko chini mno.


6. Watanzania hatujui haki zetu. Haki kwa mtanzania ni zawadi toka kwa mtawala.


7. Mtanzania ndio binadamu pekeee ambae yuko radhi kuandamana kwa kumtetea zari , diamond au alikiba ila hawezi kuwa na maamuzi magumu kwa mafuta ya petrol kupanda bei, gharama za Umeme kuwa juu, kutopandishwa mishahara na madaraja kazini , n.k

8. Tanzania ndio nchi peke duniani kila kitu ni siasa .. Kwenye misiba watu wanaweka siasa , michezo ni siasa, kila kitu kinafanywa kwa advantage za kisiasa. Kaka umewahi tembelea walau hata nchi 5 za Sadc utajionea u tofauti ...


Ngoja niishie hapa ila hii nchi imeshajiozea
 
Yawezekana ana interest, kwani hujui kuna EAC kuelekea nchi moja?
Kuna ukweli usiopingika kuwa Tanzania ndio nchi tishio kwa harakati za Kenya kujifanya super power afrika mashariki ikiwezekana afrika japo kiuhalisia hawana huo ujanja, sasa ili kuidhoofisha Tanzania ndipo hujikuta wivu na chuki unakolezwa na hutafuta mambo meusi meusi mengi kuyasambaza duniani kwa kukolezea chumvi ili adhma itiimie.
Huwezi kuwakuta wakiizungumzia Uganda au nchi nyingine ya afrika mashariki zaidi ya Tanzania kwakuwa kiundani kabisa wanatambua tishio lao kwenye ufirauni na unyang'au ni Tanzania...
Tanzania kwa sasa ina changamoto sana kwenye utendaji wa viongozi na watu wa usalama, ni jambo la kitaifa sio la wakenya kutujadili ilhali hawana lolote kwetu zaidi wanataka kuonyesha ulimwengu watimize adhma zao.
 
Usisahau watanzania wako tayari kuungana na nyang'au yoyote bila kujua ana agenda gani na kuikandamiza nchi yake, mambo ya watanzania wayamalize watanzania wenyewe maana wana nafasi ya kufanya hivyo bila kujali itikadi, huyu mkenya anapata wapi ujasiri wa kuzungumzia Tanzania kama sio ajenda ya chuki wakati nchi yake ni ya hovyo na watu wanauwawa kila kukicha na serikali yake anapazia sauti wapi?

Watanzania wapambane juu ya nchi yao bila kutoa nafasi ya kusemewa mambo wanayoyaona wenyewe..
 
Nachocheka hii thread kaandika mkenya hahaha... Sijui mambo ya tz na ug yanamhusu nini... Nyege mbayaa aseee

Elimu sio kukaa tu darasani,pamoja na mda uliokaa darasani unaandika ujinga wa kiwano hiki?
 
Eti mambo ya watanzania wayamalize watanzania wenyewe , Mbona miradi ya afya ,elimu , "ukimwi " na miundombinu tunaomba misaada nje ..


Mbona tunakimbilia kukopa world bank na nchi za nje ili kutatua changamoto zetu .. Kwanini tusishuglikie hizo changamoto sisi wenyewe kama usemavyo..


Wewe unaonesha kama si kunithibitishia kuwa hii nchi RAIA wake wana Low IQ ya kiasi kikubwa inayotokana na mfumo mbovu wa elimu, lishe duni (umasikini ) n.k
 
 
Kweli uchambuzi wako hasa kwenye low IQ point unakuhusu sana.
Asante kwa kumbukizi...
 
Ili kuja kuwaelimisha watu wapumbavu wasiojua umuhimu wa kufuata sheria na taratibu walizojiwekea kama nchi.
Hujitambui ni mtumwa wa fikra mijitu aina yako itaifanya Africa isiendelee miaka mamilioni maana mpo wengi mnafikiri kwakutumia miguu badala ya kichwa
 
Acha kulia basi. With the trend of killing and abduction Magufuli is making headlines as the new dictator in the continent. Do you know the reason Tanzania was ranked third in most depressed countries? Because mko na shida kuliko Somalia na South Sudan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…