TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,079
- 3,367
Anko so umeamua kujibu hata visivyokuhusu..una stress na we unaonesha ni mvivu.. Fanya kazi siasa haitakulishaa..Watu wa chache kwa tamaa ya uongozi na umasikini wa fikra mnatufanya tunaishi kama wakimbizi katika inchi yetu kwanini?
Kupelekwa polisi siku hizi ni kutekwa??? Aiseee tafuteni ajira muuwe bize mambo ya kushinda vijiweni ndio mnajipa stori ka hizoo???Hujui kuwa wiki iliyoisha Jana tu katekwa MDUDE na Wakili wa kujitegemea ?
Elimu sio kukaa tu darasani,pamoja na mda uliokaa darasani unaandika ujinga wa kiwano hiki?
Kashtaki Anko ruksaaAcha kulia basi. With the trend of killing and abduction Magufuli is making headlines as the new dictator in the continent. Do you know the reason Tanzania was ranked third in most depressed countries? Because mko na shida kuliko Somalia na South Sudan.
Angekua anajitambua asingeamua kubakaHautumii akili umeshikwa haujitambui
Anayejitambua ni mzazi wako aliyekubali kumchanulia miguu mlevi ili abakweHujitambui ni mtumwa wa fikra mijitu aina yako itaifanya Africa isiendelee miaka mamilioni maana mpo wengi mnafikiri kwakutumia miguu badala ya kichwa
Punguza povu mkuu pambana na hoja sio mleta hoja!!Mambo ya nchi yako umeyamaliza mpaka ujiingize kwa mambo ya watanzania?
Unateseka nini juu ya Tanzania?
Waachie watanzania acha kutokwa na shipa hawajakutuma uwasemee, wivu chuki unafiki na roho mbaya zako na wakenya wenzio zinawazidi kiwango sana hasa nyakati hizi mnapobanwa kende kuliko zama zingine....
Kutwa kuchwa hamuwachi kuwasema ssma watanzania na maisha yao, kama nchi yenu nzuri mithili ya Paradise ni heri kwenu kwani Tanzania imewazuia nini ninyi kula mema ya nchi yenu?
Waacheni wapumue na nchi yao pambaneni na unyang'au wenu wapuuzi ninyi msio faa hata urafiki....
Na katika watu watanzania wanapaswa kujihadhari nao kutokana na chuki zao za wazi ninyi wakenya ni namba moja maana hakuna jema mtatamani kuliona katika hii nchi isipokuwa daima mnatafuta namna ya kulidhoofisha hili taifa, nchi yenu haina uovu mbona mwaupamba?
Tanzania kama nchi ina madhaifu yake yanayopaswa kudaiwa na watanzania wenyewe sio kupitia ufedhuli na unafiki wenu, muwe na aibu wapuuzi ninyi...
Kila siku mnakuja na thread juu ya Tanzania kwani mnateswa na nini kwenye hii nchi? Mmeombwa usaidizi hata wa sima basi muwalishe watanzania? Kuna misaada yenu inapotea bure hata muumie kiasi hicho?
Tunajua furaha yenu ni uharibifu dhidi ya hili taifa hivyo hizi hoja zenu mnaleta leta kujifariji na kutafuta namna ya kuishusha Tanzania ndani na nje ya Africa kwa namna yoyote kwakuwa kiundani kabisa mwajua mbali na jitihada zenu za ufedhuli hii nchi ni kikwazo kwenu kwani imejaaliwa kuwazidi..
Wivu dhidi ya Tanzania ukizidi kuwapelekea ukichaa wakenya. Na inafahamika mko tayari kuungana na adui yoyote dhidi ya Tanzania ili mjione mko juu.
Poleni sana..
Hahahahaha, nchi inayowapiga risasi wananchi na kuwauwa kwasababu tu wanafanya maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi, na nchi inayokamata watu upi ni udikteta mbaya zaidi?Nikisema Tanzania ni dictatorship country mnaona vibaya. On a sasa huyu jamaa alishikwa just because he said that your SGR is built using borrowed money na pia uchumi wenyu haikuwi kwa 7% venye your dictator is trying to say.
Tundu was shot 16 times, luckily he didn't die.
Yes one people was injured in Tanzania vs 70 people killed in Kenya, which is a dictatorial country?Kenya: Police Killed, Beat Post-Election Protesters
Kenyan police killed at least 33 people, possibly as many as 50, and injured hundreds more in some parts of Nairobi, the capital, in response to protests following the August 8, 2017 elections. Dozens of people were killed and many more left with life-altering injuries in attacks by the police...www.hrw.org
Hapana ni one people. Jibu swali la msingi acha ujingaNi one person not one people. Ama hiyo pia umetoa google?
Usikimbie hoja, Tanzania MTU mmoja(Lisu), alijeruhiwa, Kenya watu 70 waliouliwa kwa risasi, wapi kuna udikteta wa kutisha?Nenda ukagoogle alafu urudi. Wewe nakujua na kugoogle every word.
Kenya haiko kwa list ya dictatorship countries.Usikimbie hoja, Tanzania MTU mmoja(Lisu), alijeruhiwa, Kenya watu 70 waliouliwa kwa risasi, wapi kuna udikteta wa kutisha?
Kenya: Police Killed, Beat Post-Election Protesters
Kenyan police killed at least 33 people, possibly as many as 50, and injured hundreds more in some parts of Nairobi, the capital, in response to protests following the August 8, 2017 elections. Dozens of people were killed and many more left with life-altering injuries in attacks by the police...www.hrw.org
Sawa tu, kwasababu maisha ya wakenya hayana thamani. Mtanzania mmoja akijeruhiwa, dunia inajua na kupiga kelele, na kuiweka Tanzania katika list ya dictatorship, Ila Wakenya 70 wakiuliwa is normal na hakuna MTU anajali.Kenya haiko kwa list ya dictatorship countries.
Total is seven of them, compare with this;