Hapo umekosea kidogo, Russia hakwenda Syria Kama swaga, Bali pale Ni sehemu ya ulinzi wa bomba la gesi yake kwenda ulayaRussia alienda kumsaidia Syria nchi njaa kali hamna mafuta wala nini just kwa kujimwambafai na swagger sababu alijua wa US anatajiingiza
Ethiopian akiongea vizuri na Putin na Xi
Mwarabu atapotezea ishu yote vita
Tanzania iwe upande wa Ethiopia hiyo mikataba aliikataa Nyerere baada ya kupata uhuru kila nchi inabidi kupata maendeleo kwa rasilimali ilizonazo hao misri waliwahi kufunga mfereji wa Suez canal walipogombana na Israel
Mbali na kutoa maji ziwa victoria kwenda mikoa ya Shy na Tbr, tumefuta sharti la kuzuia matumizi ya maji chini ya ardhi bila kibali.Hao Egypt "waliudindia" hata mradi mkubwa wa Tz wa kupeleka maji ya Ziwa Victoria Shy-Tabora-Singida-Dodoma.
Kwa hiyo hao maustadhi ni adui wa kila mwenye interest na maji ya Nile.
Hizi serikali zinatumia pesa kuhakikisha misitu na vyanzo vingine vinavyoleta maji kwenye vyanzo vya Nile haviharibiwi halafu hao jamaa mkitaka kuyatumia wanaibuka na mkataba wa 1919 wa mkoloni.
Upande wetu unajulikana,hata tusiposhiriki.
mkandarasi ni from misri there na kuna baadhi ya gharama ni juu yake japo kuna madai kuwa urusi pia imetupiga tafuHivi bwawa letu la rufiji hydropower Ni mkandarasi kutoka wapi?. Megawatt 2115 ambazo zikikamilika tutakuwa donor country.
Kwahiyo wao kutushambulia kwa manuwari za kivita na mafighter jets unaona ni sawa tu, ila sisi kuwawekea sumu kwenye maji unashtuka?! Haha, kuna nati zinaanza kulegea kwenye Cpu yakoWewe inaonekana huzitakii mema nchi zetu yaani uweke sumu kwenye maji kabisa.
Mkuu hapo ndipo tutachakazwa tuchakae kwelikweli.
Yaani nakwambia tutapotea.
Kumpiga mhabeshi misri itamchukua siku tatu tu ashaweka kambi somaliland na jibuti halafu misri wana mfumo wa kuzuia makombora wa thad na S 3000 unategemea nini
Mto Nile kuwa wa Egypt ni mkataba au sheria?Kwani huo Ni mkataba au sheria? sheria anadumu hadi hapo itakapotenguliwa. Mfano, Kuna ipo sheria inayokataza baba kumuoa Binti yake, au kuzini au kusengenya. Inadumu tangu enzi na enzi. Leo hii ukimuoa Binti yako au mama yako unafungwa jela
Huyo anaakili za kitumwa, Marekani akitutishia kutupiga bomu la nuclear ambalo linamadhara kwa maelfu na maelfu ya miaka (radioactivity) ataitwa mbabe wa vita, sisi tukitishiq kuweka sumu ya panya mto Nile anashangaaMzee kwani nuclear haiui kila kitu? Kwani hakuna biological weapons? Mbona sila hizo na zimetumika na hakuna aliyeshitakiwa?: Vita haina macho.
Hivi unagombaniaje mali iliyo ndani ya mipaka ya mwenzio, hapo hakuna kugombania, hapo ni kuporana, tofautishaTanzania haitakiwi kuegemea upande wowote zaidi ijikite kushawishi nchi mbili hizi kufikia makubaliano mazuri namna ya matumizi ya Maji. Wanayogombania. Sema Misri ni watata sana kwenye Suala la kutumia maji ya mto Nile .
Mwahiyo wakati Ethiopia ananyolewa sisi tuanza kutia maji nywele zetu kusubiri na sisi tunyolewe, si ndio??!!!Chonde Chonde Chote. Naomba katika hili tuweke records sawa. TANZANIA SIASA YETU NI YA KUTOKUFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE . Tusije tukaacha reli bali tusimamie nafasi yetu ya upatanishi kwa kuona haki, changamoto na udhaifu wa kila upande ili kusadifu miafaka isiyo hila wala unafiki. HII NDIYO TANZANIA HALISI.
Hapo ndio uone akili za hao nguruwe wakimbizi wahamiaji wa kiarabu zilivyo mbovu sasaKwani ilo bwawa baada ya kujaa maji si huendelea na mkondo kama kawaida....Nijuavyo mimi kufua umeme hakupunguzi maji bali lile bwawa hutumika kuyashape maji kutengeneza mechanism itakayozalisha umeme.Baada ya maji kutengeneza mechanism iyo maji huendelea na mkondo wake kama kawaida.Naruhusu kukosolewa
duuh hii mbona inaweza ikawa Vita mbaya mbaya saaana hii!!Tuwe waangalifu tunapoikataa mikataba iliyowekwa na wakoloni wakati ukoloni. Mkataba uliowapa Misri haki ya kwanza kwenye utumiaji wa maji ya mto Nile uliwekwa wakati wa ukoloni na wakoloni kwa manufaa ya wakoloni, sawa na mipaka ya nchi zetu iliyoko Sasa.
Je, nchi zetu ziko tayari kuachana na mipaka ya wakoloni ili tuligawe upya Bara la Africa? Iko nchi itakubali kuwa mipaka ya wakoloni haifai tuanze upya. Hata Misri kwenye hili inawezekana kuwa Ina hoja
Kwani ilo bwawa baada ya kujaa maji si huendelea na mkondo kama kawaida....Nijuavyo mimi kufua umeme hakupunguzi maji bali lile bwawa hutumika kuyashape maji kutengeneza mechanism itakayozalisha umeme.Baada ya maji kutengeneza mechanism iyo maji huendelea na mkondo wake kama kawaida.Naruhusu kukosolewa
Alaaa basi nikisanga hapo kwenye ujazajiutata upo hapo jinsi ya kulijaza hilo bwawa Ethiopia wanataka kulijaza kwa mkupuo yaani wachepusha maji mpaka bwawa lao lijae na ili hilo bwawa lijae linaweza kutumia miezi 6 mpaka mwaka 1
misri yeye anataka lijazwe kwa awamu kwamba maji kidogo yaelekezwe kwenye bwawa alafu mengi yaendelee to misri hii njia anayopendekeza misri itatumia miaka 3 au 5
all in all hawawezi kuingia vitani nadhani Ethiopia anatafuta tu kupewa offer nzuri na wamisri
Mwahiyo wakati Ethiopia ananyolewa sisi tuanza kutia maji nywele zetu kusubiri na sisi tunyolewe, si ndio??!!!
Mi sijazungumzia Ethiopia, mi nilikuwa namjibu mdau kuhusu Egypt na Israel kabla wewe hujaingiaSasa kama Egypt ni nchi ndogo sana duniani na ni kubwa Afrika, Ethiopia iko Asia?
Then Anwar Sadat hakuuwawa na wananchi wenye hasira kali. Au unamaanisha wananchi wa Misri wanaruhusiwa kumiliki assaurt rifles tena kwenye sherehe za kitaifa.
Misri hawasaidii, wali apply tender Kama makampuni mengine yalivyo apply wao ndio wakachaguliwa, hakuna msaada paleHata Egypt anafahamu Tanzania ndio taifa lenye nguvu kubwa ya kijeshi katika ukanda huu, takwimu wanazo. Hivyo kusaidia ujenzi wa Nyerere hydro sio kwa bahati mbaya. Inawezekana Ni strategy kuelekea Ethiopia. Kihistoria Egypt Ni rafiki yetu zaidi kuliko Ethiopia
Nani kakudanganya Syria haina mafuta au haina chochote Cha kuinufaisha Urusi?Russia alienda kumsaidia Syria nchi njaa kali hamna mafuta wala nini just kwa kujimwambafai na swagger sababu alijua wa US anatajiingiza
Ethiopian akiongea vizuri na Putin na Xi
Mwarabu atapotezea ishu yote vita
Kutofungamana na upande wowote ilikuwa Ni with respect to Cold War, West vs East, Tena by defacto ilikuwa EastChonde Chonde Chote. Naomba katika hili tuweke records sawa. TANZANIA SIASA YETU NI YA KUTOKUFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE . Tusije tukaacha reli bali tusimamie nafasi yetu ya upatanishi kwa kuona haki, changamoto na udhaifu wa kila upande ili kusadifu miafaka isiyo hila wala unafiki. HII NDIYO TANZANIA HALISI.