... pia kingine ni wakati muafaka kwa Misri kuwa na proper birth control kuhakikisha population yao ni proportional na resources ya (sio za) maji waliyo nayo - The Nile. Wanajua the only water source waliyo nayo ni hiyo for everything drinking, industrial, irrigation, etc. whatever you name halafu kwa kuzaliana hawajambo; I think third in Africa after Nigeria and Ethiopia. Wawe na mpango wa makusudi wa kudhibiti ongezeko la watu vinginevyo soon itakula kwao hata ya kunywa watayakosa wakifanya mchezo.
Mkuu
RTI kasema Ethiopia wasijitoe ufahamu kujipima kifua na Misri ni kweli, Misri wako mbali kijeshi kuliko Ethiopia, lakini hata wakipigwa leo hawatalala nao watakuwa na mpango wa muda wa kati na mrefu 25, 50, 100 years kuja ku-retaliate. Ni kama China, Iran, NK leo wanavyotunishiana misuli na US wakati miaka michache iliyopita walikuwa si lolote.
So, in the long run, millitary approach might not be useful for Egypt, badala yake mipango madhubuti ya kuendana na resources zitakazokuwa zinapatikana by then. Of course hii inahusu nchi zote sio kufyatua fyatua ovyo wakati unajua resources za kulisha na kunywesha watu wako ni finyu.