Tanzania katika mtanziko; Hakuna umeme, sukari wala dola. Serikali inachukua hatua gani?

Yaani.

Halafu unakuta nao upinzania wanaingia maridhiano na watu wa aina hiyo wasiojali kabisa wananchi.
 
Paper economy!
 
Yaani.

Halafu unakuta nao upinzania wanaingia maridhiano na watu wa aina hiyo wasiojali kabisa wananchi.

Kwenye hilo Mbowe alichemka sana. Sijui walikuwa wanaingia maridhiano kutafuta nini.

Nina hakika Mbowe mwenyewe atakuwa anajilaumu kwa kudanganyika.

Hatuwezi kumlaumu sana maana walimtaimu mara alipotoka jela. Jela, lazima inakutoa kwenye akili ya kawaida. Ndiyo maana wanapenda sana kuwapeleka jela wakosoaji ili wavurugikiwe akili waweze kuwa-win kiurahisi.
 
Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola.
Soon maji yataanza mgao na mafuta yatapanda Bei
 

Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa uchumi wa nchi unaweza kukua bila umeme.

Ndugu yangu usiwaamini hawa wafia CCM, wamehitimu katika uwongo na hadaa. Hawa wanaweza kumhadaa ombaomba kuwa yeye ni tajiri sana, naye akaamini.
 
Viatu alivyovaa mwamba wengi visingewatosha
 
Samia ametharau wananchi ,umeme hakuna,sukari hakuna yeye amekimbilia Ethiopia
Hatukumchagua,

Yeye anaamini dodo lilimdondokea.

Tuendelee kupaza sauti kupitia maandamano ya Amani, huko ndiko kwenye majibu yetu wananchi.
 
Anakimbia majukumu kwa kujitungia tu safari zisizokua na mwisho.

Kaenda Vatican, kaunganisha Norway kaenda kwenye msiba na sasa yupo Ethiopia.

Huku nyumbani kuna waka moto.
Na bado mpaka unye mavii chakubanga wewe si ulichagua mwenyewe 2020
Jaman kazeni haswa mpaka wahame nchi
Mi nalamba asali tuu nipo mpakan huku sukar 2500 sijawah ona umeme umekatika huku

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…