Tanzania katika mtanziko; Hakuna umeme, sukari wala dola. Serikali inachukua hatua gani?

Tanzania katika mtanziko; Hakuna umeme, sukari wala dola. Serikali inachukua hatua gani?

Sukari sio lazima mnalia lia nini? Kila siku mnaambiwa madhara ya sukari ni mengi bado mnalialia kuikosa.
 
Wewe mwenyewe ni kenge mkuu mshabiki wa chama chakavu bado hujasema ngoja mimi nilambe asali pambana na hali yako mbeya wewe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa wa kuuitwa stroke ni nafiki lililokubuhu.

Ni chawa kutoka CCM huyo.

Amepigwa Stroke miaka sasa imepita hajapona.

Miaka ya nyuma alikuwa na tabia kama ya Lucas Mbwa wa shamba sasa hivi anakuja kulilia lia hapa. Pumbavu.
 
Changamoto kibao bado kuna mazuzu yanajazana kwenye mikutano ya Makonda Hopeless kabisa. Sukari ipande kilo moja ifike 10,000/= labda akili zitatukaa sawa.
 
Viatu alivyovaa mwamba wengi visingewatosha
Mkuu umesema kweli, wanadhani ni jambo rahisi namna hiyo. Mwamba amefanya alilistahili kufanya maana amekubali nasi tumeujua uongo wao. Angekataa kuzungumza nao wangetumia kigezo kuwa Chadema ni wakorofi hawataki majadiliano.
 
Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola.

Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi.

Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata ufumbuzi wa kudumu na hali ikizidi kuwa mbaya kila siku.

Sukari nayo kila mtu anauza anavyojisikia.

Uhaba wa dola nao ukishika kasi.

Kama kweli uchumi unakua, itakua ajabu kama dola zitaadimika.

Maana factor moja wapo ya kukua kwa uchumi ni ongezeko la mauzo ya nje , na mauzo ya nje ni fedha za kigeni. Dola inaadimikaje.

Kukua kwa uchumi means ongezeko la uzalishaji.

Uzalishaji unaongezekaje kama hakuna nishati ya uhakika??

Kukua kwa uchumi means bei ya bidhaa kuwa stable, huu uchumi wa kukamiana kwa bei za bidhaa ni kwa baadhi ya wafanyabiashara tu sio wananchi.

Viongozi wetu hatuwaoni wakijihusisha na mambo haya.

Serikali ina mpango gani kuaddress hizi issues.??
Hapa ndilo lilipo tatizo kuu la watanzania i.e. kudhani sisi raia kazi yetu ni kukaa na kuna watu wakutufanyia kila kitu. Swali: huoni thread yako ingekuwa na maana sana kama ungeuliza ''wananchi tunachukuwa hatua gani?'' Serikali ni mwajiriwa wa wananchi, na kawaida mwajiriwa asipofanya kazi yake, mwajiri ndiye anapaswa kuchukuwa hatua na siyo mwajiri eti umlilie mwajiriwa achukuwe hatua. Tukiwa na mategemeo ya aina hii, tutasubiri sana na sisi ndiyo tutazidi kuumia.
 
Nadhani hayo matatizo ndiyo yanamfanya Mama asafiri Sana, maana akibaki ndani humu mtapigia kelele.
 
Ningependa kuelewa kwa kina somo la uchumi wa nchi kufilisika

Ni vigezo gani hutumika?
Unajua !kitu kinaitwa"Momentary policy'.enzi za Mh,Mkapa ndie baba wa Micro financiers hapa Tz,na ndio mwanzo wa watumishi wa umma kuwa na Magari na Majumba.forget about ufisadi, watu waliweka fedha zao benki na walipewa interest(motisha)kama unajambo unaenda benki unakopa,Sasa ukiweka fedha benki watakuuliza,watakutoza wenye benki,na serikali itakutoza Kodi ya fedha net off tax ulizoweka akiba,usidhani Dola hazipo watu wameamua kuziweka kwenye mizinga,wakisaka kama sukari watazikuta zimefanywa magodoro,eti Toka lini fedha zikawa bidhaa mpaka zitozwe Kodi!.tutengeneze sera nzuri za fedha Dola zitakuwa tele...
 
Kwenye hilo Mbowe alichemka sana. Sijui walikuwa wanaingia maridhiano kutafuta nini.

Nina hakika Mbowe mwenyewe atakuwa anajilaumu kwa kudanganyika.

Hatuwezi kumlaumu sana maana walimtaimu mara alipotoka jela. Jela, lazima inakutoa kwenye akili ya kawaida. Ndiyo maana wanapenda sana kuwapeleka jela wakosoaji ili wavurugikiwe akili waweze kuwa-win kiurahisi.
Mkuu yale maridhiano yalikuwa muhimu sana sana. Kama yasingekuwepo, CCM ingekuwa ndiyo wimbo wake, kuwa ''hawa wanataka fujo wakati sisi tulikuwa tupo tayari tukae tuzungumze''. Na kingine: kuna vitu vingi sana vinaendelea behind the scene ambavyo wananchi wa kawaida hawawezi kuvijua. Balozi za nchi za Magharibi na USA zilikuwa zinasukuma sana kuwe na mazungumzo na Samia baada ya kuapishwa, alikuwa kila akiwaambia mazungumzo ndiyo the best way. Usione hata haya maandamano yanayofanyika sasa hivi udhani ni utashi wa serikali ya CCM per se... no. Kuna pressure kubwa kweli kweli kutoka nchi wahisani kutaka kuwe na uhuru wa mawazo na Samia anajua atapata shida kama ataonyesha jeuri.
 
Serikali nzima jana ilikuwa msibani kwa Edward Ngoyai Lowassa huko Monduli Arusha.

Kama ulikuwa unawatazama vyema kwenye nyuso zao kuanzia Rais, VP, PM na Spika wa bunge, ni kana kwamba hawaoni na hawajui kabisa kuwa nchi iko ktk mkwamo mkubwa tokana na matatizo haya

Yaani hawajui kabisa kuwa nchi iko gizani, haina umeme, haina fedha za kigeni na bidhaa muhimu (sukari) zimeadimika na maisha ya wananchi wa kawaida kuwa magumu kupita kiasi.

Lakini huyu mtu mama tunayemwita "Rais" ukimtazama mara zote yuko comfortable anavimba mashavu tu, she's completely unaware of these problems. Inafikia mtu anajiuliza nchi hii ina kiongozi kweli au tuna sanamu ya mwanamke fulani tu pale yenye jina la Rais?

Huyu mama Rais Samia kafanya kosa kubwa sana kawaachia wahuni kina Mwigulu Nchemba, kina Paulo Makonda, kassimu Majaliwa kuindesha nchi hii watakavyo huku yeye akila misele tu huko duniani akiacha matatizo kama haya nchini mwake yakishamiri. Muda si mrefu atajuta kuzaliwa na kuwa Rais.!

Kama kuna mambo yanayopaswa kuiangusha serikali hii Sasa ni haya.

Inashangaza kuwa hata haya maandamano yanayoratibiwa na CHADEMA si aggressive kwa kiwango cha kuwashitua wenye madaraka. Maandamano haya - address haya maswala kwa ufasaha and aggressively kiasi cha kuwaamsha usingizini hawa watu.

Tuwaambie CHADEMA wabadili mbinu. Vinginevyo wanajichosha tu kutembea. Kiuhalisia kama Yale ya DSM na Mwanza pekee yangekuwa aggressive, tungeshaona mabadiliko kwa muda huu mfupi. Lakini kwa kuwa mnawabembeleza hawa watu, basi mtamaliza miji yote na kunaweza kusiwe na matokeo!!

Ishu ya umeme inawaathiri uchumi wa wananchi kwa kiwango kikubwa sana. Wananchi wana hasira na hawaelewi kabisa ni kwanini Iko hivi huku kiongozi mkuu wa nchi akichukulia poa tu..
Kweli lugha ya maandamano ibadilike na kuwa kali zaidi ili raia sasa nao wakasirike. Na hao waretezi wa mfumo kwa vile wanapata maslahi waadhibiwe na jamii kwa kutengwa hata kuzomewa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kwenye hilo Mbowe alichemka sana. Sijui walikuwa wanaingia maridhiano kutafuta nini.

Nina hakika Mbowe mwenyewe atakuwa anajilaumu kwa kudanganyika.

Hatuwezi kumlaumu sana maana walimtaimu mara alipotoka jela. Jela, lazima inakutoa kwenye akili ya kawaida. Ndiyo maana wanapenda sana kuwapeleka jela wakosoaji ili wavurugikiwe akili waweze kuwa-win kiurahisi.

Ni miezi mingi sasa imeshapita, akili ya jela ishamuisha na maridhiano sio kiapo cha damu anaweza kujitoa na kutupa msimamo wake.

Siku ikikubalika bila uwoga wala unafiki kwamba Mbowe nae ni wa Jezi moja, kuna hatua kubwa tutapiga Kama taifa.
 
Hapa ndilo lilipo tatizo kuu la watanzania i.e. kudhani sisi raia kazi yetu ni kukaa na kuna watu wakutufanyia kila kitu. Swali: huoni thread yako ingekuwa na maana sana kama ungeuliza ''wananchi tunachukuwa hatua gani?'' Serikali ni mwajiriwa wa wananchi, na kawaida mwajiriwa asipofanya kazi yake, mwajiri ndiye anapaswa kuchukuwa hatua na siyo mwajiri eti umlilie mwajiriwa achukuwe hatua. Tukiwa na mategemeo ya aina hii, tutasubiri sana na sisi ndiyo tutazidi kuumia.

Uko sahihi.

Matatizo ya hii nchi ni wananchi wenyewe na wala sio viongozi wala Serikali wala wanasiasa!

Watanzania ni chanzo cha matatizo yanayowakumba wao wenyewe.
 
Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola.

Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi.

Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata ufumbuzi wa kudumu na hali ikizidi kuwa mbaya kila siku.

Sukari nayo kila mtu anauza anavyojisikia.

Uhaba wa dola nao ukishika kasi.

Kama kweli uchumi unakua, itakua ajabu kama dola zitaadimika.

Maana factor moja wapo ya kukua kwa uchumi ni ongezeko la mauzo ya nje , na mauzo ya nje ni fedha za kigeni. Dola inaadimikaje.

Kukua kwa uchumi means ongezeko la uzalishaji.

Uzalishaji unaongezekaje kama hakuna nishati ya uhakika??

Kukua kwa uchumi means bei ya bidhaa kuwa stable, huu uchumi wa kukamiana kwa bei za bidhaa ni kwa baadhi ya wafanyabiashara tu sio wananchi.

Viongozi wetu hatuwaoni wakijihusisha na mambo haya.

Serikali ina mpango gani kuaddress hizi issues.??
Hayo ni tisa. Kumi ni hili bom la Ukosefu wa ajira ilhali mavyuo kedekede yanaendelea kufyatua wataalam vijana na ambao ni substandard (incompetent). Iko siku wataingia mitaani kwa wingi wao baada ya kuchoka kuwa Aido.
 
Back
Top Bottom