Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Dolla za nini,kwa nini tusi trade na partners wetu kwa fedha zetu.why USD??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
why USD??Dolla za nini,kwa nini tusi trade na partners wetu kwa fedha zetu.why USD??
Dalili za mwisho wa Ulimwengu huu [emoji209]
wakenya bana
Mama anajitesa bure atowe ruksa tuuTanzania hakuna umeme, sukari wala dola.
Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi.
Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata ufumbuzi wa kudumu na hali ikizidi kuwa mbaya kila siku.
Sukari nayo kila mtu anauza anavyojisikia.
Uhaba wa dola nao ukishika kasi.
Kama kweli uchumi unakua, itakua ajabu kama dola zitaadimika.
Maana factor moja wapo ya kukua kwa uchumi ni ongezeko la mauzo ya nje , na mauzo ya nje ni fedha za kigeni. Dola inaadimikaje.
Kukua kwa uchumi means ongezeko la uzalishaji.
Uzalishaji unaongezekaje kama hakuna nishati ya uhakika??
Kukua kwa uchumi means bei ya bidhaa kuwa stable, huu uchumi wa kukamiana kwa bei za bidhaa ni kwa baadhi ya wafanyabiashara tu sio wananchi.
Viongozi wetu hatuwaoni wakijihusisha na mambo haya.
Serikali ina mpango gani kuaddress hizi issues.??
Pole Nifah , ndo nchi yetu hii ambayo viongozi wetu wapo kwa ajili ya maslahi yao wenyewe.Nimetoka kununua sukari 5,000/= kwa kilo nimeumia sana.
Una heri weweNimetoka kununua sukari 5,000/= kwa kilo nimeumia sana.
Mkuu sikuhizi akili imekukaa vizuri? Vipi unazungumziaje hadaa za makonda je ni utatuzi wa mambo au dhihaka kwa watanzania?Haya mambo hayapaswi kufichwa fichwa.
Serikali iyashughulikie kwa uwazi.
Madhara yake ni makubwa kwa uchumi yakiachwa yaendelee kwa muda mrefu.
KWANI MWENEZI MAKONDA ANASEMAJE?Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola.
Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi.
Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata ufumbuzi wa kudumu na hali ikizidi kuwa mbaya kila siku.
Sukari nayo kila mtu anauza anavyojisikia.
Uhaba wa dola nao ukishika kasi.
Kama kweli uchumi unakua, itakua ajabu kama dola zitaadimika.
Maana factor moja wapo ya kukua kwa uchumi ni ongezeko la mauzo ya nje , na mauzo ya nje ni fedha za kigeni. Dola inaadimikaje.
Kukua kwa uchumi means ongezeko la uzalishaji.
Uzalishaji unaongezekaje kama hakuna nishati ya uhakika??
Kukua kwa uchumi means bei ya bidhaa kuwa stable, huu uchumi wa kukamiana kwa bei za bidhaa ni kwa baadhi ya wafanyabiashara tu sio wananchi.
Viongozi wetu hatuwaoni wakijihusisha na mambo haya.
Serikali ina mpango gani kuaddress hizi issues.??
Naunga mkono hojaRaisi anapimwa kwa uwezo wake wa kukabiliana na changamoto.
Wa kwetu anazurura tu huko nchi za watu.
Tumlaumu magufuli kwa kutuletea huyu raisTanzania hakuna umeme, sukari wala dola.