Tanzania katika mtanziko; Hakuna umeme, sukari wala dola. Serikali inachukua hatua gani?

Samia ni failure, alisema katiba mpya isubiri ajenge uchumi, sasa ni miaka mitatu hatuna katiba bora wala uchumi imara, thamani ya shilingi inashuka, hana legacy yoyote, mitano mingine ya nini
 
Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola.

Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi.

Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata ufumbuzi wa kudumu na hali ikizidi kuwa mbaya kila siku.

Sukari nayo kila mtu anauza anavyojisikia.

Uhaba wa dola nao ukishika kasi.

Kama kweli uchumi unakua, itakua ajabu kama dola zitaadimika.

Maana factor moja wapo ya kukua kwa uchumi ni ongezeko la mauzo ya nje , na mauzo ya nje ni fedha za kigeni. Dola inaadimikaje.

Kukua kwa uchumi means ongezeko la uzalishaji.

Uzalishaji unaongezekaje kama hakuna nishati ya uhakika??

Kukua kwa uchumi means bei ya bidhaa kuwa stable, huu uchumi wa kukamiana kwa bei za bidhaa ni kwa baadhi ya wafanyabiashara tu sio wananchi.

Viongozi wetu hatuwaoni wakijihusisha na mambo haya.

Serikali ina mpango gani kuaddress hizi issues.??
Serikali nzima jana ilikuwa msibani kwa Edward Ngoyai Lowassa huko Monduli Arusha.

Kama ulikuwa unawatazama vyema kwenye nyuso zao kuanzia Rais, VP, PM na Spika wa bunge, ni kana kwamba hawaoni na hawajui kabisa kuwa nchi iko ktk mkwamo mkubwa tokana na matatizo haya

Yaani hawajui kabisa kuwa nchi iko gizani, haina umeme, haina fedha za kigeni na bidhaa muhimu (sukari) zimeadimika na maisha ya wananchi wa kawaida kuwa magumu kupita kiasi.

Lakini huyu mtu mama tunayemwita "Rais" ukimtazama mara zote yuko comfortable anavimba mashavu tu, she's completely unaware of these problems. Inafikia mtu anajiuliza nchi hii ina kiongozi kweli au tuna sanamu ya mwanamke fulani tu pale yenye jina la Rais?

Huyu mama Rais Samia kafanya kosa kubwa sana kawaachia wahuni kina Mwigulu Nchemba, kina Paulo Makonda, kassimu Majaliwa kuindesha nchi hii watakavyo huku yeye akila misele tu huko duniani akiacha matatizo kama haya nchini mwake yakishamiri. Muda si mrefu atajuta kuzaliwa na kuwa Rais.!

Kama kuna mambo yanayopaswa kuiangusha serikali hii Sasa ni haya.

Inashangaza kuwa hata haya maandamano yanayoratibiwa na CHADEMA si aggressive kwa kiwango cha kuwashitua wenye madaraka. Maandamano haya - address haya maswala kwa ufasaha and aggressively kiasi cha kuwaamsha usingizini hawa watu.

Tuwaambie CHADEMA wabadili mbinu. Vinginevyo wanajichosha tu kutembea. Kiuhalisia kama Yale ya DSM na Mwanza pekee yangekuwa aggressive, tungeshaona mabadiliko kwa muda huu mfupi. Lakini kwa kuwa mnawabembeleza hawa watu, basi mtamaliza miji yote na kunaweza kusiwe na matokeo!!

Ishu ya umeme inawaathiri uchumi wa wananchi kwa kiwango kikubwa sana. Wananchi wana hasira na hawaelewi kabisa ni kwanini Iko hivi huku kiongozi mkuu wa nchi akichukulia poa tu..
 
Soon maji yataanza mgao na mafuta yatapanda Bei
Kwa taarifa nilizonazo.

Tutegemee kupanda bei kwa mafuta baada ya miezi miwili.
 
Hakuna Cha aggressive Wala nn!!

Maandamano haya haya ya Amani yanawakosesha USINGIZI,

Tuendelee kutembea tu, tukiuzunguka mji wa Jericho,

Kuangukia Kwa Kuta zake ni Hadi zitimie round Saba,

Tusubiri.
 
Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola.

Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi.

Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata ufumbuzi wa kudumu na hali ikizidi kuwa mbaya kila siku.

Sukari nayo kila mtu anauza anavyojisikia.

Uhaba wa dola nao ukishika kasi.

Kama kweli uchumi unakua, itakua ajabu kama dola zitaadimika.

Maana factor moja wapo ya kukua kwa uchumi ni ongezeko la mauzo ya nje , na mauzo ya nje ni fedha za kigeni. Dola inaadimikaje.

Kukua kwa uchumi means ongezeko la uzalishaji.

Uzalishaji unaongezekaje kama hakuna nishati ya uhakika??

Kukua kwa uchumi means bei ya bidhaa kuwa stable, huu uchumi wa kukamiana kwa bei za bidhaa ni kwa baadhi ya wafanyabiashara tu sio wananchi.

Viongozi wetu hatuwaoni wakijihusisha na mambo haya.

Serikali ina mpango gani kuaddress hizi issues.??
A rabit must be free.

Kimeumana
 
Serikali nzima jana ilikuwa msibani kwa Edward Ngoyai Lowassa huko Monduli Arusha.

Kama ulikuwa unawatazama vyema kwenye nyuso zao kuanzia Rais, VP, PM na Spika wa bunge, ni kana kwamba hawaoni na hawajui kabisa kuwa nchi iko ktk mkwamo mkubwa tokana na matatizo haya

Yaani hawajui kabisa kuwa nchi iko gizani, haina umeme, haina fedha za kigeni na bidhaa muhimu (sukari) zimeadimika na maisha ya wananchi wa kawaida kuwa magumu kupita kiasi.

Lakini huyu mtu mama tunayemwita "Rais" ukimtazama mara zote yuko comfortable anavimba mashavu tu, she's completely unaware of these problems. Inafikia mtu anajiuliza nchi hii ina kiongozi kweli au tuna sanamu ya mwanamke fulani tu pale yenye jina la Rais?

Huyu mama Rais Samia kafanya kosa kubwa sana kawaachia wahuni kina Mwigulu Nchemba, kina Paulo Makonda, kassimu Majaliwa kuindesha nchi hii watakavyo huku yeye akila misele tu huko duniani akiacha matatizo kama haya nchini mwake yakishamiri. Muda si mrefu atajuta kuzaliwa na kuwa Rais.!

Kama kuna mambo yanayopaswa kuiangusha serikali hii Sasa ni haya.

Inashangaza kuwa hata haya maandamano yanayoratibiwa na CHADEMA si aggressive kwa kiwango cha kuwashitua wenye madaraka. Maandamano haya - address haya maswala kwa ufasaha and aggressively kiasi cha kuwaamsha usingizini hawa watu.

Tuwaambie CHADEMA wabadili mbinu. Vinginevyo wanajichosha tu kutembea. Kiuhalisia kama Yale ya DSM na Mwanza pekee yangekuwa aggressive, tungeshaona mabadiliko kwa muda huu mfupi. Lakini kwa kuwa mnawabembeleza hawa watu, basi mtamaliza miji yote na kunaweza kusiwe na matokeo!!

Ishu ya umeme inawaathiri uchumi wa wananchi kwa kiwango kikubwa sana. Wananchi wana hasira na hawaelewi kabisa ni kwanini Iko hivi huku kiongozi mkuu wa nchi akichukulia poa tu..
Wanahemea kwenye kodi zetu na kamisheni mbali mbali hawawezi hisi maumivu yeyote.

Athari za tatizo la umeme ni kubwa, biashara nyingi zinaathirika watu hawazalishi.

Siasa zinazidi uhalisia.

Uchawa unatuchelewesha mno.
 
Tuampigiaa mbuzi gitaa huku hawanaa habari na mpiga gitaa ..

CCM imekuwa siyo sikivu na kero za wananchi ,huku nilipo hkn umeme Wala maji na barabara n mbovu wanapitishaa greda kipindi Cha uchaguzi tu ,uchaguzi ukipita ndio nitoleee ,mbuge wetu tuna miakaa minne hatujui anaishi wap na anaongoza watu wapi ingali cc ndio tumemchaguaa ,

Eeeeeeeehhhh MUNGU naombaa usikiee maombii ya watanzani zidi ya hiki chamaa kiukwel watu wamechokaa n vilee tu Wana hofuu juu Yako [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola.

Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi.

Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata ufumbuzi wa kudumu na hali ikizidi kuwa mbaya kila siku.

Sukari nayo kila mtu anauza anavyojisikia.

Uhaba wa dola nao ukishika kasi.

Kama kweli uchumi unakua, itakua ajabu kama dola zitaadimika.

Maana factor moja wapo ya kukua kwa uchumi ni ongezeko la mauzo ya nje , na mauzo ya nje ni fedha za kigeni. Dola inaadimikaje.

Kukua kwa uchumi means ongezeko la uzalishaji.

Uzalishaji unaongezekaje kama hakuna nishati ya uhakika??

Kukua kwa uchumi means bei ya bidhaa kuwa stable, huu uchumi wa kukamiana kwa bei za bidhaa ni kwa baadhi ya wafanyabiashara tu sio wananchi.

Viongozi wetu hatuwaoni wakijihusisha na mambo haya.

Serikali ina mpango gani kuaddress hizi issues.??
Tuko busy tunaendelea na shughuli za msiba wa Ngoyai.
 
Kwanza umeme unavyotutesa plus sukari hata sijui wenye dhamana wanawazaga nini! Nikama nchi ya kusadikika kabisa. Halafu utasikia anaupiga mwingi!
 
Kuna kundi fulani limeshamlipia form ya kuwania uraisi 2025.
Can you imagine !!!
 
Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola.

Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi.

Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata ufumbuzi wa kudumu na hali ikizidi kuwa mbaya kila siku.

Sukari nayo kila mtu anauza anavyojisikia.

Uhaba wa dola nao ukishika kasi.

Kama kweli uchumi unakua, itakua ajabu kama dola zitaadimika.

Maana factor moja wapo ya kukua kwa uchumi ni ongezeko la mauzo ya nje , na mauzo ya nje ni fedha za kigeni. Dola inaadimikaje.

Kukua kwa uchumi means ongezeko la uzalishaji.

Uzalishaji unaongezekaje kama hakuna nishati ya uhakika??

Kukua kwa uchumi means bei ya bidhaa kuwa stable, huu uchumi wa kukamiana kwa bei za bidhaa ni kwa baadhi ya wafanyabiashara tu sio wananchi.

Viongozi wetu hatuwaoni wakijihusisha na mambo haya.

Serikali ina mpango gani kuaddress hizi issues.??
Watanzania kama "kuja.mb..a", tume.jamb..a sana awamu hii hii, bado ku...ny...a tu.
 
Halafu washauri wake watamwambia huu nao ni upepo kama upepo mwingine tu, utapita!
 
Back
Top Bottom