Tanzania katika mtanziko; Hakuna umeme, sukari wala dola. Serikali inachukua hatua gani?

Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola.

Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi.

Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata ufumbuzi wa kudumu na hali ikizidi kuwa mbaya kila siku.

Sukari nayo kila mtu anauza anavyojisikia.

Uhaba wa dola nao ukishika kasi.

Kama kweli uchumi unakua, itakua ajabu kama dola zitaadimika.

Maana factor moja wapo ya kukua kwa uchumi ni ongezeko la mauzo ya nje , na mauzo ya nje ni fedha za kigeni. Dola inaadimikaje.

Kukua kwa uchumi means ongezeko la uzalishaji.

Uzalishaji unaongezekaje kama hakuna nishati ya uhakika??

Kukua kwa uchumi means bei ya bidhaa kuwa stable, huu uchumi wa kukamiana kwa bei za bidhaa ni kwa baadhi ya wafanyabiashara tu sio wananchi.

Viongozi wetu hatuwaoni wakijihusisha na mambo haya.

Serikali ina mpango gani kuaddress hizi issues.??
Acha kudandia porojo na uzushi wa Wakunya.

Anasema hakuna Dola ni nani? BoT wanasema wanazo za kutosha
 
Viatu alivyovaa mwamba wengi visingewatosha

Wengi wa wanasiasa wa JF wanafanyia siasa ndani ya vichwa vyao.

Mbowe ametoka zamani kwenye siasa za ndani ya kichwa chake na anaiishi siasa yake kwa matendo.

Natamani watanzania wote,
hasa wale wanao ona kasoro katika uendeshaji wa hii nchi na wasomi wa aina zote wanaoitakia nchi mema
wangewatumia wanasiasa wa aina hii kama role models.

Waache kuishi ndani ya vichwa vyao, watoke nje na kuiishi siasa, uchumi, sayansi, jamii au usomi wao wote katika ulimwengu wa kweli wa nchi yetu kwa matendo.
 
Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola.

Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi.

Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata ufumbuzi wa kudumu na hali ikizidi kuwa mbaya kila siku.

Sukari nayo kila mtu anauza anavyojisikia.

Uhaba wa dola nao ukishika kasi.

Kama kweli uchumi unakua, itakua ajabu kama dola zitaadimika.

Maana factor moja wapo ya kukua kwa uchumi ni ongezeko la mauzo ya nje , na mauzo ya nje ni fedha za kigeni. Dola inaadimikaje.

Kukua kwa uchumi means ongezeko la uzalishaji.

Uzalishaji unaongezekaje kama hakuna nishati ya uhakika??

Kukua kwa uchumi means bei ya bidhaa kuwa stable, huu uchumi wa kukamiana kwa bei za bidhaa ni kwa baadhi ya wafanyabiashara tu sio wananchi.

Viongozi wetu hatuwaoni wakijihusisha na mambo haya.

Serikali ina mpango gani kuaddress hizi issues.??
CCM ni national disaster, viongozi karibu wote wote ni wezi, selfish and greedy lakini sisi wenyewe ndio tunawaendekeza ila tukiamua kuibadilisha nchi yetu tunaweza kabisa.
 
Huwezi kusolve tatizo kwa kutumia mbinu zilizokwisha prove failure na ukategemea results tofauti
Ccm ni chama chakavu ,ni genge la watu walio choka kiakili na kimaadili , hawafai kuongoza hii nchi wala kuhusishwa kwenye uendeshaji wa hii nchi

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Why is it ni kama hakuna kiongozi anayeona haya matatizo na kuyaongelea na kutoa a waya forward ni kama wote wamelala kazi kupiga mapicha millard ayo na masuti yao kila siku ni hafla ya kuapisha huyu, kupokea hichi, kutia saini hichi,
Nani katuloga watu weusi. Umeme wa shida kwanini mkurugenzi wa Tanesco asifatwe na waandishi na waziri akiwepo tujue kweli wako serious na hili tatizo akaongea haya mambo yanaishaje wana mkakati gani.
Mkurugenzi wa dawasa kwanini asiongee na umma na kueleza what is going on, hibi kukali habari si ni kosa kubwa kwa watumishi wa umma.

Tumechoka na unclear line of communication mara naibu waziri anajibu wanasiasa wenzie ambao wengi hawaumii na hali hizi wana majenereta, wana maji ya visima, wanatibiwa kwa bima kubwa, wanatembelea ma vx na chawa juu.
 
Huyu naye ni mwehu sasa hana lolote maisha gani bila sukari? Ametoka kwenye taaluma na kuanza kufanya siasa!
Mimi naweza kupunguza matumizi ya sukari ni kweli lakini si eti kwa sababu bei iko juu, vp kuhusu watoto wetu wanywe uji bila sukari kweli?
Wa kwake anawafanyia hivyo kweli? So sad
 
Sukari inasababisha magonjwa.

Umeme unaharibu mazingira.

Dola ni ubeberu.
 
Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola.

Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi.

Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata ufumbuzi wa kudumu na hali ikizidi kuwa mbaya kila siku.

Sukari nayo kila mtu anauza anavyojisikia.

Uhaba wa dola nao ukishika kasi.

Kama kweli uchumi unakua, itakua ajabu kama dola zitaadimika.

Maana factor moja wapo ya kukua kwa uchumi ni ongezeko la mauzo ya nje , na mauzo ya nje ni fedha za kigeni. Dola inaadimikaje.

Kukua kwa uchumi means ongezeko la uzalishaji.

Uzalishaji unaongezekaje kama hakuna nishati ya uhakika??

Kukua kwa uchumi means bei ya bidhaa kuwa stable, huu uchumi wa kukamiana kwa bei za bidhaa ni kwa baadhi ya wafanyabiashara tu sio wananchi.

Viongozi wetu hatuwaoni wakijihusisha na mambo haya.

Serikali ina mpango gani kuaddress hizi issues.??
Tumeambiwa na Wabunge wawili Bungeni kwamba bwawa la Mtera halina maji kabisa na huku pembeni maji ni mengi mpaka kuvuka kingo! Hii ni hujuma kwa Rais na inatekelezwa na baadhi walio mzunguka! Ni matumaini yangu siku chache zijazo tutasikia kishindo cha hatua za kinidhamu zikichukuliwa dhidi ya wahusika kuanzia Menejimenti,Bodi,Watendaji, Wanausalama na wanasiasa husika!
 
Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola.

Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi.

Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata ufumbuzi wa kudumu na hali ikizidi kuwa mbaya kila siku.

Sukari nayo kila mtu anauza anavyojisikia.

Uhaba wa dola nao ukishika kasi.

Kama kweli uchumi unakua, itakua ajabu kama dola zitaadimika.

Maana factor moja wapo ya kukua kwa uchumi ni ongezeko la mauzo ya nje , na mauzo ya nje ni fedha za kigeni. Dola inaadimikaje.

Kukua kwa uchumi means ongezeko la uzalishaji.

Uzalishaji unaongezekaje kama hakuna nishati ya uhakika??

Kukua kwa uchumi means bei ya bidhaa kuwa stable, huu uchumi wa kukamiana kwa bei za bidhaa ni kwa baadhi ya wafanyabiashara tu sio wananchi.

Viongozi wetu hatuwaoni wakijihusisha na mambo haya.

Serikali ina mpango gani kuaddress hizi issues.??
TRA wamebaki kutupigia simu eti wanatudai,tunawaambia sisi hatuna biashara lakini hawasikii, kesho naandika barua ya kufunga shughuli zangu.
 
Sukari inasababisha magonjwa.

Umeme unaharibu mazingira.

Dola ni ubeberu.
Na CCM na Chadema ndio baba wa hayo yote. Chadema ni wasaka tonge tu wala hawawakilishi mwananchi wa kawaida, wanaandamana ili wapate misaada kutoka kwa wazungu na sio kuteteta wananchi wote ni walamba asali.
 
Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola.

Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi.

Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata ufumbuzi wa kudumu na hali ikizidi kuwa mbaya kila siku.

Sukari nayo kila mtu anauza anavyojisikia.

Uhaba wa dola nao ukishika kasi.

Kama kweli uchumi unakua, itakua ajabu kama dola zitaadimika.

Maana factor moja wapo ya kukua kwa uchumi ni ongezeko la mauzo ya nje , na mauzo ya nje ni fedha za kigeni. Dola inaadimikaje.

Kukua kwa uchumi means ongezeko la uzalishaji.

Uzalishaji unaongezekaje kama hakuna nishati ya uhakika??

Kukua kwa uchumi means bei ya bidhaa kuwa stable, huu uchumi wa kukamiana kwa bei za bidhaa ni kwa baadhi ya wafanyabiashara tu sio wananchi.

Viongozi wetu hatuwaoni wakijihusisha na mambo haya.

Serikali ina mpango gani kuaddress hizi issues.??
Umeandamana au unalalamika umejificha JF
 
Na CCM na Chadema ndio baba wa hayo yote. Chadema ni wasaka tonge tu wala hawawakilishi mwananchi wa kawaida, wanaandamana ili wapate misaada kutoka kwa wazungu na sio kuteteta wananchi wote ni walamba asali.
Nyie ndo tumeambiwa na papa mbarikiwr??
 
Back
Top Bottom