Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ungeweka in terms of dolare.Kisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa....
Lakini hizo hela 80% haziingii Wizara ya Afya Bali zinapitia vi NGOs uchwara so hata wakikata hakuna shidaKisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa...
Kumbe?Tuombe ajira hiyo maalim.Hela za MSAADA tunalipa gharama za kampeni, tume isiyo na majibu ya kuchunguza kifo cha Mzee Kibao, Posho za Abduli etc tutanyooka awamu hii.
Tiharaheyi inakusanya za kutosha ndiyo maana ni jeuri.Sasa kwa nini walijitapa wasipangiwe cha kufanya, siku ile kwenye hotuba zao 🤔🤔.???
CCM wametupigisha sana maktaimu jangwani, hatukutakiwa kuwepo hapaKumbe?Tuombe ajira hiyo maalim.
Unaifahamu bascket fund?unafahamu kampeni za chanjo,malaria etc zinatoka wapi?Lakini hizo hela haziingii Wizara ya Afya Bali zinapitia vi NGOs uchwara so hata wakikata hakuna shida
Tanzania tulikuwa tunapata hela za directly kuingia Serikalini wakati wa JK via MCC ila tulishaondolewa pale ndiko tulijenga Barabara,umeme nkKisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa.
Gazeti la Euronews limetaja kuwa Tanzania itakuwa ni miongoni mwa nchi zitakazo athirika kutokana na Hatua ya Donald Trump na Elon Musk kusitisha misaada hiyo.
Gazeti hilo limeleza Tanzania yenye watu Milioni 65 linapokea kiwango sawa na Nigeria yenye watu 220Milioni.
Kalagha Bahooo........Hizi hela huwa zinaenda wapi mbona ni nyingi sana?View attachment 3224545
Wewe kweli akili kisoda, hopeless kabisaLakini hizo hela haziingii Wizara ya Afya Bali zinapitia vi NGOs uchwara so hata wakikata hakuna shida
Nazifahamu lakini ni sehemu ndogo ya hela huko.Unaifahamu bascket fund?unafahamu kampeni za chanjo,malaria etc zinatoka wapi?
Kimsingi ccm hawana uwezo wa kuendesha hii nchi bila misaada ya wazungu.
Yani unajizima data kwamba hizo NGOs ndiyo zinaziba gaps za ajira na kutoa mbadala wa MSD?Lakini hizo hela haziingii Wizara ya Afya Bali zinapitia vi NGOs uchwara so hata wakikata hakuna shida
Ila ka-aa-game-e hataki kabisa kugemea noti za ndani tu, ndo maana ameweka kambi msituni kwa banya-mle-nge 😒😒😒Tiharaheyi inakusanya za kutosha ndiyo maana ni jeuri.
Watu wapuuzi walikuwa wanalipana posho tuu hizo hela,Bora zikatwe na nimewahi weka Uzi humu Jf.Wewe kweli akili kisoda, hopeless kabisa
Trilioni moja huwa serikali inatumia muda gani kuzitia mkononi?Nazifahamu lakini ni sehemu ndogo ya hela huko.
Mwisho kwani Trump akikata hizo pesa zote,Tutashindwaje Sasa ku cover Trilioni 1 tuu? Hela ndogo sana hiyo Wala haiwezi yumbisha Serikali