ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hawana maana hao ndio maana Mwendazake alitaka kuwafuta.GAP gani zaidi ya kula hela za misaada?Yani unajizima data kwamba hizo NGOs ndiyo zinaziba gaps za ajira na kutoa mbadala wa MSD?
Hao watu Serikali ilisema wapitiehie hela kwao na zikaguliwe wakagoma so hapa Trump kufanya vizuri mnooo.