Tanzania Kinara wa Kupokea hela za msaada kutoka USAID Afrika nzima. Yasemekana tutaathirika sana

Tanzania Kinara wa Kupokea hela za msaada kutoka USAID Afrika nzima. Yasemekana tutaathirika sana

Na wanachoamini mabeberu ni kuwa afadhali ku fund NGOs fedha zinaweza kutumika vizuri kuliko kuwapa serikali, ujue hawa wazungu wanaziona serikali zetu kama tu organized criminals.
Wewe uko hapa Tanzania Huwa zinatumika vizuri na hao NGOs?

Magufuli alitaka kuwafuta

Mwigulu alitaka wapitishie hela Serikali for monitoring ila wakapiga makelele ikaishia.

Trump futa huo ujinga,wanakula tuu hizo hela hakuna wanachofanya
 
NGOs hawajawahi kuwa na Tija,wanatumia zaidi ya Trilioni 5 Kwa mambo Yao lakini hakuna Tija yeyote zaidi ya kulipana posho.

Nilitegekea hao NGOs wangekuwa Wana supplement miradi ya serikali ila hawafanyia hivyo zaidi ya porojo na stori za Heshima sijui Kampeni zisizo Isha and such non sense
Inaonekana kama hauna taarifa za kutosha kuhusu kazi wanazofanya NGOs, generally kuzuia funding kwa NGOs kwa gafla namna hii kutakuwa na implications kubwa zaidi kwa jamii kuliko unavyofikiri.
 
Wewe ndio unaleta propaganda tunajua mnavyogeuza maneno. Mfano ile COVID relief fund
COVID ni mambo ya dharura kama Marburg hapo ni lazima WHO na wengine waingilie Iko hivyo Duniani kote
Screenshot_20250204-074039.jpg


View: https://www.instagram.com/reel/DE28ODSOdXI/?igsh=MTdqZHMwcGY2d3ZmNw==
 
Back
Top Bottom