Tanzania Kinara wa Kupokea hela za msaada kutoka USAID Afrika nzima. Yasemekana tutaathirika sana

Tanzania Kinara wa Kupokea hela za msaada kutoka USAID Afrika nzima. Yasemekana tutaathirika sana

Tanzania tulikuwa tunapata hela za directly kuingia Serikalini wakati wa JK via MCC ila tulishaondolewa pale ndiko tulijenga Barabara,umeme nk

Baada ya hapo ni stori za uongo na ukweli via NGOs which has no significance Kwa Government.

Mwisho hiyo ni Trilioni 1 tuu ,Sasa Tanznaia inashindwaje ku cover hela ndogo kama hiyo?
Hizo Bajeti zenu za Kwenye Makaratasi
 
Ukiacha furaha zenu za kipumbavu na kejeli hizo fedha zinagharamia operation cost (gharama za uendeshaji) kwa hizo taasisi za misaada ambazo zimeajiri wageni na Watanzania wa fani mbali mbali madereva,madaktari,ustawi wa jamii,wahasibu,walimu,wafanya usafi,wahudumu waendesha ofisi,wasimamizi wa miradi,wasimamizi wa ofisi,mainjiania,mameneja n.k.
Pia kuna zahanati Kila Kijiji, kata na wilaya, kuna chanjo nyingi za bure zaidi ya tano zinatolewa kwa kila mtoto anayezaliwa ambazo wa miaka kadhaa zimeonyesha mafanikio kiasi cha Sasa ni vigumu kuona watoto au watu walemavu (viwete) wenye mtindio n.k

Kuna waathirika wa VVU/UKIMWI ,TB n.k ambazo wanapokea dawa hizo bure na misaada mengine ya magonjwa. Kuna miradi ya kuhamasisha au kuelimisha kuhusu afya kama Ile ya kupambana na vikope au kutahiri ambayo imewaokoa jamii mbali mbali mfano Wasukuma na wagogo. Kuna wazabuni mbalimbali ambazo wanaenda kupoteza baishara zao


Tujifunze kushukuru na kuona athari chanya kwenye jitihada za wengine kingine tafuteni taarifa sahihi kabla ya kuonyesha hisia hasi
Kisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa.

Gazeti la Euronews limetaja kuwa Tanzania itakuwa ni miongoni mwa nchi zitakazo athirika kutokana na Hatua ya Donald Trump na Elon Musk kusitisha misaada hiyo.

Gazeti hilo limeleza Tanzania yenye watu Milioni 65 linapokea kiwango sawa na Nigeria yenye watu 220Milioni.

Kalagha Bahooo........Hizi hela huwa zinaenda wapi mbona ni nyingi sana?View attachment 3224545
Hela za MSAADA tunalipa gharama za kampeni, tume isiyo na majibu ya kuchunguza kifo cha Mzee Kibao, Posho za Abduli etc tutanyooka awamu hii.
Lakini hizo hela haziingii Wizara ya Afya Bali zinapitia vi NGOs uchwara so hata wakikata hakuna shida
Watu wapuuzi walikuwa wanalipana posho tuu hizo hela,Bora zikatwe na nimewahi weka Uzi humu Jf.

e
 
Ccm iwekwe pembeni wameshindwa kazi, nchi inaaibika kwa misaada ya mabeberu wakati kuna rasilimali za kutosha kiasi cha kutotegemea misaada hiyo. Kije chama kingine chenye viongozi wenye sera mpya za kutumia rasimali za nchi kujitegemea
 
Back
Top Bottom