Tanzania Kinara wa Kupokea hela za msaada kutoka USAID Afrika nzima. Yasemekana tutaathirika sana

Tanzania Kinara wa Kupokea hela za msaada kutoka USAID Afrika nzima. Yasemekana tutaathirika sana

mara nyingi hizo hela haziendi serikalini moja kwa moja. Ni kupitia INGOs na local NGOs kwenda kwenye miradi katika jamii husika, ambapo design na utekelezaji wanashirikiana na serikali, lakini serikali nahisi mara nyingi haishiki hizo hela.
. Kazi ya serikali ni kuhakikisha jamii mambo yao yanaenda Sawa ( afya, maradhi na elimu) ... ( ndo utekelezaji wenyewe huo ukisikia serikali inazungumza kwenye ๐ŸŽค,

. Athari zipo kubwa tu, kwenye mashirika huko, hospitalini, vituo vya Afya wafanyakazi wameachishwa kazi, huoni kama kuna tatizo??
 
Hatuna za Bure ila za kununua zipo,kwanza unajua kwamba tuna kiwanda vya hizo gloves hapo makambako?

Yaani MSD ambayo Ina tenda ya ku supply dawa zaidi ya Nchi 8 za Sadc inaweza kukosa vipi sasa hizo gloves?

Za Bure hazipo ila za kununua zipo
Maji ya sindano aka water for injection tunanunua India, Uganda siku hizi sijuhi Kairuki anatengeneza
 
Sijui ni kitu gani hicho ila hata hivyo tunatengeneza ndege hatuwezi shindwa vitu vidogo kama hivyo vya sindano ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://x.com/InvestTanzania/status/1867121282241773709?t=Go5oUH9tt3uRVoA1tNL8IQ&s=19

Nenda duka la dawa, hospitali au zahanati yoyote iliyokaribu nawe, ulizia maji ya sindano, au sindano made in Tanzania (au MSD) ukipata nakurudishia gharama ulizotumia na bakshishi ya 50,000/=

Nipo kwenye biashara ya medical/medicine supplies kitambo Tu....nawapongeza akina Kairuki pharmaceuticals ndio angalau bidhaa zao hasa maji ya drip (dextrose, Normal saline, RL) nayaona, MSD wanatengeza barakoa na sabuni ya maji baaaasi!
 
Kwani hayo maji ya sindano ni Msaada? Kama hayopo Nchi inaagiza kwa.pesa zetu
 
Kwani hayo maji ya sindano ni Msaada? Kama hayopo Nchi inaagiza kwa.pesa zetu
Hahaha
IMG-20250204-WA0000.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_2025-02-04-12-12-50-179_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2025-02-04-12-12-50-179_com.android.chrome.jpg
    191.7 KB · Views: 1
Back
Top Bottom