Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
Naam mkuu.. Maana aliwagusa moja kwa moja kuwa hawana faida.Inaweza kuwa nayo ni moja ya sababu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam mkuu.. Maana aliwagusa moja kwa moja kuwa hawana faida.Inaweza kuwa nayo ni moja ya sababu
Hizo pesa tuma kwenye namba hii😅😅😅Alafu hizo pesa matumizi yake ndo utacheka,.
Haina maana hizo ndio zinaongeza inflation"Has no significance"
Ni ela inayoingia kwenye mzunguko hapa nchini na ina cover ombwe la ukwasi kwa kiasi kikubwa sanaaa...kutoa trillion kwenye mzunguko lazma tofauti kubwa sana ionekane, na lazma serikali itumie akili kupunguza matumiz yasiyo ya lazma, kuongeza makusanyo na kuanzisha vyanzo vingine vya mapato, uchungu wa hili haukwepeki!
Serikali inakopa bank kias kikubwa, ikiwa ni pamoja na hizo hela za USAID ,WORLD BANK NA AFDB..elewa!
Acha tule jeuri yetuNaam mkuu.. Maana aliwagusa moja kwa moja kuwa hawana faida.
Zote.Kwani Trump amefuta na hizo?
Safi kwani shida Iko wapi? Serikali ongezeni Kodi watu wajiendeshe.Zote.
mara nyingi hizo hela haziendi serikalini moja kwa moja. Ni kupitia INGOs na local NGOs kwenda kwenye miradi katika jamii husika, ambapo design na utekelezaji wanashirikiana na serikali, lakini serikali nahisi mara nyingi haishiki hizo hela.Sasa kwa nini walijitapa wasipangiwe cha kufanya, siku ile kwenye hotuba zao 🤔🤔.???
unaambiwa hadi matundu ya vyoo yanatoka Marekani! Ila viongozi wananunua ma vieite kibao yaani!
Wezi wako NGOs na wale mabosi huko wizarani wa kujilipa mahela ya BureKuna wezi wameumizwa sana na Taarifa hizi
Jitafakari mkuuLakini hizo hela haziingii Wizara ya Afya Bali zinapitia vi NGOs uchwara so hata wakikata hakuna shida
Safi sana TrumpJitafakari mkuu
Duh kwahiyo UPUNGUFU WA MAAMMBUKIZI YA UKIMWI,KUTOA ELIMU YA VIRUSI NA MACONDOM YA BURE hiyo kazi anafanya nani???NGOs hawajawahi kuwa na Tija,wanatumia zaidi ya Trilioni 5 Kwa mambo Yao lakini hakuna Tija yeyote zaidi ya kulipana posho.
Nilitegekea hao NGOs wangekuwa Wana supplement miradi ya serikali ila hawafanyia hivyo zaidi ya porojo na stori za Heshima sijui Kampeni zisizo Isha and such non sense
Sio Ajira ni upuuzi na janja janja ya mjini,wakafanye kazi za uzalishaji Mali kama hawawezi wakavute BangiDuh kwahiyo UPUNGUFU WA MAAMMBUKIZI YA UKIMWI,KUTOA ELIMU YA VIRUSI NA MACONDOM YA BURE hiyo kazi anafanya nani???
📌📌📌Hizi ajira za NGO hilo gap nani atalicover???
UongoUmesahau kuwa ni vinara wa kujengewa matundu ya chooni kutoka USAID
Huyo kichwa nazi hawezi kujua kazi yake kushangilia ujinga wa CCMTrilioni moja huwa serikali inatumia muda gani kuzitia mkononi?
We unaga akili kutopoka tuWatu wapuuzi walikuwa wanalipana posho tuu hizo hela,Bora zikatwe na nimewahi weka Uzi humu Jf.