Ni jambo la ajabu sana.Tukiachana na sheria ila mtu unawezaje kuchoma kifaranga
Kwa nini magari yanayoingia bila vibali kwa nini hawachomi moto?Kama sheria inasema hivyo wavichome tu ili liwefundisho kwa hao wanaingiza vifaranga bila kibali.
Walioweka sheria walifanya research ya kutosha kufikia conclusion hiyo!Tukiachana na sheria ila mtu unawezaje kuchoma kifaranga
Vifaranga vinasambaza magonjwa kwa haraka sana mkuu. Ungekuwa umefanya biashara ya kufuga kuku ungejua ukweli huo. Nafikiri unajua ugonjwa wa mafua ya ndege.Kwa nn magari yanayoingia bila vibali kwa nn hawachomi moto??
Pia walishakamata ngombe toka Kenya walitaifisha na sio kuchoma moto?
Kwa nn vifaranga ndo wachome koto?
Vifaranga hawana hatia, aadhibiwe mhusika, vifaranga wapimwe kujiridhisha kama wanafaa kuwepo nchini au warejeshwe walikotoka, kuna amri ya Mungu isemayo "usiue"nakuteketeza vifaranga wote kwa mujibu wa sheria
Sheria haisemi hivyo!Ukatili mkubwa sana huo na ni roho mbaya kuchoma viumbe wasio hatia,kama wamevikamata si wagawe au wavirudishe vilikotoka?
Wangepewa wanyonge. Zile kaya maskini zinazipewaga mifugo na watu wa TASAF wafuge wajiongezee vipato ...incl you😶Kwanini wasivigawe tu kwa wananchi badala ya kuviteketeza kwa moto!