Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee

Haya sasa, tulishasema sisi, hao wamasai wanaotaka kujamishwa ni kwa dhumuni maalum
 
Huu ni unafiki,tembo wanakufa kila siku kupitia majangili na serikali kukosa mapato

Sasa serikali imeweka njia rasmi, bado unapinga
Kwahiyo hiyo ndo njia rasmi .ujinga ni mwingi inchi hii..kuweka uhalali wa kuua wajamatena waliowachache kabisa ndo njia nzuri .Mungu atusaidie kwakwel
 
Huu ni unafiki,tembo wanakufa kila siku kupitia majangili na serikali kukosa mapato

Sasa serikali imeweka njia rasmi, bado unapinga
Kisa wewe ulibakwa bila kulipwa ndio unaamua kumuuza mwanao akafumuliwe marinda kwa malipo? Akili gani hizi?!
 
Professional hunters wanapopewa kibali cha kuwinda wanaambiwa kabisa aina ya mnyama watakaemuua na wanaambatana na wawindaji wa TANNAPA
Unaonaje wewe ukija kuuwawa na muwindanji akaambatana na mkuu wa kituo?
 
Hao wamasai walio ngorongoro ndio wanaleta kiwingu..wakiondoka waarabu wagawane vizuri ngorongoro yote....yaani Masai anayeishi na wanyama hafai ila mwarabu wa kuja kutorosha na kuua wanyama ndio muhimu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Waarabu wa Oman jambo lao limesha tiki..

Nawaonea tu huruma wamasai waliohamishiwa makazi yao asili, Ni sawa na kuwatoa wazanzibari huko visiwani uwajengee makazi sumbawanga kisa Zanzibar ni kivutio.

Mwaka 2019/2020 serikali ilianzisha mabucha ya wanyama pori sijui napo unasemaje.

Uwindaji haujaanza leo ,ni biashara ya kitambo na Kwa sasa wanyama wamekuwa wengi kupita kiasi.

Wanyama kama viboko na mamba wanatakiwa kupunguzwa kwa kiasi kikubwa maana wanahatarisha maisha na kuharibu Mazao.
 
Hii nchi mkuu ina wajinga wengi kweli kweli.
Vitalu vya uwindaji vipo miaka yote sasa hapo kuna jipya gani
Kisa ulikuwa unafumuliwa marinda kila siku unataka tukuache uendelee nantabia yako chafu kisa hujaanza leo?, akili gani hizi jamani?
 
Wewe hutaki kupiga pesa? Au huna fungu unaleta povu humu?
 
Tembo na Simba wamekuwa wengi?! Wako wangapi? Si mlisema wamasai ndio wengi, imekuaje tena?!
 
Maisha ya nani? Ya wamasai mnaowahamisha?!
 
Tembo na Simba wamekuwa wengi?! Wako wangapi? Si mlisema wamasai ndio wengi, imekuaje tena?!
Una utoto mwingi Sana,unajua Tzn ninua ngapi Kwa tembo na Simba? Mara ngapi unasikia tembo wanaharibu mashamba na nyumba za watu?

Kwa taarifa yako Tzn inaongoza kwa tembo wengi Dunia shida wewe ni kichwa maji.

Ilitakiwa serikali ianze kuua nyumbu kama wewe
 
Kama uliyajua haya ulimaanisha nini kuandika wawindaji wa TANAPA??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…