Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee

Sema wewe mkuu
 
Kwa kusema tu kwamba, unafahamu kwamba hao wanyama ni endengared species ila bado unataka wauwawe kwa manufaa ya pesa tayari inatia shaka ya afya yako ya akili.
Afya ya akili yako ndiyo ikapimwe, umewahi kusikia kitu culling?
 
Sawa. Idadi ya wanyama waliokuwepo miaka ya Nyerere sio sawa na iliyopo Sasa hata kama sinaidadi yake. Twendeni tu tutafika.
 
Hivi nchi hii hatuna maji sababu hatuuwi tembo na Simba ambao ni endangered species?! Tuna vyanzo vingapi vya mapato ambavyo tunaweza kuvitumia kuwapa wananchi maji? Madini mapato yake yanaenda wapi? Watu wanafanya kazi na wanazalisha na kukatwa kodi, kodi zinaenda wapi?
 
Tufanye sijawahi kusikia, hiyo inakutibu vipi akili yako wewe na kunifanya mimi kuhitaji kupimwa akili?
Akili yangu iko sawa kabisa, wewe unayeona wenzako hawana akili ndiyo unatakiwa kupimwa. Ungejibu kwa hoja ndiyo ungekuwa sawa.
 
It seems you have not understood what is being discussed. Should you be slave on your resources or your resources be slave for you? Who is better to live a lovely life; the old elephant or an old woman around the park. Do you have any idea about that business? Do you have any idea regarding financing national development? How many Tanzanians pay taxes (enough) to finance national development? Sometimes, we need to be wise enough in discussion like this.
 
Ninavyojua maisha yangu yote niliyoishi porini kamwe mnyama haweziwindwa Ngorongoro hata awe anataka kukata roho ndani ya hifadhi hakuna atakufa na wanyama wengine watamla ila sio kuwindwa ndani ya hifadhi. Ila Luna vitalu vya uwindaji Wa kienyeji na kitalii huwa watu wanawinda miaka yote sema ni uwezo wako tu unalipia unaenda kuwinda kwenye maeneo maalum hayo ya uwindaji. Ndio maana kuna Game reserve na National parks na kuna TAWA, TAWIRI NA TANAPA
Hao wawindaji wako chini ya Tawa
 
Hivi unajua kwamba shughuli za uwindaji wa kitalii zimekuwepo nchi hii kwa miaka mingi sanaa?
Mkuu naona watu ni kama hawana uelewa Wa mambo kuhusu wanyama pori uwindaji upo miaka sema kuna kipindi ujangili ulizidi wakastopisha baadhi ya vitalu ndio vinapigiwa mnada
 
Akili yangu iko sawa kabisa, wewe unayeona wenzako hawana akili ndiyo unatakiwa kupimwa. Ungejibu kwa hoja ndiyo ungekuwa sawa.
Umeniuliza kama nafahamu culling, nimekujibu sijui. Kuna hoja gani nyingine unataka ujibiwe? Ila nikakazia, hiyo inafanya vipi wewe kupona akili na mimi kuhitaji kupimwa akili? Ukizingatia, unafahamu hao ni endangered species ila bado unataka wauwawe, hivyo kutia shaka utimamu wa akili yako.
 
Jangili si anayeua wanyama bila permit ya serikali?
Kwa hii habari inamaanisha serikali na hao wazungu nao hawana morals za kukemea majangili,
Wote wapo motivated na profit na sio mazingira
Kwahiyo serikali na hao wazungu watakua wanawinda bila vibali (permit) kwahiyo nao ni majangili.
 
Kwahiyo serikali na hao wazungu watakua wanawinda bila vibali (permit) kwahiyo nao ni majangili.
Hivyo vibali vya kuua endangered species ndivyo tunavyopinga visitolewe. Umeelewa?
 
Kwahiyo serikali na hao wazungu watakua wanawinda bila vibali (permit) kwahiyo nao ni majangili.
Ishu sio vibali, vibali si wanajipa tu.
Ishu ni kuzuia uwindaji kwa hoja kuwa wanalinda ikolojia na urithi wa dunia, kisha wao kujipa ruhusa ya kuua kwa ajili ya fedha
 
Nilisema TANNAPA nikimaanisha wahifadhi lakini nafahamu shughuli za uwindaji zinasimamiwa na TAWA ,game reserves pamoja na WMA's
 
Hebu waeleze basi hawa watanzania wasiojielewa watambue kuwa hata huko ngorongoro au mikumi sijui serengeti ni hifadhi ambazo zinasimamiwa na TANNAPA nahuko serikali hairuhusu shughuli za uwindaji wa kitalii.
 
Nilisema TANNAPA nikimaanisha wahifadhi lakini nafahamu shughuli za uwindaji zinasimamiwa na TAWA ,game reserves pamoja na WMA's
Regardless, tunapinga kwa nguvu moja ugawaji wa vibali na vitalu kwa ajili ya kuua endangered species. Kwanza unaua Simba na Tembo ili iweje? Absolute nonsense!
 
Kwahiyo unashauri hawa wanyama wazee tusiwavune tupate pesa tuwaache wajifie. Hii nchi tunachelewa maendeleo kwa sababu ya watu kama nyie ambao hamna akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…