Itovanilo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,314
- 5,150
Sema wewe mkuuYaani hii jamii ya Tanzania ni ya kuoonea huruma kaka? Una tembo wazee, Simba wazee na wanyama wengine wazee then jamii inayozunguka wanyama hao hawana hata maji. Then mtu mwenye akili anaweka uhalali wa "kuvuna" wanyama hao ili jamii husika wapate maji yeye hataki? Kuna maana gani kuwa na Nyati milioni moja halafu unakufa kwa kukosa maji safi au Huduma nzuri za afya?