Kweli kuna hujuma inafanyikaHuwa nadhani kuna jambo fiche mawazoni mwao.Mtu mzima kasomeshwa na kuitumikia nchi zaidi ya robo karne halafu anashindwa kusimamia na kutetea mambo ya wazi kabisa.Hujuma hii.
Ni kama radar na ndege ya Rais wakati wa Mkapa.Kuna mambo tunachezewa filamu ya kifilipino mixer Mexico hapo.Kweli kuna hujuma inafanyika
Lazima pesa zinazolipwa kuna watu huko serikalini wana mgawo
Wao
Ova
Sisi tumebakia kucheza na kukatika mauno komasava tuNi kama radar na ndege ya Rais wakati wa Mkapa.Kuna mambo tunachezewa filamu ya kifilipino mixer Mexico hapo.
Tanzania Yakubali Kulipa Bilioni 237 ya Fidia Kwa Kuvunja Mkataba Mwaka 2018. Yatanguliza Bilioni 92
Tanzania na kampuni ya uchimbaji madini kutoka Australia, Indiana Resource Limited zimefikia makubaliano ya fidia ambapo Tanzania itailipa kampuni hiyo dola za kimarekani milioni 90 kutokana na kuvunja makubaliano katika Mradi wa Nikeli wa Ntaka Hill uliopo mkoani Lindi. Tanzania imeshatanguliza malipo ya awamu ya kwanza ya dola milioni 35 sawa na bilioni 92.
Haya yameelezwa leo Julai 29,2024 katika taarifa iliyotolewa na kampuni ya Indiana Resouces ambayo inaeleza kuwa kampuni hiyo imekubali kupokea ofa ya Tanzania ya dola milioni 90 sawa na bilioni 237, kiwango ambacho ni kidogo kuliko kile cha awali ambacho Tanzania kiliamriwa kulipa na Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji (ICSID).
Mnamo Julai 14, 2023, Tanzania ilitakiwa kuilipa kampuni ya Indiana Resources Ltd, dola milioni 109 ambazo ni sawa na takribani shilingi bilioni 250 baada ya kituo hicho kujiridhisha uwepo wa ukiukwaji wa mkataba wa uwekezaji katika Mradi wa Nikeli wa Ntaka Hill.
Kampuni hiyo imeeleza kuwa imeamua kukubali kiwango hicho kupunguza mzigo wa gharama utakaotokana na kuendelea na ubishano katika vyombo mbalimbali vya kisheria. Katika makubaliano hayo Tanzania itatakiwa kumalizia kiwango kilichobaki kwa awamu mbili, ambapo mpaka Oktoba 24 itatakiwa kulipa dola milioni 25 na ifikapo Machi 30,2025, itatakiwa kulipa dola milioni 30.
SOURCE: THE CHANZO
Hao waliaminishwa ujinga mwingi sana na lile jituHapa aina za kina Etwege ni kupita juu kwa juu wakijisemea hiiiiiiii iiiii!
Hapo wakidhani kuwa huo ndiyo uzalendo sasa, pasipokuwa na neno lolote la laana kwa wale waliotufikisha hapa.
Bure kabisa!
Mambo ya aibu sana haya...huwezi kuwasikia hapa machawa Lucas MwashambwaMbonq hizi taarifa mawaziri au hata chawa hawazitangazi ...si ni kodi zetu hizi
Bogus ni wewe ni kizazi chako chote. Huna chochote cha kujivunia zaidi ya umasikini na ujinga . Jinga, jinga,jinga kwenye maisha yako yote . Kufa jinga weweKuna mtu alikuwa bogus sana lakini kuna mazezeta eti ndiyo wanamsifia!
Hayo yote ni makosa ya kukurupuka kwa mwendazake kwa kujificha kwenye kivuli cha uzalendo 237bn, zinatosha kujenga hospitali tano za rufa na kuwekea madawa.......Tanzania Yakubali Kulipa Bilioni 237 ya Fidia Kwa Kuvunja Mkataba Mwaka 2018. Yatanguliza Bilioni 92
Tanzania na kampuni ya uchimbaji madini kutoka Australia, Indiana Resource Limited zimefikia makubaliano ya fidia ambapo Tanzania itailipa kampuni hiyo dola za kimarekani milioni 90 kutokana na kuvunja makubaliano katika Mradi wa Nikeli wa Ntaka Hill uliopo mkoani Lindi. Tanzania imeshatanguliza malipo ya awamu ya kwanza ya dola milioni 35 sawa na bilioni 92.
Haya yameelezwa leo Julai 29,2024 katika taarifa iliyotolewa na kampuni ya Indiana Resouces ambayo inaeleza kuwa kampuni hiyo imekubali kupokea ofa ya Tanzania ya dola milioni 90 sawa na bilioni 237, kiwango ambacho ni kidogo kuliko kile cha awali ambacho Tanzania kiliamriwa kulipa na Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji (ICSID).
Mnamo Julai 14, 2023, Tanzania ilitakiwa kuilipa kampuni ya Indiana Resources Ltd, dola milioni 109 ambazo ni sawa na takribani shilingi bilioni 250 baada ya kituo hicho kujiridhisha uwepo wa ukiukwaji wa mkataba wa uwekezaji katika Mradi wa Nikeli wa Ntaka Hill.
Kampuni hiyo imeeleza kuwa imeamua kukubali kiwango hicho kupunguza mzigo wa gharama utakaotokana na kuendelea na ubishano katika vyombo mbalimbali vya kisheria. Katika makubaliano hayo Tanzania itatakiwa kumalizia kiwango kilichobaki kwa awamu mbili, ambapo mpaka Oktoba 24 itatakiwa kulipa dola milioni 25 na ifikapo Machi 30,2025, itatakiwa kulipa dola milioni 30.
SOURCE: THE CHANZO
Alikuwa mpumbavu,moto uzidi kumchoma huko motoni alipo.,amin.Bogus ni wewe ni kizazi chako chote. Huna chochote cha kujivunia zaidi ya umasikini na ujinga . Jinga, jinga,jinga kwenye maisha yako yote . Kufa jinga wewe
Ambao wote bado wapo madarakani mpaka sasa !Hatuwezi kuanza upya bila wakiosababisha haya wasichukuliwe hatua stahiki
We naye akili kama za JPM tu, kama kuna kitu umefanyiwa sio sawa si unafungua shauri huko ICSID, MIGA or popote ambapo unapata attention ya Arbitration.Kuna Kiongozi Kijana wa Burkina Faso, ukisogea mpaka Mali, Niger wao Kwa Sasa wanavunja mikataba ya kinyonyaji ya mabeberu.
Kuanza Upya sio Ujinga... Madini hayaozi, Kulipa Billion hizo, lkn Madini yakabaki salama, na yakachimbwa Kwa Mkataba wenye Masilahi na Nchi, kipi Bora??.
Kama huna GPA ya kuanzia walau 3.5 Chuo Kikuu, huwezi kunielewa.
Hivyo hivyo kama ile Richmond tuliambiwa kampuni ya Marekani kumbe ni kijana wa kiasia aliyekuwa na kiofisi cha kupigia simu za kimataifa kupitia Internet pale nyuma ya Keyβs Hotel mnazi mmoja.Hizi ni rushwa za wakubwa, hiyo kampuni utakuta ni ya wazawa haswa wenye asili ya India
Ila hii nchi watu wanajipigia tuπSasa sisi Insiders tunajua wazi kuwa huu ni ulaji tu; hata mimi nimetafutwa kama naidai Serikali watasaidia tule Pamoja. Nikapuuzia.