Tanzania kuilipa Indiana Resources Ltd Bilioni 237 baada ya kuvunja mkataba mwaka 2018. Yatanguliza Bilioni 92

Sijui wa DP world itahitaji Trilioni ngapi huko mbeleni tutakapopata mtanganyika atakayetaka mali za watanganyika ziendeshwe na watanganyika wenyewe au atakayekuja kutaka wanangorongoro warudishwe.
 
Yule mungu wenu alitaka kumuuzia nchi yetu mtutsi lakini kabla hajakamilisha adhima yake mwenye dunia yake akamwita, tunashukuru sana.
Unaongea vitu gani aisee.

Au umelewa mbege tayari.
 
Yule ana gpa ya ngapi?

Usishabikie kindezi

Mikataba inavunjwa kiakili sio kishabiki

Dah ila mwamba naye katucost panono
 
Kuna mtu alikuwa bogus sana lakini kuna mazezeta eti ndiyo wanamsifia!
Bogus. ni wewe ambaye unakubali kupelekeshwa hata nyumbani kwako. Maamuzi ya Serikali ya Mwamba Magufuli yalikuwa sahihi kabisa. Sasa hivi hakuna kampuni ina kuja na kuingia mikataba ya ovyo ovyo. Wao wamepata kidogo na hasara kidogo na Tanzania imepata hasara kidogo na faida kwa maana bado madini tunayo!

Hayo ndio maamuzi ya wenye akili! Wenye D moja mtaelewa wapi!!
 
Unaongea vitu gani aisee.

Au umelewa mbege tayari.
Mungu wenu kila kitu alimkabidhi Mr.Slim,kuanzia bandari,mirerani yote alimkabidhi na ndiyo alikuwa mwalimu wake jinsi ya kupoteza watu wanaopingana naye,unajifanya hujui!
 
Wao hakuna hasara waliyopata bali wamejichotea mihela ya bure kwa sababu ya ubwege wa mtu mmoja.
 
HERI NUSU SHARI KULIKO SHARI KAMILI

NAIPONGEZA SERIKALI YA MAMA YETU KIPENZI CHA WANYONGE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…