Tanzania kulipiza kwa nguvu zaidi kufuatia Kenya kuwakataza Watanzania kuingia Kenya

Tanzania kulipiza kwa nguvu zaidi kufuatia Kenya kuwakataza Watanzania kuingia Kenya

China hawatoi data za covid19 kama Tanzania..

Hizi ndio hatua pombe atazichukua

1. Piga marufuku maziwa ya kenya juuzwa tz hasa brookeside[emoji1]

2. Piga marufuku magari ya kitalii juingia tz

3. Piga marufuku ndege zao kuongia tz

4. Choma moto vifaranga vya kuu vitakavyo vuka mpaka.

5. Bidhaa zote za kenya lazima zipimwe covid 19 hata Kma ni papai[emoji1][emoji111]
Coronavirus Update (Live): 17,757,496 Cases and 682,998 Deaths from COVID-19 Virus Pandemic - Worldometer
 
Speaking as who??Govt spokesman,,And are u speaking out of anger and bitterness na wivu.Usiwe unaropokwa tu kama mjinga.Be wise sometimes and always think of consequences,,, Clearly u are not wise
Patam hapo. Sisi hatosema waziri, tunaanza na watu wadogo tu kwanza
JamiiForums-1597831292.jpg
 
Mh ww nawe embu jaribu ku research uone respond ya hao raia juu ya hayo maamuzi ya serikal yao ndio uzungumzee on social networks tunaona the way kenyans complains kuhusu partial lockdown na curfew yao ya maigizo
Ha ha ha corona inaanza 20:00hrs hadi 05:59hrs
 
Kwani Kuna aibu na rangi nyeusi ya Mwafrika? Haikosi ungependa kuwa mzungu kiingereza ndio kinakuangusha...penda rangi yako Mkuu.
Nyie ndio vinara wa kujidharau na kuona wazungu ni kila kitu kwenu.
Mbona nyie mnakuwa na aibu na kiswahili kiasi kwamba hata KIBERA mnaita Kibra ili tu utamke kama mzungu. Penda lugha yako!
 
Nyie ndio vinara wa kujidharau na kuona wazungu ni kila kitu kwenu.
Mbona nyie mnakuwa na aibu na kiswahili kiasi kwamba hata KIBERA mnaita Kibra ili tu utamke kama mzungu. Penda lugha yako!
Na nyie mnaodhamini ngozi nyeupe na hapa mnajifanya kuwa mnapenda Africa. Nyie ndio mnafanya dada zenu kujichibua
 
Kila nchi itajizungumzia yenyewe kutokana na maslahi yake, ulitaka tuitishe mkutano wa nchi nzote ndio tuje na kauli moja kuhusu Kenya?. Au ulitaka tokae kimya?.

Kumbuka kwamba 'to every action there is equal and opposite reaction". Kama mumezuia kwa kutumia sababu za Corona, na sisi tutatumia sababu hizohizo kuwazuia wakenya kuingia Tanzania, sisi tutaongeza kidogo kwa kuzuia MAGARI ya Kanya kuingia Tanzania, watch out.
Zuilieni. Sisi hatuna utoto wa kulialia ovyo ovyo.
 


MY TAKE: Magufuli amefika Dar es Salaam jioni hii toka akitokea kumzika Mkapa huko Mtwara, Kenya ijiandae kwa "retaliation" kali sana kuanzia Jumatatu ijayo.
Tangu atolewe Mzee Mahiga kwenye ile wizara nyeti, limebakia Pazia tu la kutumbua mimacho tu na kusifu sifu ujinga.
 
Hivi wakenya hao askari mnawalipa kabisa mishahara ili wawa sumbueni na kuwa dhalilisha
 
Zuilieni. Sisi hatuna utoto wa kulialia ovyo ovyo.
Nani aliyelia?, subiri Jumatatu utasikia kama balozi wenu hapa Tanzania hatopiga magoti kuomba suluhu.

Kitu kimoja lazima mfahamu kwamba, tutaheshimu maamuzi yenu, lakini na ninyi ni lazima muheshimu maamuzi yetu.

Pia lazima mjue kwamba, mkichukua uamuzi wowote wenye kuihusu Tanzania bila kutushirikisha na huo uamuzi ukawa na madhara kwa Tanzania, jueni kwamba tutalipiza, kamwe hatutokaa kimya.

Ni muhimu kama majirani tukaishi kwa kuheshimiana na kushirikishana.
 
Back
Top Bottom