ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Patam hapo, tunapasubiriTanzania and Kenya are playing 18th Century Mercantile Diplomacy.
Nothing good ever comes out such brawling, only blood and gore.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Patam hapo, tunapasubiriTanzania and Kenya are playing 18th Century Mercantile Diplomacy.
Nothing good ever comes out such brawling, only blood and gore.
Coronavirus Update (Live): 17,757,496 Cases and 682,998 Deaths from COVID-19 Virus Pandemic - WorldometerChina hawatoi data za covid19 kama Tanzania..
Hizi ndio hatua pombe atazichukua
1. Piga marufuku maziwa ya kenya juuzwa tz hasa brookeside[emoji1]
2. Piga marufuku magari ya kitalii juingia tz
3. Piga marufuku ndege zao kuongia tz
4. Choma moto vifaranga vya kuu vitakavyo vuka mpaka.
5. Bidhaa zote za kenya lazima zipimwe covid 19 hata Kma ni papai[emoji1][emoji111]
Zungumzia EA, tuko nchi ngapi? Zimezuiwa ngapi? Kwa nini?Imezuilia nchi zaidi ya 180, hiyo ni asilimia 95 ya nchi zote ulimwenguni. Mbona Tanzania tu waumie?
Patam hapo. Sisi hatosema waziri, tunaanza na watu wadogo tu kwanzaSpeaking as who??Govt spokesman,,And are u speaking out of anger and bitterness na wivu.Usiwe unaropokwa tu kama mjinga.Be wise sometimes and always think of consequences,,, Clearly u are not wise
Ha ha ha corona inaanza 20:00hrs hadi 05:59hrsMh ww nawe embu jaribu ku research uone respond ya hao raia juu ya hayo maamuzi ya serikal yao ndio uzungumzee on social networks tunaona the way kenyans complains kuhusu partial lockdown na curfew yao ya maigizo
Ha ha ha Arusha iko KenyaHajaongelea Rwanda wala Ethiopia anaongelea warembo wa kenya vs Tz, pia Arusha ni Tz usijitoe ufahamu[emoji3][emoji3][emoji3]
Nyie ndio vinara wa kujidharau na kuona wazungu ni kila kitu kwenu.Kwani Kuna aibu na rangi nyeusi ya Mwafrika? Haikosi ungependa kuwa mzungu kiingereza ndio kinakuangusha...penda rangi yako Mkuu.
Na nyie mnaodhamini ngozi nyeupe na hapa mnajifanya kuwa mnapenda Africa. Nyie ndio mnafanya dada zenu kujichibuaNyie ndio vinara wa kujidharau na kuona wazungu ni kila kitu kwenu.
Mbona nyie mnakuwa na aibu na kiswahili kiasi kwamba hata KIBERA mnaita Kibra ili tu utamke kama mzungu. Penda lugha yako!
Mmezuilia Kwa kuweka kichwa mchangani wakati huu wa corona. Mbona mnafura sasa?Zungumzia EA, tuko nchi ngapi? Zimezuiwa ngapi? Kwa nini?
Zuilieni. Sisi hatuna utoto wa kulialia ovyo ovyo.Kila nchi itajizungumzia yenyewe kutokana na maslahi yake, ulitaka tuitishe mkutano wa nchi nzote ndio tuje na kauli moja kuhusu Kenya?. Au ulitaka tokae kimya?.
Kumbuka kwamba 'to every action there is equal and opposite reaction". Kama mumezuia kwa kutumia sababu za Corona, na sisi tutatumia sababu hizohizo kuwazuia wakenya kuingia Tanzania, sisi tutaongeza kidogo kwa kuzuia MAGARI ya Kanya kuingia Tanzania, watch out.
Eti ndugu zetu! Ungewajua ha walivyo hovyo! hehe...Acheni uchochezi awa ni ndugu zetu
Tangu atolewe Mzee Mahiga kwenye ile wizara nyeti, limebakia Pazia tu la kutumbua mimacho tu na kusifu sifu ujinga.
MY TAKE: Magufuli amefika Dar es Salaam jioni hii toka akitokea kumzika Mkapa huko Mtwara, Kenya ijiandae kwa "retaliation" kali sana kuanzia Jumatatu ijayo.
Watz wengi ni incompetent na hawana ujasiri wakilinganishwa na wakenya.Ingependeza zaidi wapigwe marufuku na raia wa Kenya kuja Tanzania[emoji1241]
Incompetent ni wewe. Jisemee mwenyewe!Watz wengi ni incompetent na hawana ujasiri wakilinganishwa na wakenya.
Truth be told.
Nani aliyelia?, subiri Jumatatu utasikia kama balozi wenu hapa Tanzania hatopiga magoti kuomba suluhu.Zuilieni. Sisi hatuna utoto wa kulialia ovyo ovyo.