Tanzania kuna familia ambazo zinaishi kifalme bila Watanzania kuzifahamu au wamepiga kimya tu

Unauhakika?yaani MTU yupo madarakani Kwa Miaka 22 alafu familia yake ibaki kuwa masikini?kuna vitu bado hatujui nchi hii.
Siku wakifahamu mmiliki halali wa KAMPUNI YA MeTL, ndio wataelewa kuwa HAYATI MWALIMU alikuwa ni MJAMAA au BEPARI wa kujificha ficha.
 
Unatumia nguvu na akili kuelimisha hii mipunguani ya Mbowe.

Mimi huwa naitukana tu, maana usitegemee itakuelewa hapo.
 
 
Kesho kesho tu Maza atamteua Mama Magufuli kuwa mbunge. Huo ni utabiri wangu.
 
 
Mtoto wa Mama anaitwa nani nami nimtambue bandugu?
 
Unawatetea watu ambao hata ukimwambia mkate/ vitu vimepanda bei tuingie front anakuambia tangulia wewe. Siku ya kupiga kura wanaenda guest?
Acha wanyongwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…