King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mwenye nacho anaongezewa mkuu.Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?
Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?
Familia nyingine mama ni Rais , mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.
Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?
Walala hoi wanakubali kuhongwa na kuwachagua wahongaji kwa sababu ya kukosa uelewa wa athari za rushwa kwa maisha yao! Ndio maana ccm always capitalizes on the ignorance of the majority of the population for its survival!jiulize pia kwanini Walalahoi wanakubali kuhongwa na kuchagua wahongaji na kuacha kupigia Kira walalahoi wenzao
Nimewaza ile siasa ya Ujamaana kujitegemea nikajikuta ninalia mwenyewe mkuu.
Walala hoi wanakubali kuhongwa na kuwachagua wahongaji kwa sababu ya kukosa uelewa wa athari za rushwa kwa maisha yao! Ndio maana ccm always capitalizes on the ignorance of the majority of the population for its survival!
The majority of them hawalalamiki because of ignorance but suffer in silence! Wanaolalamika kwa sababu ya njaa waliotengenezewa na mfumo inawabidi washiriki vitendo vya rushwa japokuwa wanazijua athari zake!hawaelewi athari ya Rushwa wakati wa uchaguzi ila baada ya uchaguzi hao hao walalahoi wanalalamika kukithiri kwa Rushwa serikalini?
Hiyo ni kawaida, kila binadamu na hurka yake! Sasa mimi nimekupa maeneo tulivu, wewe unataka changanyikeni. Lakini anyway, ngoja nifikirie kwa namna nyingine.Mkuu miye hata sikugusi hivyo vitu, yaani miye Pepsi lager ndiyo zangu sina makuu.
Mkuu bora uswazi maana mabwepande huko mbali hata nikipiga kelele wkt kucha zinatolewa watu watakuja nisaidia fasta.Hiyo ni kawaida, kila binadamu na hulka yake! Sasa mimi nimekupa maeneo tulivu, wewe unataka changanyikeni. Lakini anyway, ngoja nifikirie kwa namna nyingine.
Afadhali maana kitaa nilichokizoeaHuo mpango wa kung'oa kucha za WATU ondoa kabisa 😁! SINZA KWA WAJANJA vipi?
Nipo safari kidogo nikirudi mkuu, nipo mkoani Morogoro huku nimeingia usiku huu.Ila kwa mida ya kesho mchana, unaweza kupita pale BREAKPOINT FAST FOOD. Kutakuwa na zawadi yako pale.
Nimekulewa mno[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Maisha hayalingani.
Binadamu wenye akili za kujitegemea Ni wachache.
Kuna baadhi ya watu kwao Maisha ya hayana kipaumbele.
Wanaweza kuwa na matatizo ya maji, ajira, umeme, afya lakini kwa mfano Mbowe anaweza kuwa na yeye ana tatizo lake la Ubunge, Ruzuku au madaraka.
Lakini huyu wa ajira, afya umeme hata ukimpa vitu vyake halafu Mbowe usimpe anachotaka, huyu mtu atakuona Hakuna Cha maana unachofanya.
Ila kama ukimpa Mbowe atakacho then, huyu mtu hata awe na shida Ton 50 atakuwa na Furaha tu.
Na hii ndio mbinu wanaotumia wanasiasa wanaozozana, kukaa pamoja kula ili kusiwe na kelele.
Leo, unaongelea familia ya Mwinyi, Kikwete lakini vyama vyote Tanzania vya siasa viko hivyo.
Penye maslahi hapaingiliki kirahisi.
Hivyo Ni vitega uchumi vya watu..
Psychology!
KATIIla kwa mida ya kesho mchana, unaweza kupita pale BREAKPOINT FAST FOOD. Kutakuwa na zawadi yako pale.
KATIBA mpya ndo inaandikwa hivyo, Wananchi wapendekeze MFUMO mzuri wa kupata VIONGOZI ktk Ngazi mbalimbali za uongozi.Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?
Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?
Familia nyingine mama ni Rais , mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.
Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?