[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huku kwetu baba ni mkata mkaa...
Mama ni mama wa nyumban!!!
Na watoto hawataki shule...wanavuta bange tuu..
Kweli tupo dunia tofaut,
Walianzaje?Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na Mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?
Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?
Familia nyingine mama ni Rais , Mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.
Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?
Hata hakieleweki ulichoandika.Maisha hayalingani.
Binadamu wenye akili za kujitegemea Ni wachache.
Kuna baadhi ya watu kwao Maisha ya hayana kipaumbele.
Wanaweza kuwa na matatizo ya maji, ajira, umeme, afya lakini kwa mfano Mbowe anaweza kuwa na yeye ana tatizo lake la Ubunge, Ruzuku au madaraka.
Lakini huyu wa ajira, afya umeme hata ukimpa vitu vyake halafu Mbowe usimpe anachotaka, huyu mtu atakuona Hakuna Cha maana unachofanya.
Ila kama ukimpa Mbowe atakacho then, huyu mtu hata awe na shida Ton 50 atakuwa na Furaha tu.
Na hii ndio mbinu wanaotumia wanasiasa wanaozozana, kukaa pamoja kula ili kusiwe na kelele.
Leo, unaongelea familia ya Mwinyi, Kikwete lakini vyama vyote Tanzania vya siasa viko hivyo.
Penye maslahi hapaingiliki kirahisi.
Hivyo Ni vitega uchumi vya watu..
Psychology!
Maji hufuata mkondo mwenye nacho huongezewa
Penye maslahi hapaingiliki kirahisi.Maisha hayalingani.
Binadamu wenye akili za kujitegemea Ni wachache.
Kuna baadhi ya watu kwao Maisha ya hayana kipaumbele.
Wanaweza kuwa na matatizo ya maji, ajira, umeme, afya lakini kwa mfano Mbowe anaweza kuwa na yeye ana tatizo lake la Ubunge, Ruzuku au madaraka.
Lakini huyu wa ajira, afya umeme hata ukimpa vitu vyake halafu Mbowe usimpe anachotaka, huyu mtu atakuona Hakuna Cha maana unachofanya.
Ila kama ukimpa Mbowe atakacho then, huyu mtu hata awe na shida Ton 50 atakuwa na Furaha tu.
Na hii ndio mbinu wanaotumia wanasiasa wanaozozana, kukaa pamoja kula ili kusiwe na kelele.
Leo, unaongelea familia ya Mwinyi, Kikwete lakini vyama vyote Tanzania vya siasa viko hivyo.
Penye maslahi hapaingiliki kirahisi.
Hivyo Ni vitega uchumi vya watu..
Psychology!
Hata umeme na maji ya bomba nyumbani navyo vimekuwa anasa kwa wanyonge!Kwetu sisi hata si wavivu kabisa. Tuanaamka assubuhi mapema na jembe. Chai yetu ugali na mlenda ni kazi kwa kwenda mbele. Wanatuita wanyonge. Hatujui suti hatujui tiles na msouth, hatujui mboga tatu, bia haituimudu japo kazi tunapiga.
Hao wanatuambia kilimo ni uti wa mgongo kumbe sisi kinatupinda mgongo.
Siasa imewapaisha angani tukiwatazama kwa mshangao!!!!
Ufumbuzi ni hapa tu mkuu:
"Pigani katiba mpya itakoyotoa fursa kwa yoyote mwenye talents na jitihada"
Mengine yote ni kujilisha upepo tu.
Haliwezi kueleweka kwasababu ya "Cult".Hata hakieleweki ulichoandika.
Hizo familia zimeshakamata mrija, wao ni kunyonya tu kwa kupokezana.Katiba ya sasa haijakataza Mlalahoi kugombea nafasi yoyote na katiba mpya haitazuia Mtoto au Mke wa kiongozi kugombea nafasi yoyote ile
Haliwezi kueleweka kwasababu ya "Cult".
Kama ambavyo wafuasi wa Mwinyi na Kikwete hawani tatizo ndivyo hivyo hivyo wafuasi wa Mbowe, Ndesamburo, Lissu, hawawezi kuona tatizo.
Hata sasa hivi Mbowe akimwachia James Mbowe au Dudley Mbowe huwezi Kuna tatizo, sana sana itatafutwa sababu nzito ya kuhalalisha uamuzi huo.
Easy!
Hata Museven, anataka kumwachia mwanue Urais, na wafuasi wake hawaoni tatizo.
Huku kwetu baba ni mkata mkaa...
Mama ni mama wa nyumban!!!
Na watoto hawataki shule...wanavuta bange tuu..
Kweli tupo dunia tofaut,
Hizo familia zimeshakamata mrija, wao ni kunyonya tu kwa kupokezana.
wengine wataishia kuwa chawa wa hizi familia ili wakumbukwe kwenye ufalme.
Mkuu mbona njia iko wazi kwa kila mtanzania,chukua kadi ya chama uanze kuutafuta uraisi,penye nia pana njia...Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na Mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?
Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?
Familia nyingine mama ni Rais , Mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.
Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?
Ufumbuzi ni hapa tu mkuu:
"Pigani katiba mpya itakoyotoa fursa kwa yoyote mwenye talents na jitihada"
Mengine yote ni kujilisha upepo tu.
Mtandao una gharama zake boss....Wakati Mstaafu anatengeneza mtandao tangu akiwa chuoni wengine wakawa busy kutenegeza GPA…kila mtu atakula alipopeleka mboga
Nawahurumia walimu uliopita mikononi mwao.Kama hupendezwi na anayofanya Mbowe leo CHADEMA si kesho tu unahama chama , unaenda ACT, CCM, TLP n.k kama Hupendezwi na anayofanya Rais au wanaotawala nchi utahama nchi? Hoja yako haiunganiki kwa sababu unalinganisha machungwa na makande.