Umeshaandika kila mtu ana haki ya kufuata ndoto zake.....Shida ni sehemu mbili kuna baadhi ya watoto wa viongozi wachache wanaodhani kuongoza nchi ni haki yao, na baadhi ya wastaafu au wenzawao (sio watoto zao) wasiotosheka mtu kama Salma Kikwete unashida gani ya ubunge si uwaachie na wengine wale.
Upo sahihi kimanti ya haki zake bali kuna mapungufu ya morality. Walau basi angekuwa ameonyesha awali kuwa na political interest ajawahi kuwa ata mlezi ndani ya UWT au kuwa mwanaharakati wa cause yoyote ata kupambania maslahi ya walimu wenzake toka mumewe awe waziri mpaka anamaliza uraisi zaidi ya miaka 30 ya siasa.Umeshaandika kila mtu ana haki ya kufuata ndoto zake.....
Hata huyu uliyemtaja muache afate ndoto zake...hayo ya kutosheka ni maamuzi yake binafsi kama akitaka.
Katiba ya sasa haijakataza Mlalahoi kugombea nafasi yoyote na katiba mpya haitazuia Mtoto au Mke wa kiongozi kugombea nafasi yoyote ile
HahahaaaHuku kwetu baba ni mkata mkaa...
Mama ni mama wa nyumban!!!
Na watoto hawataki shule...wanavuta bange tuu..
Kweli tupo dunia tofaut,
HahahaaaaHuku kwetu baba ni mkata mkaa...
Mama ni mama wa nyumban!!!
Na watoto hawataki shule...wanavuta bange tuu..
Kweli tupo dunia tofaut,
Mkuu hapo unamaama kwamba wanaofaidi kodi zetu kwa kiasi kikubwa hapa nchini ni hizo familia tatu tu.
Familia ya Jakaya Kikwete.
Familia ya Alhassan Mwinyi
Na Ya Rais Samia Suluhu.
Hapo upo sawa kabisa.
Tatizo mizania haiwezi ruhusu huyo mlalahoi kupenya.Katiba ya sasa haijakataza Mlalahoi kugombea nafasi yoyote na katiba mpya haitazuia Mtoto au Mke wa kiongozi kugombea nafasi yoyote ile
Kunahitajika jitihadi za haraka kufanyika Ili Kekin ya taifa wafaidike watanzania wote,hiyo ndio CCM
Tatizo mizania haiwezi ruhusu huyo mlalahoi kupenya.
Mfano ukaingia kwenye mchuano na mtoto wa mstaafu hata ukiwa na vipaji gani mfumo utamruhusu tu mtoto wa mstaafu hawatakuchukua wewe.
Watoto wa Sumaye nao wapo humo humo kwenye huu mtandao?Tatizo mizania haiwezi ruhusu huyo mlalahoi kupenya.
Mfano ukaingia kwenye mchuano na mtoto wa mstaafu hata ukiwa na vipaji gani mfumo utamruhusu tu mtoto wa mstaafu hawatakuchukua wewe.
Huku kwetu baba ni mkata mkaa...
Mama ni mama wa nyumban!!!
Na watoto hawataki shule...wanavuta bange tuu..
Kweli tupo dunia tofaut,
Usipowaona kwenye siasa basi utawakuta wamejichimbia kwenye taasisi nyeti na mashirika ya umma.Watoto wa Sumaye nao wapo humo humo kwenye huu mtandao?
Wewe unachuki tu aongoze nani asie na ndugu?Kwa Hali ya umaskini wetu na uoga mkubwa tukionana watanzania unashauri wafanyeje Ili Kuinusuru Hali hii?
2. Ile siasa ya ujamaa na kujitegemea ipogo?
3. Watoto wa baba wa Taifa, mkapa na JPM Mbona Hawafanya haya?
4. Ninahisi ukanda wa pwani kuna tatizo la kuridhisha kisiasa Hata kama hufai utapewa uongozi tu
Unafikiri hao wasemwao wamesoma sana basi! Hamna lolote. Kuna misomi kibao hadi uprofesor inataabika huku. Hukumbuki prof mmoja anamshukuru rais kumtoa jararani? Siasa TZ zinaendeshwa na wajanja wajanja na hawataki katiba mpyaNa wewe pambana familia yako iishi kifalme.
Soma sana,
Fanya kazi kwa juhudi sana.
Tafuta konekeksheni sana,
Jipendekeze sana sehemu sahihi kwa wakat sahihi
AU
Pigani katiba mpya itakoyotoa fursa kwa yoyote mwenye talents na jitihada
Hawana mshipa wa aibuUnakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na Mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu?
Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii familia bila serikali inaweza kuishi?
Familia nyingine mama ni Rais , Mtoto ni mbunge na mkwe ni mbunge na ni waziri.
Huu mfumo umekaa sawa au nimekuelewa tofauti?