Tanzania kuna familia ambazo zinaishi kifalme bila Watanzania kuzifahamu au wamepiga kimya tu

Acha roho mbaya yani hata kama wamejipambania na uwezo wano?

Wewe mlaumu babako tu
 
Ukitoka tofauti na hiyo tree hata kama ukawa Raisii utatukanwa mubashara ww ni mshamba na ikibid na awamu zako huzimalizi. Lile pigo la kifo cha mwongoza njia kwetu (wanyonge) ni sawa na kuku aliekuwa na vifaranga katikati ya msitu akaliwa na mnyama mkali, kisha vifaranga wakabaki msituni...

Maumivu ya hivyo vifaranga hayasimuliki pia maisha yao ni kama hayapo tena.
 
Mkuu hapo unamaama kwamba wanaofaidi kodi zetu kwa kiasi kikubwa hapa nchini ni hizo familia tatu tu.

Familia ya Jakaya Kikwete.

Familia ya Alhassan Mwinyi

Na Ya Rais Samia Suluhu.

Hapo upo sawa kabisa.
Yani chuki ni ulemavu na uchawi unanzia hapo
 
Wakati Mstaafu anatengeneza mtandao tangu akiwa chuoni wengine wakawa busy kutenegeza GPA…kila mtu atakula alipopeleka mboga

Mkuu naona wewe ni mtu wa REALPOLITIK tu. Hiyo mitandao ndiyo tena miundombinu ya ufisadi wa kimfumo nchini. Sijui unawachukuliaje watanzania wanaofoka na kulaani ufisadi na mafisadi nchini hasa nyakati za kampeni - naive idiots or hypocrites?
 
Yaani uongozi wa inchi inakuwa kama duka la familia
 
Dah!!!, wakati kwetu Mimi Mwalimu wa Shule ya Msingi Shimo la Udongo, ndio nina kazi kubwa na ukoo mzima unanitegemea.Aisee life is not fair But God is fair and good all the time.
 
Huku kwetu baba ni mkata mkaa...

Mama ni mama wa nyumban!!!

Na watoto hawataki shule...wanavuta bange tuu..

Kweli tupo dunia tofaut,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ama kweli dunia msongamano.
 
Yani chuki ni ulemavu na uchawi unanzia hapo
Hakuna Chuki mkuu call it you may want its all about facts.

Nimejiunga JF 2012 tulikua tunpambania JK na mambo yake hapa awamu yake ikapita.

Akaja Magufuli naye the same.

Awamu ya tano inaisha 2025.

Mwenyenzi Mungu akijaalia tutaona itakuwaje baada ya hapo.

Ila ni vyema watu wakajifunza kutofautisha chuki na uhuru wa mtu kutoa mawazo yake.

Unapozungumza jambo iwe linafurahisha au linakera lichukuliwe kama uhuru wa mtu kutoa mawazo yake.
 
Ni vipi unafanya kama kila ukipambana unarudi na manundu ?!
 

 
Pambana utoe ukoo wako mkuu, Bush baba alikuwa raisi na Bush mtoto akawa raisi, CLinton mume akawa raisi, na Hillary akawa waziri na kidogo awe raisi.
Shukuru Nyerere hakuwa na mawazo hayo la sivyo mpaka leo tungekuwa tunatawaliwa na ukoo wake. (Huenda wajukuu uwa wanamtukana kimya kimya kwa hili)
 
Hii biashara inafanywa na watu wa pwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…