The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Bilioni 199 ni ushuzi rafiki.hata sio mradi wa kimkakati.Hebu Nipe impact ya huo mradi kwa uchumi wa Tanzania.Magu wako aliacha hela za kulipia hiyo miradi?
Hiki hapa ni nini? ππ
View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1791850020410400832?t=cGRUCjzOWt9aaqU95WgBVA&s=19
Mama yenu anakopa imf anakuja kujenga madarasa, akili za kijinga huo ndo uchumi wa wa wapi au ushauri wa Dr. MwiguluKwani huo Mkopo unaenda kutumika wapi kama sio maendeleo? ππ
Magari 113...kwa 2024Hayo magari Yako mangapi?
Unadhani serikali ikiacha kufanya mambo kama hayo itafanya nini?Hii hapa unadhani ni nini? ππ
View: https://www.instagram.com/p/C7JAC3ttxc9/?igsh=MXF1OGo2MTgxa28yZQ==
Kwako maendeleo ni nini? Kugawiwa hela au?
Nilijua angalau una akili kidogoUmewahi fuatwa kwako kudaiwa hela ya Mkopo?
Sijawahi kuona uongozi wa ovyo kiasi hiki miaka ya karibuni. Eti unakubalini ushauri wa kukopa IFM kusaidia hela yako isishuke thamani? IFM wenyewe wako kwenye biashara ya kukopesha nchi hela kwa faida kubwa. Sijui kwa nini viongozi wenye kumshauri mama hadi lini wanatupeleka kwenye madeni ili tubakie kwenye mzingo wa madeni kama wanavyotaka IFM na world bank. Binafsi sijawahi kusikia nchi ya ulimwengu wetu iliyojikomboa ikapata maendeleo kwa kukopa IFM na world bank. Nchi nyingi zinafanya review jinsi zilivyodhurika na mikopo ya hawa wasimamizi wa ubeberu sisi ndio tumerudi tunajiingiza kichwakichwa. Kukopa huko kwa manufaa haihitaji viongozi walafi na wabinafsi kama tulio nao sasa. Kama huwezi kupata dili nzuri yenye manufaa usiende kwa kua watakupa binafsi hela au utapiga panga hela unazokopa ovyo na kusababishia nchi madeni ambayo watalipa watoto na wajukuu zako bila ya wenyewe kua wamepata faida yoyote.Kuna habari nimeiona mtandaoni,nimeona niilete jukwaani.
Shirika la fedha la IMF ,litaikabidhi Tanzania mkopo wa dollar millioni 150 ili kuweza kukabiliana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dollar...
Kuanzia tarehe 17 May 2024,mkopo utakuwa tayari ushaanza kupokelewa.
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
GENTAMYCINE
source:the citizen
IMF to provide $150 million to Tanzania, cautions against prolonged foreign currency shortages
IMF warns that foreign currency shortages will persist in Tanzania this year, posing risks to economic growth.www.thecitizen.co.tz
Kwenye lile genge lililoruhusiwa kula urefu wa kamba zao, kwamba wenyewe ruksa kujipimia!.Huo mkopo utaelekezwa kwenye mradi upi exactly
Kwanza kiasi hicho ni peanut kabisa, hakitoshelezi mahitaji ya kustabilize shilingi yetu.Huo mkopo utaelekezwa kwenye mradi upi exactly
GENTAMYCINE jamaa anakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Hilo ni kundi la chawa wasio na akili.Una upeo mkubwa wa kujadili mada
Pesa za kulipana posho na kununua magariKuna habari nimeiona mtandaoni,nimeona niilete jukwaani.
Shirika la fedha la IMF ,litaikabidhi Tanzania mkopo wa dollar millioni 150 ili kuweza kukabiliana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dollar...
Kuanzia tarehe 17 May 2024,mkopo utakuwa tayari ushaanza kupokelewa.
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
GENTAMYCINE
source:the citizen
IMF to provide $150 million to Tanzania, cautions against prolonged foreign currency shortages
IMF warns that foreign currency shortages will persist in Tanzania this year, posing risks to economic growth.www.thecitizen.co.tz
Nani kakumbia kitatumika kweli kwenye ku-stabilize sh yetu? Hizi ni za kina Kinana kula kwa urefu wa kamba zao.Kwanza kiasi hicho ni peanut kabisa, hakitoshelezi mahitaji ya kustabilize shilingi yetu.
Wewe ni k la mbwa mbonaNilijua angalau una akili kidogo
Kumbe ni k... La nyani tu
Ndio waulize wanaosema hela zinafanya nini?Unadhani serikali ikiacha kufanya mambo kama hayo itafanya nini?
Onyesha hapa hiyo source YakoMagari 113...kwa 2024
Magari 71....kwa 2023
Nioneshe waliposema hela inaenda kujenga madarasa.Mama yenu anakopa imf anakuja kujenga madarasa, akili za kijinga huo ndo uchumi wa wa wapi au ushauri wa Dr. Mwigulu