Tanzania kupokea mkopo wa dollar million 150

Mkuu,
Mwezi wa 4,mwaka huu,wakuu wa Wilaya 3 za Kilimanjaro walikabidhiwa magari yenye thamani zaidi ya Millioni 600.
Yani,kuna mda hawa watu hawateteeki.

 
Sawa wewe ulitaka watembelee spacio au Harrier ama?
 
NHC
Ni inafanya biashara, inatakiwa ijiendeshe yenyewe na siyo kwa fedha kutoka serikali...

So huo mfano hata haukutakiwa kuuweka mkuu
Ni shirika la Serikali na Serikali ndio umewapa guarantee ya Mkopo wa kufufua shirika ambalo Mwendazake aliliua.

Wanawake wanaweza , wanaume zaidi ya majigambo,umalaya na kuhonga hakuna Cha maana wanaweza ndio maana huishia kujinyonga
 
Sawa wewe ulitaka watembelee spacio au Harrier ama?
Majibu yako inaonesha kuwa hata nawe unaona wanazingua...
Hii nchi bado
  • Ambulance ni chache
  • Magari ya kuzimia moto hakuna
  • Trekta chache
  • Vivuko vichache
Pesa zingeenda kununulia hivyo vitu, watu wangewaombea baraka zaidi.

Viongozi wanataka kuishi kifahari kama mabilionea, nchi yetu bado haujafika huko.
 
Mungu ibariki Tanzania
 
Wataalam waje na mikakati ya uzalishaji kwenye kilimo na viwandani. Kukopa ili kuinusuru shillingi ni temporary measure. Unakabili vili shilingi dhidi ya dola kama huna cha kukuingizia dola?
Wachumi wawasaidie viongozi waache siasa.
 
Ni shirika la Serikali na Serikali ndio umewapa guarantee ya Mkopo wa kufufua shirika ambalo Mwendazake aliliua.

Wanawake wanaweza , wanaume zaidi ya majigambo,umalaya na kuhonga hakuna Cha maana wanaweza ndio maana huishia kujinyonga
Shirika lilikufa kabla ya Magu....
Liliuza Nyumba zake Oysterbay na Mikocheni kibao
Watu walikuwa wanapanhishana kindungu
Miradi isiyo na faida kwa nchi kibao
Kulipana mishahara mikubwa.

Mpaka sasa,hakuna kilichobadilika ,hali ni ile ile...Miradi ya apartments isiyo na tija kiuchumi.


Halafu unakaa na kusema Magu....
 
Wataalam waje na mikakati ya uzalishaji kwenye kilimo na viwandani. Kukopa ili kuinusuru shillingi ni temporary measure. Unakabili vili shilingi dhidi ya dola kama huna cha kukuingizia dola?
Wachumi wawasaidie viongozi waache siasa.
Mhiguru,Tangia awe waziri wa fedha....amekuja na sera ipi ya
  • Kuinua fedha ya Tanzania
  • Kukuza uwekezaji wa ndani
  • Kukuza soko la mitaji
  • Kukuza Uwekezaji kutoka nje
  • Kuinua pato la Watanzania
Sera ipi kaja nayo...
Mana kila anawasilishaga bajeti ,mie huwa namskiliza,,hakuna jipya.
 
Kwenda huko,miradi yake yote alipiga marufuku ikaoza huko.

Lilikufa Kwa nini alishindwa kulifufua?

Kwanza mtu wenu yule hamnazo aliharibu uchumi kiasi kwamba private sector ikafa .

Samia katoa wapi pesa za kufufua? Mwendazake aliua Hadi mashirika ya pensheni.

View: https://www.instagram.com/p/C7FIBV6tEqb/?igsh=NWpmanpqbmViMGtm
 
Waliosababisha hizo ambulance ziwe chache ni kina nani kama sio hao watu wenu wasio na akili za Uongozi?

Kazi ya Samia hii hapa kwenye ambulance πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/ortamisemitz/status/1723222057004015957?t=D2qai4tGbcUpspVg7BlHjA&s=19
Kazi ya Samia hii hapa kwenye Zima moto πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/WizaraMNN/status/1789920034124378300?t=07PjwADjZBXefEpcaOzjSQ&s=19

Usirudie kumlinganisha Samia na loosers
 
Mashirika ya Pensheni yaliuliwa na Kikwete mkuu,inaelekea umemaliza chuo enzi za Magu ndiyo mana hata data kama hizi haujui enhe...
Kabla ya 2015
  • Mashirika ya Mafao ndiyo yalikuwa yanaongoza kwa Miradi ya Ujenzi
  • Yalikuwa na Ujenzi wa Magorofa makubwa kila mkoa
  • Moja likajenga Daraja la Nyerere
  • Lingine likataka kujenga Daraja la Dar to Zanzibar
  • Mengine kutaka kuweka pesa kwenye Kigamboni New City
  • Vyote vinafanyika bila Pesa kurudi na miradi kuwa hasara
  • Kikwete akafanya mabadiliko ya sheria kwenye pensheni ili kuwabana watu kudai pesa zao....
  • Mashirika yalikuwa yana madeni makubwa kuliko kiwango stahiki...
 
JK hawezi kusingizia Kwa lolote,during his time biashara zilikuwa kedekede mjini

Swali nini Mwendazake aliua Kwa kupora pesa zao na Kupeleka huko mnakosema kwenye Sgr na ujinga mwingine?

Alivuruga sekta ya real estates wawekezaji na wafanyabiashara wakakimbia miradi yote ikakwama kuanzia Morocco Hadi Dege
 
Aya hilo NHC
Inajenga miradi ambayo ni White elephant
Samia Housing pale Kawe....upo Karibu na mradi mwingine apartments pale Kawe Beach....
Mradi wa Dege Beach Kigamboni
Morocco Complex pale Mikocheni..
Hii yote ni white elephant projects.....

Wamejenga nyumba na kuziuza kwa million 70 (nyumba ndogo,vyumba viwili) ,halafu Millioni 100 mpaka 150 kwa nyumba ya vyumba vitatu....

Bongo Kuna uhitaji wa Nyimba lakini siyo kwa bei hizo....Mwishowe Majengo Yao mengi ni empty.
 
Mdogo wangu,Haya majengo sio miradi ya kimkakati,Hapo mnahangaika kutafuta wapangaji mpaka yataoza.

It’s nikiwa Angalia nyie ma CCM Naona Hamnamnalolijua.

Miradi ya kimkakati ni kama kwa sekta zifuatazo labda nikupe elimu,

1.Upamuzi wa mashamba ya kawaha waajili ya kupromote export.

2.Ununuzi wa
haya bwana Nashukuru kwa kunitusi.
 
Ingekuwa white elephant zingeuzika? Mbona unaongea ujinga? Samia Scheme Hadi dakika hii Iko over 80% occupied.

Unajua why? Kwa sababu Samia amerudisha biashara.Subiria mataahira wengine waje baada yake utaona kitakachotokea tena.
 
Una matatizo makubwa,Kuna Rais amewekeza hela nyingi kwenye irrigation kumzidi Samia toka Uhuru?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…