greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
- Thread starter
-
- #81
Hapo umeoneshwa madudu ya hayo mashirika ,unajidai kugeuza hoja....JK hawezi kusingizia Kwa lolote,during his time biashara zilikuwa kedekede mjini
Swali nini Mwendazake aliua Kwa kupora pesa zao na Kupeleka huko mnakosema kwenye Sgr na ujinga mwingine?
Alivuruga sekta ya real estates wawekezaji na wafanyabiashara wakakimbia miradi yote ikakwama kuanzia Morocco Hadi Dege
Wewe upo Mbeya ,haujui hali ya soko la real estate ya Dar....Ingekuwa white elephant zingeuzika? Mbona unaongea ujinga? Samia Scheme Hadi dakika hii Iko over 80% occupied.
Unajua why? Kwa sababu Samia amerudisha biashara.Subiria mataahira wengine waje baada yake utaona kitakachotokea tena.
Unauliza katoa wapi Pesa πππKwenda huko,miradi yake yote alipiga marufuku ikaoza huko.
Lilikufa Kwa nini alishindwa kulifufua?
Kwanza mtu wenu yule hamnazo aliharibu uchumi kiasi kwamba private sector ikafa .
Samia katoa wapi pesa za kufufua? Mwendazake aliua Hadi mashirika ya pensheni.
View: https://www.instagram.com/p/C7FIBV6tEqb/?igsh=NWpmanpqbmViMGtm
Hiyo miradi wangeenda kukaa akina nani,,,JK hawezi kusingizia Kwa lolote,during his time biashara zilikuwa kedekede mjini
Swali nini Mwendazake aliua Kwa kupora pesa zao na Kupeleka huko mnakosema kwenye Sgr na ujinga mwingine?
Alivuruga sekta ya real estates wawekezaji na wafanyabiashara wakakimbia miradi yote ikakwama kuanzia Morocco Hadi Dege
Halafu zitaishia kubadilishwa na pesa yetu na kurudi hukohuko. Huu mkopo wa aina gani. Mm naomba Mungu nisiulipe. Hakuna kitu kubabaki hapa. Nashauri ununue trekta za kurahususha kilimo, madawa ya hispitalini na wakatiwe wananchi kupata BIMA YA AFYA.Kuna habari nimeiona mtandaoni,nimeona niilete jukwaani.
Shirika la fedha la IMF ,litaikabidhi Tanzania mkopo wa dollar millioni 150 ili kuweza kukabiliana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dollar...
Kuanzia tarehe 17 May 2024,mkopo utakuwa tayari ushaanza kupokelewa.
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
GENTAMYCINE
source:the citizen
IMF to provide $150 million to Tanzania, cautions against prolonged foreign currency shortages
IMF warns that foreign currency shortages will persist in Tanzania this year, posing risks to economic growth.www.thecitizen.co.tz
Wataalam waje na mikakati ya uzalishaji kwenye kilimo na viwandani. Kukopa ili kuinusuru shillingi ni temporary measure. Unakabili vili shilingi dhidi ya dola kama huna cha kukuingizia dola?
Wachumi wawasaidie viongozi waache siasa.
Kama hizi takwinu ni za kweliUkisoma hizi takwimu hapa za imports huwezi shangaa,
View attachment 2993894
punguzeni kuzaana hovyo,ongezeni uzalishaji(long term process) na anzeni kuwaamini wakandarasi wenu wa ndani ikiwemo kuwawezesha Ili pesa nyingi mnazowalipa Wachina Kwa Dola msevu Kwa kuwalipa wazawa Kwa Shilingi vinginevyo shida itaendelea licha ya uchumi kuimarika ila hauendeani na Kasi ya ongezeko la watu na uzalishaji.
Ndio uhalisia huo,Kila kitu tunaagizaKama hizi takwinu ni za kweli
Basi nchi yetu Ina Hali mbaya
Saizi wanakaa kina nani? Unadhani Kila mtu maskini kama wewe?Hiyo miradi wangeenda kukaa akina nani,,,
Unaweza kwenda lips kodi ya Millioni 2 kwa mwezi kwa ajili ya chumba kimoja cha kulala...
Wakati wengi wa watu wanamudu kodi za Alfu 50 hadi 100k kwa chumba.
Mikopo sio Misaada Wala pipi.Kwa nini mtu wenu hakuchukua mikopo Kila kitu kikafa?Unauliza katoa wapi Pesa πππ
Hiyo mikopo inayochukuliwa kama Pipi hauioni....
Upo serious.
Unagewa data halafu unabaki kusema kwenda,kwenda πππ
Kwani hawatangazi? Yalikuwa empty wakati wa mtu wenu asiyekuwa na akili za Uchumi sio Kwa SamiaWewe upo Mbeya ,haujui hali ya soko la real estate ya Dar....
Maghorofa ya apartments na ofisi kibao yapo empty....
Eti Samia 80% limechukuliwa, ngoja ujenzi mishe ndiyo uone....
Biashara ipi iliyorudi zaidi ya upigaji.
Wewe kima sekta ya ujenzi yote ilikufa,Majumba yalikuwa yanauzwa hovyo na banks,mabenki yenyewe kibao yaligilisika na kuwa na lundo la non performing loans,Kilimo lilikufa.Hapo umeoneshwa madudu ya hayo mashirika ,unajidai kugeuza hoja....
ππππ
Eti biashara, ufisadi wa fedha za serikali ndiyo Ufisadi....πππ
Taja hizo biashara zilizokufa.
Mabenki yanafanyia biashara pesa za serikali.Wewe kima sekta ya ujenzi yote ilikufa,Majumba yalikuwa yanauzwa hovyo na banks,mabenki yenyewe kibao yaligilisika na kuwa na lundo la non performing loans,Kilimo lilikufa.
Vilio vya vyuma kukaza vilishamiri ,Ajira hakuna ,kupora wafanyabiashara na ujinga mwingi kama huo
Njoo ujionee Majengo yalivyotupu....Kwani hawatangazi? Yalikuwa empty wakati wa mtu wenu asiyekuwa na akili za Uchumi sio Kwa Samia
Sekta ya Ujenzi ilikufa πππWewe kima sekta ya ujenzi yote ilikufa,Majumba yalikuwa yanauzwa hovyo na banks,mabenki yenyewe kibao yaligilisika na kuwa na lundo la non performing loans,Kilimo lilikufa.
Vilio vya vyuma kukaza vilishamiri ,Ajira hakuna ,kupora wafanyabiashara na ujinga mwingi kama huo
Haina watu....Saizi wanakaa kina nani? Unadhani Kila mtu maskini kama wewe?