Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Namnukuu waziri wa katiba na sheria hapa chini:
"Sio vizuri sisi tusiwe ndani ya Mahakama [ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu-AfCHPR] ikiwa ipo kwetu, Rais wake ni Mtanzania. Jambo la msingi tupeni muda serikali tutaonesha kwa matendo."- Waziri wa Katiba na Sheria, George Simbachawene.
Tanzania ilijitoa AfCHPR Desemba 2019 kwa sababu ambazo hadi sasa hazijawahi kuwekwa wazi.