Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Majibu anayo Kabudi na MwendazakeWatuambie na sababu za kujitoa zilikuwa zipi.
Alikuwa hajiamini, siku zote mtu muoga ndiyo huwa anakuwa mkaliJiwe sijui alikua anaogopa nini
Mother anaturudisha kwenye mstari taratibu, japo "wanyonge" wanampinga sana, hawapendi moves zakeSafi sana tumezinduka.
Hao wanaojiita "Wanyonge" wamekuwa wakitumika kisiasa na kufanywa mitaji ya kisiasa..muda umefika sasa kwa wao kuzinduka kutoka usingizini.Mother anaturudisha kwenye mstari taratibu, japo "wanyonge" wanampinga sana, hawapendi moves zake
Hawa watu sijui walitoka sayari ganiMajibu anayo Kabudi na Mwendazake
Sayari ya jalalaniHawa watu sijui walitoka sayari gani
Kabisa Chief, inashangaza mtu anafurahia kuitwa mnyongeHao wanaojiita "Wanyonge" wamekuwa wakitumika kisiasa na kufanywa mitaji ya kisiasa..muda umefika sasa kwa wao kuzinduka kutoka usingizini.
Matendo yake ya Ki-putin.Jiwe sijui alikua anaogopa nini
Msifanye hii issue kuwa kubwa na kulaumu sijui nani mbona nchi nyingi duniani huwa zinajitoa na baadae zinarudi? Chuki zenu binafsi zinaonyesha udhaifu wenu wa kutumia akili mtaalamu mmoja Mtanzania alituambia kazi ya kichwa sio kufugia nywele tu