Tanzania kurudi Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

Msifanye hii issue kuwa kubwa na kulaumu sijui nani mbona nchi nyingi duniani huwa zinajitoa na baadae zinarudi? Chuki zenu binafsi zinaonyesha udhaifu wenu wa kutumia akili mtaalamu mmoja Mtanzania alituambia kazi ya kichwa sio kufugia nywele tu
Uko sahihi lakini haiondoi ukweli kuhusu ukatili wa Mwendazake.
 
Uko sahihi lakini haiondoi ukweli kuhusu ukatili wa Mwendazake.
Kabisa, jamaa alikuwa katili mnooo, na alijua akitoka madarakani watampeleka huko, mjinga sana alikuwa, and uzuri kumbukumbu ya kifo chake ya mwaka mmoja imepotezewa, na hii ni makusudi kabisa
 
Mahakama yenyewe haina tija yeyote ni ujinga ujinga tu! Haisababishi gharama ya maisha kushuka wala kuboresha maisha ya watu! Endeleeni kusifia ujinga!
 
Mahakama yenyewe haina tija yeyote ni ujinga ujinga tu! Haisababishi gharama ya maisha kushuka wala kuboresha maisha ya watu! Endeleeni kusifia ujinga!
Hiyo mindset ndiyo kifo chenu
 
Hata kama mahakama hiyo iko tanzania tusisahau tulijitoa baada ya kuona eti watu binafsi wanaweza kufungulia nchi mashitaka. Jambo hilo ni la ovyo kwa sababu nchi inaweza kusumbuliwa na wanasheria wenye uchu tu wa kupata fedha kwa kuchochea kesi za kuingilia uhuru wa nchi yetu
 
Uhuru upi? Madikteta huwa hawapendi kuwajibishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…