Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Hiyo akili tunayo?Hizo ni siri za Taifa.
Ni lazima tuunde drones na missiles zetu wenyewe. Ndiyo njia ya mkato hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo akili tunayo?Hizo ni siri za Taifa.
Ni lazima tuunde drones na missiles zetu wenyewe. Ndiyo njia ya mkato hiyo.
Kuwa mjinga siyo kukosa akili, ni kutokujuwa kuitumia tu. Hakuna asiye na akili, WaIran watatufundisha kuitumia.Hiyo akili tunayo?
hongera zetu mazee tuko vizurii... umma apa tz upo fully nyuma ya irani...ayatolah na nasralah hoyeee....mama yuko vizuriii, walete ss hezbolah nchiniii
View attachment 3130330
Matusi yanatoka wapi? Alafu wewe mwanamke unakimbilia kwa mama na bibi yangu wanahusika nini?Kwani habari za michezo zimefutwa mtandaoni?
Kama mamako na bibi yako hawajuwi kutumia mtandao usifikiri na mama na bibi za wenzako ni mapoyoyo kama mamako na bibi yako.
Punguwani wahed.
Hahaaaahongera zetu mazee tuko vizurii... umma apa tz upo fully nyuma ya irani...ayatolah na nasralah hoyeee....mama yuko vizuriii, walete ss hezbolah nchiniii
View attachment 3130330
Kuwa na akili sasa wewe mzee.Tutawafundisha kukatika, au siyo mchezo huo?
😂😂🤷🏾♂️Tutawafundisha kukatika, au siyo mchezo huo?
Wewe unadharau kukatika, ungekuwepo wewe bila wazazi wako kukatikiana?Kuwa na akili sasa wewe mzee.