vipi maeneo yanayotokea vita ina maana Mungu hajaamua kuwalinda ?Mwenyezi Mungu ndio anayelinda Aman ya Tanzania na wala sio Kanisa.
Rwanda ni nchi iliyoingia kwenye machafuko sababu ya Kanisa. Roho ya machafuko katika nchi inaweza kuletwa na Imani yeyote.
Refer Nigeria,syria ,palestine etc!