Tanzania Kushirikiana na Iran Sekta ya Michezo

Ugaidi nje nje tuwe makini nao wavaa kubazi.
All the best
 
Iran sio gari bovu uchumi wa jiji la Teheran tu ni mkubwa mara mbili ya uchumi wa taifa lako zima.
Ushirika wa Iran na Tz umeanza miaka mingi iliyo pita.

Lakini pia hayo mataifa unayo yaona siyo ya hovyo tumekuwa tukishirikiana nao zaidi ya miaka 60 lakini nchi haijawahi kunufaika chochote zaidi ya kunuka umasikini.
Tuache kushirikana na Us au EU twende kwa loosers ohhoohh my country my country my country !!!!
 
Tushirikiane nao pia katika vita, kuna Wazalendo wengi humu JF wanaoipinga Israeli, wapelekwe front line😁
 
Michezo ya kutupiana risasi na kuswim katila nyuklia
 
Naendelea kushahgaa maajabu ya Iran, hii nchi siielewi kabisa inavyoendaenda.
 
TANZANIA KUSHIRIKIANA NA IRAN SEKTA YA MICHEZO

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeingia makubaliano ya kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika sekta ya Michezo.

Makubaliano hayo yameingiwa Oktoba 19, 2024 Jijini Dar es Salaam kupitia Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro na Jamhuri ya Kiislam ya Iran ikiwakilishwa na Mhe. Gholamreza Nouri Waziri wa Kilimo.

Nchi hizo zinatarajia kushirikiana katika Utalii wa michezo, kubadilishana wataalamu pamoja na kupeana uzoefu katika miundombinu ya michezo.

Hafla hiyo imehudhuriwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmood Thabit Kombo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Gerson Msigwa pamoja na wataalam wengine kutoka wizara hizo.

Mimi nilitamani tushirikiane kwenye sector ya sayansi,technolojia na kijeshi.
 
Kuna kitu kimefichwa hapo kuwapoteza watu fulani

Sio michezo hii tunayoijua sisi
 
Ww ndo mpumbavu kwa sababu unarazimisha kujifanya mjuaji hali yakuwa ww ni mbumbumbu.

Iran ni nchi ya 19 kwa ubora duniani kwenye rank za fifa ,Iran ni nchi ya 3 kwa ubora barani Asia kwa hiyo hizo nafasi kapewa kama zawadi tu?

Nenda kwenye orodha ya mataifa yaliyo chukua medari nyingi kwenye Olympic iliyo fanyika Ufaransa mwaka huu uone Iran iko nafasi ya ngapi mwenye kuchukua medari nyingi alafu urudi hapa kuandika huo uharo wako.
Kumbe wewe ni zezeta kweli Asia kuna mpira gani wa kwenda kujifunza

Zaidi ya miundo mbinu ya michezo Asia wana mpira gani wa kwenda kujifunza kwao 🤔 kama kigezo ni kushinda medali basi kenya tuu jirani hapo wanafaa kua darasa bora kwenye michezo Tanzania, alafu ukajifunze kuandika vizuri zezeta wewe
 
Zezeta ni aliye kuzaa ww 🐖. kama Asia hakuna mpira wowote mbona Tz hata kwenye 100 hayumo kama ni rahisi?
 
Hivi unaelewa hata unacho kiandika mbwa koko wewe 🤔Mazezeta ni wewe na wazazi wako wote
 
Madam wewe na michezo wapi na wapi???
Huyo popote ukigusia uislam na nchi zake anautetea kwa hoja hata za kuokoteza.
Usitie maanani sana hoja zake anapotetea jambo lenye vinasaba vya uislam ndani yake.
 
TANZANIA KUSHIRIKIANA NA IRAN SEKTA YA MICHEZO

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeingia makubaliano ya kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika sekta ya Michezo.

Makubaliano hayo yameingiwa Oktoba 19, 2024 Jijini Dar es Salaam kupitia Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro na Jamhuri ya Kiislam ya Iran ikiwakilishwa na Mhe. Gholamreza Nouri Waziri wa Kilimo.

Nchi hizo zinatarajia kushirikiana katika Utalii wa michezo, kubadilishana wataalamu pamoja na kupeana uzoefu katika miundombinu ya michezo.

Hafla hiyo imehudhuriwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmood Thabit Kombo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Gerson Msigwa pamoja na wataalam wengine kutoka wizara hizo.

viongozi wetu nao mnamatatizo nyie mnashirikianaje na nchi ambayo kila kukicha inashindwa vita hata kabla ya kuvianza..!
iran nani anayewaza michezo huko muda wote wanawaza sijui kombora la israel litatokea upande gani?
 
Hao wanamichezo wataingiaje kwenye nchi ya giza, Iran? Iran, mwanamke kuingia tu hajaficha uso wake, ukibahatika sana ni jela, mambo yakienda vibaya, unakatwa shingo. Serikali ya Iran iliwahi kuwaua akina mama 60 kwa kosa la kuandamana kutaka mwenzao aliyekamatwa na polisi kwa kutofunikwa uso wake, aachiwe.
 
Iran... Michezo..🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂... Labda michezo ya majeshi

Wabongo wengi ushabiki wenu kwenye michezo upo sana sana kwenye soka labda kidogo na masumbwi...

Kwa wasiojua Iran ni moja ya mataifa yanafanya vizuri sana kwenye michezo ya ndani inayohusisha mapigano kama masumbwi, taekwondo, judo, mieleka na hata kunyanyua uzito. Hii yote ni moja ya michezo inayochezwa kwenye Olimpiki, Jumuiya ya Madola, African Games...
 
Back
Top Bottom