Tanzania Kushirikiana na Iran Sekta ya Michezo

Tanzania Kushirikiana na Iran Sekta ya Michezo

Unaukimbia mjadala kwa juhudi kubwa sana hadi nashangaa imekuwaje ukawa humu kwenye nyumba ya mijadala?

Ova
Mjadala ni michezo...mifano ya shule inaingiaje hapa.
Acha ujinga kijana..
 
Iran inavikwazo kushurikiana nayo ni kujitakia majanga tu
 
Iran imeshacheza fainali za Asia cup mara 14 na kuchukuwa kombe mara 3.

Tanzania vipi, Afrika cup fainali mara ngapi na kombe mara ngapi?
Iran ni moja ya nchi barani Asia yenye kiwango cha juu sana. Na imetoa wachezaji wazuri sana kwenye league za Europe. Mfano hakuna mtu ambaye ni mnazi wa mpira asie mjua Ali Daei aliye kiwasha kwenye Bundes liga. Kwenye premier league walikuwepo akina Karim Bagher huyu alikuwa charton Athletic, Dejagah alikuwa Fulham, Ali Reza alikuwa Brighton. Nk nk. Na kwenye mieleka wako kwenye nafasi za juu sana. Msiwachukulie poa akina Ayatollah Kali kali, they are good up stairs.
 
Wewe huoni nchi jinsi anavyopewa muarab siku hadi siku tena kizembe tu kwa upuuzi wa mtu mmoja sasa iran na michezo wapi na wapi? Iran labda extremism tu
so mkuu ikitokea mzungu nae kala dili nchi itakaribia kuwa ya kikristo? au ni tayari ya kikristo?. hiyo michezo kwani imetajwa? facts zikiwa open na kujadiliw itafaa zaidi
 
so mkuu ikitokea mzungu nae kala dili nchi itakaribia kuwa ya kikristo? au ni tayari ya kikristo?. hiyo michezo kwani imetajwa? facts zikiwa open na kujadiliw itafaa zaidi
mkuu kuna upendeleo wa dhahiri unafanyika sababu tu hawa ni wa upande wetu mfano leo hii muarab na uhifadhi misitu wapi na wapi? Hao watu hata technology bora hawana ila leo hii ndio tunawaona wanafaa, hata ivyo wazungu wengi mambo ya mungu walishayaacha kitambo hivyo usitegemee udini tofauti na waarabu wao dini yao ndio priority kwenye kila kitu. Na haya sio kama huyajui ila sababu upo upande ule ndio akili yako imepumbazika kirahisi
 
Mkuu umejuaje mimi ni wa upande ule? Na wakati hakuna sehemu nimesema nipo upande gani?
Hapa issue ni kujadili tunabenefit nini na hizi link ups za middle east, kwa sababu tukideal na china hakuna sehemu tunasema tunakaribisha dini za kichina.
Kuhusiana na teknolojia inategemea na kitu husika mfano hapo middle UAE kule jangwani anarusha helicopter na drones kutengeneza mawingu yatayoleta mvua na analima, pale israel wanafunzi wa SUA wanapelekwaga kupiga kilimo na ufugaji. Zijadili hoja mkuu
 
Back
Top Bottom