Snowden E
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,668
- 2,908
Mjadala ni michezo...mifano ya shule inaingiaje hapa.Unaukimbia mjadala kwa juhudi kubwa sana hadi nashangaa imekuwaje ukawa humu kwenye nyumba ya mijadala?
Ova
Acha ujinga kijana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjadala ni michezo...mifano ya shule inaingiaje hapa.Unaukimbia mjadala kwa juhudi kubwa sana hadi nashangaa imekuwaje ukawa humu kwenye nyumba ya mijadala?
Ova
Iran ni moja ya nchi barani Asia yenye kiwango cha juu sana. Na imetoa wachezaji wazuri sana kwenye league za Europe. Mfano hakuna mtu ambaye ni mnazi wa mpira asie mjua Ali Daei aliye kiwasha kwenye Bundes liga. Kwenye premier league walikuwepo akina Karim Bagher huyu alikuwa charton Athletic, Dejagah alikuwa Fulham, Ali Reza alikuwa Brighton. Nk nk. Na kwenye mieleka wako kwenye nafasi za juu sana. Msiwachukulie poa akina Ayatollah Kali kali, they are good up stairs.Iran imeshacheza fainali za Asia cup mara 14 na kuchukuwa kombe mara 3.
Tanzania vipi, Afrika cup fainali mara ngapi na kombe mara ngapi?
Nae anatukanwa mno.Atetee dini yake aache matusi basi.
Atukane wanaomtukana, atuache sisiNae anatukanwa mno.
Mreport kwa mods, kuna report button hapo kushoto mwa tusi lake.Atukane wanaomtukana, atuache sisi
Huyo popote ukigusia uislam na nchi zake anautetea kwa hoja hata za kuokoteza.
Usitie maanani sana hoja zake anapotetea jambo lenye vinasaba vya uislam ndani yake.
Tusi liko wapi?Atetee dini yake aache matusi basi.
hayo ndiyo anayaweza Mtanzania.Nini hiki??
Umepagawa?
Na wewe ukiwemohayo ndiyo anayaweza Mtanzania.
Kww Kigezo gani mkuuMpaka 2030 nchi ishakuwa islamic republic kitambo sana
Tena mie ni kungwi lao.Na wewe ukiwemo
Wewe huoni nchi jinsi anavyopewa muarab siku hadi siku tena kizembe tu kwa upuuzi wa mtu mmoja sasa iran na michezo wapi na wapi? Iran labda extremism tuKww Kigezo gani mkuu
so mkuu ikitokea mzungu nae kala dili nchi itakaribia kuwa ya kikristo? au ni tayari ya kikristo?. hiyo michezo kwani imetajwa? facts zikiwa open na kujadiliw itafaa zaidiWewe huoni nchi jinsi anavyopewa muarab siku hadi siku tena kizembe tu kwa upuuzi wa mtu mmoja sasa iran na michezo wapi na wapi? Iran labda extremism tu
mkuu kuna upendeleo wa dhahiri unafanyika sababu tu hawa ni wa upande wetu mfano leo hii muarab na uhifadhi misitu wapi na wapi? Hao watu hata technology bora hawana ila leo hii ndio tunawaona wanafaa, hata ivyo wazungu wengi mambo ya mungu walishayaacha kitambo hivyo usitegemee udini tofauti na waarabu wao dini yao ndio priority kwenye kila kitu. Na haya sio kama huyajui ila sababu upo upande ule ndio akili yako imepumbazika kirahisiso mkuu ikitokea mzungu nae kala dili nchi itakaribia kuwa ya kikristo? au ni tayari ya kikristo?. hiyo michezo kwani imetajwa? facts zikiwa open na kujadiliw itafaa zaidi
Mkuu umejuaje mimi ni wa upande ule? Na wakati hakuna sehemu nimesema nipo upande gani?mkuu kuna upendeleo wa dhahiri unafanyika sababu tu hawa ni wa upande wetu mfano leo hii muarab na uhifadhi misitu wapi na wapi? Hao watu hata technology bora hawana ila leo hii ndio tunawaona wanafaa, hata ivyo wazungu wengi mambo ya mungu walishayaacha kitambo hivyo usitegemee udini tofauti na waarabu wao dini yao ndio priority kwenye kila kitu. Na haya sio kama huyajui ila sababu upo upande ule ndio akili yako imepumbazika kirahisi