Tanzania Kushirikiana na Iran Sekta ya Michezo

Chuki ni mbaya sana...

Serikali imeona umuhimu wa kushirikiana na IRAN kwenye michezo , wewe umejichimbia huko Tandale unakunywa supu ya vibudu.

FIFA
Tanzania Ipo nafasi ya ngapi hapo...
Acha tuzungumzie tu hii list ambayo umeileta hapa. Chukulia hizo zilizo kwenye orodha ni shule, ukiamua kumpeleka mwanao uwezo duni darasani ili akasome na kufaulu mitihani yake, utampeleka Uruguay au Iran?

Ova
 
Kwan kuna ubaya gani ikiwa kutakua na maendeleo mazuri?

Kwani uwo ukatoliki umetupa kipi cha maana?
Yaani Iran ikupe maendeleo mazuri wakati Iran yenyewe imejaa watu maskini wasio na matumaini, huku Serikali yao ikiwagandamiza kila eneo la maisha?

The Ministry of Cooperatives, Labour, and Social Welfare (MCLSW) of Iran, in a report published in December 2022, announced that currently 26 million Iranians or almost one-third of the population, are living below the poverty line.
 
Hujafahamu nilivyomjibu uyo jamaa apo juu amesema mpka kufikia 2030 tanzania itakua serkali ya jamhuri ya kiislamu me ndo nimemjibu kwani kutakua na ubaya gani ikiwa italeta maendeleo mazuri?
 
Acha tuzungumzie tu hii list ambayo umeileta hapa. Chukulia hizo zilizo kwenye orodha ni shule, ukiamua kumpeleka mwanao uwezo duni darasani ili akasome na kufaulu mitihani yake, utampeleka Uruguay au Iran?

Ova
Acha ujinga kijana...
Siku zote utajifunza kwa aliye kuzidi...Huwezi kuwa top 20 ya FIFA kama hauko vizuri.
Sawa...Tushirikiane an Argentina kwasababu ni namnba 1, Siku akishuka na kuwa namba 2 au 3, je..tuvunje ushirikiano..?
Brazil alishikilia namba 1 kwa muda mrefu, miaka ya hivi karibuni wanahaha...je..waliokuwa wakishirikiana na Brazil wahamie Argentina...?

Ndiyo maana kuna Baadhi ya timu za vilabu Africa zilikuja kujifunza kwa Young African...kwanini hawakwenda kwa Al ahly...?
Utajifunza kutoka kwa yule ambaye unacho kitu ambacho unahitaji kuwa nacho pia...Uran ina mafanikio kwenye michezo ambayo tungekuwa nayo sisi Tanzania tungekuwa tushio Africa.

CHUKI ( HUSDA) NI MOJA YA KISABABISHI CHA MAGONJWA YA MOYO.
 
Kwani habari za michezo zimefutwa mtandaoni?

Kama mamako na bibi yako hawajuwi kutumia mtandao usifikiri na mama na bibi za wenzako ni mapoyoyo kama mamako na bibi yako.

Punguwani wahed.
We bibi acha kutukana
 
Hujafahamu nilivyomjibu uyo jamaa apo juu amesema mpka kufikia 2030 tanzania itakua serkali ya jamhuri ya kiislamu me ndo nimemjibu kwani kutakua na ubaya gani ikiwa italeta maendeleo mazuri?
Serikali ya kidini haitufai, iwe ukristo au Uislamu. Nchi iongozwe kwa sera, sheria na katiba bora.
 
Hapa kuna kanamna hapa sio bure end the day utakuta islaer wametupa kombora ikulu ndipo siri zitapovuja
 
Acha ujinga kijana...
Siku zote utajifunza kwa aliye kuzidi...Huwezi kuwa top 20 ya FIFA kama hauko vizuri.
Sawa...Tushirikiane an Argentina kwasababu ni namnba 1, Siku akishuka na kuwa namba 2 au 3, je..tuvunje ushirikiano..?
Brazil alishikilia namba 1 kwa muda mrefu, miaka ya hivi karibuni wanahaha...je..waliokuwa wakishirikiana na Brazil wahamie Argentina...?

Ndiyo maana kuna Baadhi ya timu za vilabu Africa zilikuja kujifunza kwa Young African...kwanini hawakwenda kwa Al ahly...?
Utajifunza kutoka kwa yule ambaye unacho kitu ambacho unahitaji kuwa nacho pia...Uran ina mafanikio kwenye michezo ambayo tungekuwa nayo sisi Tanzania tungekuwa tushio Africa.

CHUKI ( HUSDA) NI MOJA YA KISABABISHI CHA MAGONJWA YA MOYO.
Mbona unakimbia mjadala? Unajaza maneno tu bila kujadili, umekwepa swali la mjadala uliouanzisha mwenyewe. Una shida ya kuelewa?

Narudia tena, acha ujinga...
Mfano wako hauendani na topic...
 
Back
Top Bottom