Tanzania Kushirikiana na Iran Sekta ya Michezo

Tanzania Kushirikiana na Iran Sekta ya Michezo

Hilo jina lao tu halivutii, eti jamhuri ya kiislam ya iran, isilete mambo ya kiislam kwenye michezo katika nchi ambayo si ya kiislam
 
Hilo jina lao tu halivutii, eti jamhuri ya kiislam ya iran, isilete mambo ya kiislam kwenye michezo katika nchi ambayo si ya kiislam
 
Tumeamza kushirikiana na nchi za hovyohovyo wallah!
 
Dah!. Na iwe michezo kweli.
Wasijekutuletea vikundi vyenye msimamo mkali nchi yetu ikaingia kwenye machafuko.
Maana kama USA alivyomsemaji na msababisha machafuko nchi kadhaa, Naona Iran nae amekuwa msemaji wa nchi kadhaa na kusababisha machafuko.
Mfano halisi ni Yemen. Kawatengeneza Houth ambao walisababisha nchi ya Yemen kuingia kwenye mgogoro mkubwa.
Hatutaki Tanzania tuuane kwa ushawishi wa machafuko toka dini yeyote either Ukristo ama Uislam.
 
Kanisa la tanzania ni imara sana. Machafuko hayawezi tokea.
 
hongera sn iran..kuna kambi wanajenga apo ddm hivi karibuni vijana watanufaika na ilimu ya misimamo mikali toka iran...hezbolah hawatupatiiii, tutakuwa vizuriii
 
Chuki ni mbaya sana...
Kushirikiana na Iran sekta ya michezo?

Ova
Serikali imeona umuhimu wa kushirikiana na IRAN kwenye michezo , wewe umejichimbia huko Tandale unakunywa supu ya vibudu.

FIFA
Tanzania Ipo nafasi ya ngapi hapo...
 
Attachments

  • Screenshot_20241020_092113_Chrome.jpg
    Screenshot_20241020_092113_Chrome.jpg
    145.8 KB · Views: 3
Iran wako vizuri, dini tu ndio iliwaharibu na kuwafanya mazombi
Umeenda kutafuta data za Iran na Israel kwenye sector ya michezo, umeumbuka baada ya kuona Iran ni bora ( 19 FIFA) na bado unaponda kiuonyonge.
 
Kwani habari za michezo zimefutwa mtandaoni?

Kama mamako na bibi yako hawajuwi kutumia mtandao usifikiri na mama na bibi za wenzako ni mapoyoyo kama mamako na bibi yako.

Punguwani wahed.
We kibibi leo vipi mbona unaongea hovyohovyo
 
Iran na michezo wapi na wapi 🤔 wamefanikiwa kwenye aina gani ya michezo hadi kuona kwamba tukiwa na ushirikiano nao tutajifunza kitu🤔 alafu kama ni michezo kwa nini muwakilishi ni waziri wa kilimo🤔 au ndio muendelezo wa bibi chaudele kuendelea kuuza vipande kwa wajomba zake 🤔
Tumia akili kijana....IRAN ipo top 20 kwenye viwango vya FIFA, jiulize Tanzania ipo nafasi ya ngapi.
Iran ni mshirika mzuri kwenye nyanja nyingi sana, Iran ni Taifa linalo jielewa, fikiria vikwazo walivyowekewa na U.S.A ingekuwa ni Tanzania tungetafutana hapa.
CHUKI NI MBAYA SANA. CHUKI INALETA UGONJWA WA MOYO.
 
Kwamujibu wakitabu chao cha dini mchezo wa mpra ni haram sasa mbona wanatafuta washiriki was hyo haram au sheria za haram zna bagua kwenye nywele tuu za wanawake
 
mizizi ya kanisa ni imara katika nchi hii.
Mwenyezi Mungu ndio anayelinda Aman ya Tanzania na wala sio Kanisa.
Rwanda ni nchi iliyoingia kwenye machafuko sababu ya Kanisa. Roho ya machafuko katika nchi inaweza kuletwa na Imani yeyote.
 
Umeenda kutafuta data za Iran na Israel kwenye sector ya michezo, umeumbuka baada ya kuona Iran ni bora ( 19 FIFA) na bado unaponda kiuonyonge.

Wala sijabisha, Iran wako vizuri sio michezo tu hata IQ, hiyo dini imewachelewesha sana, wanaitwa Persians au Waajemi, soma historia yao ya maelfu ya miaka walivyokua wanafanya vizuri kwenye kila kitu kabla muarabu hajaja kuwaharibia.
 
Tumia akili kijana....IRAN ipo top 20 kwenye viwango vya FIFA, jiulize Tanzania ipo nafasi ya ngapi.
Iran ni mshirika mzuri kwenye nyanja nyingi sana, Iran ni Taifa linalo jielewa, fikiria vikwazo walivyowekewa na U.S.A ingekuwa ni Tanzania tungetafutana hapa.
CHUKI NI MBAYA SANA. CHUKI INALETA UGONJWA WA MOYO.
Nimeuliza ni upande upi wa michezo ambako Iran wamefanikiwa hadi tuone kuna haja ya kushirikiana nao kwenye michezo unakurupuka unaleta ngonjera ,Wewe ndio utumie akili usiwe mpumbavu kiasi hicho
 
Back
Top Bottom