Tanzania kutokuwa na Corona katika taarifa za dunia kumewachengua wazungu

Tanzania kutokuwa na Corona katika taarifa za dunia kumewachengua wazungu

CORONA inapogeuzwa turufu ya kisiasa, tushukuru virusi hivi havikuleta maangamizi makubwa na ya kutisha Tanzania.

Mkulu alisikiliza yasemwayo mitaani kama angefungia watu hali ingekuwa mbaya zaidi kuliko ugonjwa wenyewe. Watu wangekula nini na hakuna droni za kudondosha vyakula? Isingewezekana kufungia watu nchi nzima.

Watu wangetoka tu kusaka mkate wa siku wasingejali kuambukizwa ugonjwa wakati njaa nayo inawakabili. Ikabidi watawala wawe na hekima zaidi watu wapambane na hali zao wawezavyo
 
Hivi unajuaje watu hawaumwi bila kuwapima?

I wonder!
Je, wanakufa? Kama kuumwa kila siku tunatembea na magonjwa lakini siyo tishio kwetu kama ambavyo wao walitaka tufungiwe ndani.

Kila siku napita sokoni tunabanana wauzaji wale wale, hawafu wakati wana interact na wateja daily. Mashuleni watoto wamerudi hakuna tishio.

Hata leo nilikuwa kariakoo naona wachina wanadunda tu bila barakoa.

Hata mabarozi wa nchi hizo wengi utawaona wanakuwa hawavai barakoa.

Mungu katusaidia tukubali tukatae, lazima hata wao wanastaajabu sisi mbona hatufi. Maana zaidi ya kuisoma mtandaoni hadi nasahau kuhusu Corona.

Personally, simfahamu hata mtu mmoja aliyekufa katika kipindi hiki cha corona. Si mtaani kwangu, si kwenye familia yangu wala ukoo wetu.
 
Je wanakufa? Kama kuumwa kila siku tunatembea na magonjwa lakini siyo tishio kwetu kama ambavyo wao walitaka tufungiwe ndani. Kila siku napita sokoni tunabanana wauzaji wale wale, hawafu wakati wana interact na wateja daily. Mashuleni watoto wamerudi hakuna tishio.
Hata leo nnilikuwa kariakoo naona wachina wanadunda tu bila barakoa.
Hata mabarozi wa nchi hizo wengi utawaona wanakuwa hawavai barakoa.
Mungu katusaidia tukubali tukatae, lazima hata wao wanastaajabu sisi mbona hatufi. Maana zaidi ya kuisoma mtandaoni hadi nasahau kuhusu Corona. Personally, simfahamu hata mtu mmoja aliyekufa katika kipindi hiki cha corona. Si mtaani kwangu, si kwenye familia yangu wala ukoo wetu.
Si kweli 90% ya wachina kkoo wanavaa barakoa, tena wameeka kabisa kamba hakuna kuingia ovyo maduka yao.

Na corona ipo, pengine haiambukizi mitaani kutokana na hali ya hewa ila ipo.

1. Nimezika mgonjwa wa corona hata mwezi haujaisha ni ndugu na vipimo vipo.

2. Nenda Hospitali private, ibrahim haji tu pale hadi operation zinafanywa emergency wodi za juu zote zipo out of order.
 
Acha uongo March na April kuna watu walikimbia ofisi wakajificha kijijini kwao. Tanzania kurudi angalau kawaida ilikuwa May.
 
Si kweli 90% ya wachina kkoo wanavaa barakoa, tena wameeka kabisa kamba hakuna kuingia ovyo maduka yao.

Na corona ipo, pengine haiambukizi mitaani kutokana na hali ya hewa ila ipo.

1. Nimezika mgonjwa wa corona hata mwezi haujaisha ni ndugu na vipimo vipo.

2. Nenda Hospitali private, ibrahim haji tu pale hadi operation zinafanywa emergency wodi za juu zote zipo out of order.
Ni kama Malaria tu, haina impact kama mnavyotaka iwe. Huenda hata malaria bado inaua sana kuliko Corona.

Mimi sina mtu ninayemfahamu aliyekufa kwa corona. Sokoni watu wamejazana kila siku lakini hao hao wauzaji ukipita kila day wapo hawajafa na hawachukui any measures.

Sasa kama haiambukizi kwasababu ya hali ya hewa basi haina maana ya kuhangaika nayo. Kwa jinsi corona wanavyoisema na ambavyo hatukuchukua any measures, watu tungekufa na hakuna njia yoyote ambayo serikali ingeweza kuficha ukweli.

Kuanzia mikusanyiko ya Kariakoo, watoto mashuleni, kwenye kampeni za uchaguzi, nenda ferry watu wamerundikana kila day. Lakini hakuna maiti kuzagaa mtaani.

Kama kafa kwa Corona mkuu pole sana, Hiyo ni kifo kwa vifo vingine vya malaria au presha.
 
Una point iliyotukuka, lakini kuweka namba zako za simu hadharani kumekushusha pakubwa.

Mtindo wa kuweka namba za simu kireja reja unatumiwa na watu aina mbili, aidha matapeli au wafanya biashara.

Je, wewe una sifa mojawapo?
 
Ila chukua tahadhari ,korona ipo!
Kama wanabisha haipo wafanye kupima kama dunia inavopima,tuone kama hatutakimbiana huku mtaani....tunashangalia ujinga bila kufuata miongozo...wenzetu wametuona vilaza na wametuacha na ulaza wetu...corona hakuna wakati kila ofisi kubwa na hospital kubwa uingii bila kuvaa mask na kupata sanitizer? Chukua hatua binafsi hiyo kitu ipo wakuu
 
Huu ugonjwa siyo kama haukuwepo na haupo, upo na watu tuliumwa, a nnaona kabisa kulikuwa na dhamira za kuukuza kuliko uhalisia, kuna kilichopo nyuma ya pazia...mimi huwa ninawashangaa wakenya na uganda kwa unafiki wao wa lockdown..Mungu ni mwema
 
Weka scientific evidence kuprove madai yako,unaweza ukapata Covid-19 bila kuonyesha any symptoms,science haipimwi kwa macho bali kwa vipimo.
 
This statement is from an empty mind, jitu linalojikomba lichjaguliwe... Rubbish! Talk science, not Magufuli, what was the science behind the current situation we are seeing with regard to corona virus spread/containment.

At any rate ukishakuwa verified user lazima kichwa kiwe hivi

View attachment 1627872
Mkuu Retired na kundi lako la upinzani lini mtaukubali ukweli ubaki ukweli na uwongo wenu ubaki uwongo? Ona ushahidi kuhusu COVID-19 ambapo Tanzania ni nchi pekee duniani isiyo kuwa na maambukizi kwa wiki 46.

Wagombea wenu waliamini bandiko zenu kwenye mitandao ya kijamii kumbe yalikuwa matango pori. Sasa mnawaaminishi kuwa baadhi ya viongozi wa vyombo vya Serikali watafikishwa ICC. Na wao badala ya kujipanga upya kwa ajili ya Chaguzi zijazo, nao wanaamini hivyo.

Tabia hiyo ndiyo imekuwa msumari wa mwisho kwenye jeneza la upinzani nchini
View attachment 1628163
 

Attachments

  • operanews1605583605026.jpg
    operanews1605583605026.jpg
    74.7 KB · Views: 16
Mkuu Retired na kundi lako la upinzani lini mtaukubali ukweli ubaki ukweli na uwongo wenu ubaki uwongo? Ona ushahidi kuhusu COVID-19 ambapo Tanzania ni nchi pekee duniani isiyo kuwa na maambukizi kwa wiki 46.

View attachment 1628162

Wagombea wenu waliamini bandiko zenu kwenye mitandao ya kijamii kumbe yalikuwa matango pori. Sasa mnawaaminishi kuwa baadhi ya viongozi wa vyombo vya Serikali watafikishwa ICC. Na wao badala ya kujipanga upya kwa ajili ya Chaguzi zijazo, nao wanaamini hivyo.

Tabia hiyo ndiyo imekuwa msumari wa mwisho kwenye jeneza la upinzani nchini
Kwa siku wanapimwa watu wangapi?
 
Back
Top Bottom