I AM NO ONE
JF-Expert Member
- Aug 7, 2020
- 388
- 579
🤣🤣🤣 Kamati ya majunguBwana Pascal Mayalla inasemekana pana mwenzako huku.
Amekamilika kila idara: pambio la kusifu, verified user na hakusahau namba ya simu kwa mawasiliano zaidi.
🤣🤣🤣 Kamati ya majunguBwana Pascal Mayalla inasemekana pana mwenzako huku.
Amekamilika kila idara: pambio la kusifu, verified user na hakusahau namba ya simu kwa mawasiliano zaidi.
Unawapimaje watu ambao hawaumwi wala hawaoneshi dalili au ndio una pima sababu Ulaya wanapima?Kwa siku wanapimwa watu wangapi?
Vipi huyu aliyepiga kampeni nchi nzima,ambaye amejichanganya karibia na watu zaidi ya laki moja kaenda Ubeligiji hajakutwa na Corona.Mjinga ni wewe bwasheee
Maana hao wachezaji wamejichanganya na watu wangapi per day?
Katika dilusion theorem,watu 12 watatumia karne ngapi kujichanganya na watu milioni 6 wa Dar es salaam pekee yake achilia mbali watu milioni 60 wa nchi nzima?
Jinga ni wewe kabisa
Unadhani ukiniambia wanajichanganya kwa scenerio ipi ya kuleta effect?kumbuka athletes ni most closed monitored group of prefessionals!
Acha hizo nyege wewe
Unajuaje kua hawaumwi bila kupima? Hivi hujui kua Covid-19 unaweza kua nayo bila kuonyesha any symptoms?Unawapimaje watu ambao hawaumwi wala hawaoneshi dalili au ndio una pima sababu Ulaya wanapima?
Nikapime nini wakati siumwi.Yaani sawa sawa uje uniambie tukupime malaria wakati mimi siumwi na sina dalili zozote za kuumwa.Unajuaje kua hawaumwi bila kupima? Hivi hujui kua Covid-19 unaweza kua nayo bila kuonyesha any symptoms?
Huu ugonjwa hauna "DAWA". Kama upo VIFO VINGETUUMBUA.Hivi unajuaje watu hawaumwi bila kuwapima?
I wonder!
Sitaki kusoma ila nataka kujua kama umeweka namba ya simu au hujaweka?TANZANIA KUTOKUWA NA CORONA KATIKA TAARIFA ZA JANA ZA DUNIA KUMEWACHENGUA WAZUNGU.
Leo 18:30hrs 16/11/2020
Leo nilizungumza na Wachina waliokatazwa na nchi yao ya China kurudi kwao China kwa sababu huu ni msimu wa baridi China na kama mtakumbuka mwezi huu ndio kicorona kilianza uko China, Wachina hao wapo Kariakoo wanadunda washasahau hata kuvaa barakoa, nao pia wanashangaa kwa nini wenzao China wanakufa, na uko Marekani,
Leo pia nikakutana na Wazungu sita kutoka Poland, Ujerumani, Marekani na Uingereza wazungu waliniuliza hali ilikuwaje mwezi March na April wakati wa corona nikawaambia tulikuwa hivi hivi mnavyotuona.
Wazungu hao wakasema tuliambiwa mngekufa kama kuku barabarani maana Marekani walikuwa wanakufa hadi yakatengenezwa masemitrella pembeni ya barabara mtaani kuweka maiti, nikawaambia maneno yanaumba, sisi Rais wetu John Magufuli alisema Mungu aliyetuumba atatulinda. Sifa na shukrani tunamrudishia Mwenyezi Mungu aliyetulinda hata corona ikatushindwa, wakafurahi wakavua barakoa zao na kuanza kukumbatia wabongo Kariakoo,
Mdada wa kizungu mjamzito wa miezi 3 kutoka Marekani yeye alisema anatamani waendelee kukaa Zanzibar maana kwao ni kufungiwa tu anatamani ajifungulie Tanzania, tatizo Visa yake ni ya wiki mbili tu, God is real here, God has favoured Tanzania, Tanzania is another Israel niliwasikia wakiongea huku wakitafakari sana juu ya Mungu alichowatendea Watanzania.
Ndugu zangu Mungu anaweza, Mungu anajibu Maombi, tulimuomba Mungu atulinde na corona na hakika ametulinfa na leo kila kiumbe duniani kinaishangaa Tanzania, Ndugu zangu imani yetu isiwe tu baada ya Maombi kujibiwa na Mwenyezi Mungu, tuamini kabla, sasa na tuendelee kuamini Mungu anaweza kila kitu kwa kuwa ndiye aliyetuumba.
Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854
Mkuu hawa jamaa wanaoshadadia Corona ipo nchini ni watu wa kuwapuuza, lengo lao wanataka nchi hii ipate majanga ili utawala uliopo uonekane wahovyo. Hakika watasubiri sana.Je, wanakufa? Kama kuumwa kila siku tunatembea na magonjwa lakini siyo tishio kwetu kama ambavyo wao walitaka tufungiwe ndani.
Kila siku napita sokoni tunabanana wauzaji wale wale, hawafu wakati wana interact na wateja daily. Mashuleni watoto wamerudi hakuna tishio.
Hata leo nilikuwa kariakoo naona wachina wanadunda tu bila barakoa.
Hata mabarozi wa nchi hizo wengi utawaona wanakuwa hawavai barakoa.
Mungu katusaidia tukubali tukatae, lazima hata wao wanastaajabu sisi mbona hatufi. Maana zaidi ya kuisoma mtandaoni hadi nasahau kuhusu Corona.
Personally, simfahamu hata mtu mmoja aliyekufa katika kipindi hiki cha corona. Si mtaani kwangu, si kwenye familia yangu wala ukoo wetu.
Una akili nzito sana kwenye uelewa! unaonekana ulimsumbua sana Mwalimu wako darasani kukufahamisha.Nikapime nini wakati siumwi.Yaani sawa sawa uje uniambie tukupime malaria wakati mimi siumwi na sina dalili zozote za kuumwa.
Alafu mbona Corona mnaifanya big issues wakati ugonjwa unao ongoza kuwamaliza wa Africa Malaria hamuukomalii,manake Corona impact yake ndogo sana approximately equal to zero kwa sisi wa Wafrica.
Au ndio mnapima sababu ulaya wanapima? Acheni utumwa kifikra.
Hivi UNAUMWA KISHA UNAPIMA ?? AU UNAPIMA KISHA UNAUMWA? Nijibu kidha ndio nitajua Je una akili au unaigiliza akili. ... Unakula baada ya kupanda njaa. Au unapata njaa baada ya kula.Hivi unajuaje watu hawaumwi bila kuwapima?
I wonder!
Mfocus na matatizo yenu nyinyi Wafrica na si kufanya eti ulaya kafanya,utumwa huo wa kifikra.Una akili nzito sana kwenye uelewa! unaonekana ulimsumbua sana Mwalimu wako darasani kukufahamisha.
Ugonjwa inaelekea ulipita ile mwanzoni na haukuwa na madhara kama mnavyotaka iwe. Nadhani watu wa WHO badala ya kulazimisha watu wapime wangetumia muda wao kujua kwa nn Africa haijaathirika kama walivyotabiri. USA kuna mji ilikuwa kila mtu 1 anaambukika wastani ya watu 3 au zaidi, sasa kwa jinsi tilivyojiachia ilitakiwa kila mtu 1 Bongo aambukize watu hata 100. Na jinsi huu ugonjwa ulivyo ni sawa na chawa wa kichwani, ukigusa tu unao.Kwa hiyo sio mpaka niupate ndo ujue upo sio?
Naona umeamua kuumwaga upupu unaokuwasha hapa! nani kakwambia uige Ulaya? Hebu tuliza akili na upunguze mihemko isiyokua na maana kisha fuatilia tena comments zangu huenda ukaelewa,ila kama umeamua kujitoa ufahamu kimakusudi hiyo ni juu yako,naona umejikoki kubishana!Mfocus na matatizo yenu nyinyi Wafrica na si kufanya eti ulaya kafanya,utumwa huo wa kifikra.
Yaani wewe unafanya sababu ulaya wanafanya ila reason hauna,kwako kila wanacho kifanya ulaya unaona sawa kwa akili yako ilivyo unaweza kuvaa koti kipindi cha joto kisa wakati huohuo ulaya wanavaa makoti,bila kufikiria ktk mazingira yako yalio kuzunguka.
Huu ndio upuuzi wanao ufanya Kenya anashindwa kufikiria ktk mazingira yanayo mzunguka anawatizama Ulaya,wakati mwaka huu wamevamiwa na nzige mara mbili wamekubwa na mafuriko mashamba yame haribiwa,kwa kifupi hawana chakula .Wao mwenyewe wamekili na WFP wakasema Kenya hawana chakula,sasa baada ya kushughulikia swala la chakula wanashugulikia Corona.
Siku wakikaa chini na kupiga mahesabu waliovuta kwa njaa,unakaweza ukakuta ni zaidi ya mara 10 ya waliovuta na Corona.
Nani ana mihemko mimi hapo ulicho kiandika naona oya oya,bendera fata upepo.Naona umeamua kuumwaga upupu unaokuwasha hapa! nani kakwambia uige Ulaya? Hebu tuliza akili na upunguze mihemko isiyokua na maana kisha fuatilia tena comments zangu huenda ukaelewa,ila kama umeamua kujitoa ufahamu kimakusudi hiyo ni juu yako,naona umejikoki kubishana!
Huu upupu uliouandika hapa nina uhakika akili yako ikikaa sawa na ukaja kujisoma tena basi utajisikitikia sana! naona unaruka ruka tu kama Kangaroo,sijui hata unajadili nini? umeshikilia eti kuiga ulaya!Nani ana mihemko mimi hapo ulicho kiandika naona oya oya,bendera fata upepo.
Huna unachokijua zaidi kuiga,ukiulizwa mbona wenzetu wanafanya bila ya kijua wanachofanya wenzako wewe unakihitaji.
Umeongelea data za USA hapo unajua wanapataje hizo data? Kwanini sisi bongo hatufanyi hivyo wanavyofanya wao kupata hizo data?Ugonjwa inaelekea ulipita ile mwanzoni na haukuwa na madhara kama mnavyotaka iwe. Nadhani watu wa WHO badala ya kulazimisha watu wapime wangetumia muda wao kujua kwa nn Africa haijaathirika kama walivyotabiri. USA kuna mji ilikuwa kila mtu 1 anaambukika wastani ya watu 3 au zaidi, sasa kwa jinsi tilivyojiachia ilitakiwa kila mtu 1 Bongo aambukize watu hata 100. Na jinsi huu ugonjwa ulivyo ni sawa na chawa wa kichwani, ukigusa tu unao.