mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,286
- 6,729
Je, wewe umepima na kama hujapima ni kwa nini?Kwa siku wanapimwa watu wangapi?
Je, wewe umepima na kama hujapima ni kwa nini?Kwa siku wanapimwa watu wangapi?
If we are inviting "them", then they will definitely see for "themselves".We invite all of them come and see for yourself.
Mimi huku nilipo nimepima na ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kunilinda.Je, wewe umepima na kama hujapima ni kwa nini?
Vp wewe umeipata au, nauliza tuu?Kama wanabisha haipo wafanye kupima kama dunia inavopima,tuone kama hatutakimbiana huku mtaani....tunashangalia ujinga bila kufuata miongozo...wenzetu wametuona vilaza na wametuacha na ulaza wetu...corona hakuna wakati kila ofisi kubwa na hospital kubwa uingii bila kuvaa mask na kupata sanitizer? Chukua hatua binafsi hiyo kitu ipo wakuu
Kwani ukimwi upo haupo? We unao? Me kutokuwa nao sio kwamba haupo mkuu...tumia hiyo kichwa vizuri hujapewa kichwa ufugie nywele man!Vp wewe umeipata au, nauliza tuu???
Comment hii mwenye akili atakuwa kakuelewa.Kwani ukimwi upo haupo? We unao? Me kutokuwa nao sio kwamba haupo mkuu...tumia hiyo kichwa vizuri hujapewa kichwa ufugie nywele man!
Weeks 46??Mkuu Retired na kundi lako la upinzani lini mtaukubali ukweli ubaki ukweli na uwongo wenu ubaki uwongo? Ona ushahidi kuhusu COVID-19 ambapo Tanzania ni nchi pekee duniani isiyo kuwa na maambukizi kwa wiki 46.
Wagombea wenu waliamini bandiko zenu kwenye mitandao ya kijamii kumbe yalikuwa matango pori. Sasa mnawaaminishi kuwa baadhi ya viongozi wa vyombo vya Serikali watafikishwa ICC. Na wao badala ya kujipanga upya kwa ajili ya Chaguzi zijazo, nao wanaamini hivyo.
Tabia hiyo ndiyo imekuwa msumari wa mwisho kwenye jeneza la upinzani nchini
View attachment 1628163
Hata huko ulaya kuna wachezaji mpira wanapata corona kila siku, sio hatari kwao. Inawezekana hata mimi na wewe tumewahi ipata ila hatujijui sababu ni vijana wenye Afya.Ni kama Malaria tu, haina impact kama mnavyotaka iwe. Huenda hata malaria bado inaua sana kuliko Corona.
Mimi sina mtu ninayemfahamu aliyekufa kwa corona. Sokoni watu wamejazana kila siku lakini hao hao wauzaji ukipita kila day wapo hawajafa na hawachukui any measures.
Sasa kama haiambukizi kwasababu ya hali ya hewa basi haina maana ya kuhangaika nayo. Kwa jinsi corona wanavyoisema na ambavyo hatukuchukua any measures, watu tungekufa na hakuna njia yoyote ambayo serikali ingeweza kuficha ukweli.
Kuanzia mikusanyiko ya Kariakoo, watoto mashuleni, kwenye kampeni za uchaguzi, nenda ferry watu wamerundikana kila day. Lakini hakuna maiti kuzagaa mtaani.
Kama kafa kwa Corona mkuu pole sana, Hiyo ni kifo kwa vifo vingine vya malaria au presha.
Huku tanzania sisi maisha yanaendelea kama kawaida. Hata waliokuwa wanasema wawtanzania wanakufa sana kipindi cha kampeni nao hawakuvaa barakoa baada ya kugundua Corona kweli siyo big issue.Hata huko ulaya kuna wachezaji mpira wanapata corona kila siku, sio hatari kwao. Inawezekana hata mimi na wewe tumewahi ipata ila hatujijui sababu ni vijana wenye Afya.
Hili halisababishi lakini tusiwe na hofu ya wapendwa wetu, kuna watu wengine pia wana haki ya kuishi, tofauti na Malaria ambayo kila mtu ana chance, kuna makundi fulani ya Watu kwao corona ni asilimia kubwa wanasepa,
Mimi binafsi nimepoteza ndugu kama 6 toka ianze, watano round ya 1 kabla hatujafunga mipaka na mmoja hivi karibuni.
Corona ni hatari sana ukiikuta iko kwenye nchi ambayo Serikali yake inapaniki paniki. Trump kwa mfano kama angekuwa amepaniki kuhusiana na Corona, Marekani wangekuwa na hali mbaya mno kuliko ilivyo sasa. Kukwepa kupaniki kunasaidia sana kuondoa makali ya Corona. Niliwahi kumsikia Trump siku moja anamfokea mwenzake kwenye debate ya kampeni zao anasema "I do not wear masks like him...." Trump aliidharau sana Corona, mimi namsifu sana katika hiloC-19 imepaishwa sana. Si kali wala hatari kama tulivyoaminishwa.
Ingalikuwa kweli ni kali na hatari, basi ingejulikana tu.
Watu walio wagonjwa hawawezi kufichika.
Shule zimefunguliwa toka mwezi gani vile?
Kampeni za uchaguzi zilianza mwezi gani vile?
We are science-oriented people, umeleta ushahidi, very fine. Si kuwa hakuna infection, ni kuwa infection ni very low/low..... Magufuli did nothing to contain the spread, his approach was very dangerous indeed had nature not being on our side! He opted for serendipity/nature to take its course!Mkuu Retired na kundi lako la upinzani lini mtaukubali ukweli ubaki ukweli na uwongo wenu ubaki uwongo? Ona ushahidi kuhusu COVID-19 ambapo Tanzania ni nchi pekee duniani isiyo kuwa na maambukizi kwa wiki 46.
Wagombea wenu waliamini bandiko zenu kwenye mitandao ya kijamii kumbe yalikuwa matango pori. Sasa mnawaaminishi kuwa baadhi ya viongozi wa vyombo vya Serikali watafikishwa ICC. Na wao badala ya kujipanga upya kwa ajili ya Chaguzi zijazo, nao wanaamini hivyo.
Tabia hiyo ndiyo imekuwa msumari wa mwisho kwenye jeneza la upinzani nchini
View attachment 1628163
Acha ujinga!Hivi unajuaje watu hawaumwi bila kuwapima?
I wonder!