Ndio mana nikakwambia acha ujinga!Wachezaji 12 ni representation ya Watanzania milioni 60?
Stop this nonsense!
Wachezaji the most taken care of ,the most priveledged,richest citizens of this country ndio wewe unawachukulia ndio representation of all people of this republic?
Like really?
Hivyo John akipimwa corona akakutwa hana,basi wewe Crimea huna by induction?
Hivi ugonjwa wa virus wa mtu fulani unapimwa by induction au kwa matokeo ya majibu ya mwingine?
Hivi unatuona sisi ni wapumbavu sana eeee?
Wewe bwana acha ujinga wa hesabu zako hewa.naona una kichaa sasa
mjinga ni wewe hapo....
kuchukua watu 12 kati ya watu milioni 60 ukawapima hawana korona una declare nchi nzima haina korona,wewe ni kichaa kama unaamini huo upumbavu!
huwezi kujua status ya mtu ya ugonjwa bila kumpima,sasa sijui watu 60,000,988 uliwapima lini na majibu yao yako wapi tuone kweli hawana korona?
unasemaje mtu hana ugonjwa wakati hujampima?
hiyo sentensi unaitoa wapi kama wewe sio kichaa?
Unadhani kwanini amshukuru mungu?Uliandika vema kosa kushukuru mtu badala ya mungu.
Praise team.TANZANIA KUTOKUWA NA CORONA KATIKA TAARIFA ZA JANA ZA DUNIA KUMEWACHENGUA WAZUNGU.
Leo 18:30hrs 16/11/2020
Leo nilizungumza na Wachina waliokatazwa na nchi yao ya China kurudi kwao China kwa sababu huu ni msimu wa baridi China na kama mtakumbuka mwezi huu ndio kicorona kilianza uko China, Wachina hao wapo Kariakoo wanadunda washasahau hata kuvaa barakoa, nao pia wanashangaa kwa nini wenzao China wanakufa, na uko Marekani,
Leo pia nikakutana na Wazungu sita kutoka Poland, Ujerumani, Marekani na Uingereza wazungu waliniuliza hali ilikuwaje mwezi March na April wakati wa corona nikawaambia tulikuwa hivi hivi mnavyotuona.
Wazungu hao wakasema tuliambiwa mngekufa kama kuku barabarani maana Marekani walikuwa wanakufa hadi yakatengenezwa masemitrella pembeni ya barabara mtaani kuweka maiti, nikawaambia maneno yanaumba, sisi Rais wetu John Magufuli alisema Mungu aliyetuumba atatulinda. Sifa na shukrani tunamrudishia Mwenyezi Mungu aliyetulinda hata corona ikatushindwa, wakafurahi wakavua barakoa zao na kuanza kukumbatia wabongo Kariakoo,
Mdada wa kizungu mjamzito wa miezi 3 kutoka Marekani yeye alisema anatamani waendelee kukaa Zanzibar maana kwao ni kufungiwa tu anatamani ajifungulie Tanzania, tatizo Visa yake ni ya wiki mbili tu, God is real here, God has favoured Tanzania, Tanzania is another Israel niliwasikia wakiongea huku wakitafakari sana juu ya Mungu alichowatendea Watanzania.
Ndugu zangu Mungu anaweza, Mungu anajibu Maombi, tulimuomba Mungu atulinde na corona na hakika ametulinfa na leo kila kiumbe duniani kinaishangaa Tanzania, Ndugu zangu imani yetu isiwe tu baada ya Maombi kujibiwa na Mwenyezi Mungu, tuamini kabla, sasa na tuendelee kuamini Mungu anaweza kila kitu kwa kuwa ndiye aliyetuumba.
Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854
Heri aenezae habari njema na zenye tija, sasa ulitaka aeleze mapungufu ili iweje.. Mwenzako kaona mema kayasema, wewe unayeona mabaya yaseme na uyatolee ufumbuzi basiUnatafuta teuzi kwa nguvu na umekuja kasi Sana, kwa siku unaleta uzi nyingi za kusifia tu. Kwamba Hakuna mapungufu hata kidogo.
Watanzania bana..... mnaugua, mnakufa halafu mnajifariji.TANZANIA KUTOKUWA NA CORONA KATIKA TAARIFA ZA JANA ZA DUNIA KUMEWACHENGUA WAZUNGU.
Leo 18:30hrs 16/11/2020
Leo nilizungumza na Wachina waliokatazwa na nchi yao ya China kurudi kwao China kwa sababu huu ni msimu wa baridi China na kama mtakumbuka mwezi huu ndio kicorona kilianza uko China, Wachina hao wapo Kariakoo wanadunda washasahau hata kuvaa barakoa, nao pia wanashangaa kwa nini wenzao China wanakufa, na uko Marekani,
Leo pia nikakutana na Wazungu sita kutoka Poland, Ujerumani, Marekani na Uingereza wazungu waliniuliza hali ilikuwaje mwezi March na April wakati wa corona nikawaambia tulikuwa hivi hivi mnavyotuona.
Wazungu hao wakasema tuliambiwa mngekufa kama kuku barabarani maana Marekani walikuwa wanakufa hadi yakatengenezwa masemitrella pembeni ya barabara mtaani kuweka maiti, nikawaambia maneno yanaumba, sisi Rais wetu John Magufuli alisema Mungu aliyetuumba atatulinda. Sifa na shukrani tunamrudishia Mwenyezi Mungu aliyetulinda hata corona ikatushindwa, wakafurahi wakavua barakoa zao na kuanza kukumbatia wabongo Kariakoo,
Mdada wa kizungu mjamzito wa miezi 3 kutoka Marekani yeye alisema anatamani waendelee kukaa Zanzibar maana kwao ni kufungiwa tu anatamani ajifungulie Tanzania, tatizo Visa yake ni ya wiki mbili tu, God is real here, God has favoured Tanzania, Tanzania is another Israel niliwasikia wakiongea huku wakitafakari sana juu ya Mungu alichowatendea Watanzania.
Ndugu zangu Mungu anaweza, Mungu anajibu Maombi, tulimuomba Mungu atulinde na corona na hakika ametulinfa na leo kila kiumbe duniani kinaishangaa Tanzania, Ndugu zangu imani yetu isiwe tu baada ya Maombi kujibiwa na Mwenyezi Mungu, tuamini kabla, sasa na tuendelee kuamini Mungu anaweza kila kitu kwa kuwa ndiye aliyetuumba.
Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854
Sasa hapo ni apple na chungwa. Ukimwi mpaka uzini ndio unapata, covid iko kwenye hewa inasambaa tu bila kizuizi, ingekuwepo kama unavyofikiria na kwa jinsi unaona watu wanajichanganya usingehitaji hata takwimu au darubini gani cjui ili kujua kwamba ugonjwa upo.Kwani ukimwi upo haupo? We unao? Me kutokuwa nao sio kwamba haupo mkuu...tumia hiyo kichwa vizuri hujapewa kichwa ufugie nywele man!
Kwa hiyo sio mpaka niupate ndo ujue upo sio?Sasa hapo ni apple na chungwa. Ukimwi mpaka uzini ndio unapata, covid iko kwenye hewa inasambaa tu bila kizuizi, ingekuwepo kama unavyofikiria na kwa jinsi unaona watu wanajichanganya usingehitaji hata takwimu au darubini gani cjui ili kujua kwamba ugonjwa upo.
Uko US mkusanyiko wa kifamilia tuu unatosha kuambukiza wote walioko hapo, mkienda kanisani mfano baada ya siku 2 au 3 utaanza sikia fulani na fulani wanayo.
Kansa na ukimwi sio kama covid, covid inasambaa kwa hewa, sasa cjui kwa akili gaji hizo unalinganisha na ukimwi au kansa.Comment hii mwenye akili atakuwa kakuelewa.
Huwezi kusema ugonjwa haupo simply kwa sababu hujaugua.
Tuseme CANCER haipo coz mimi na familia yangu hatujaugua...
Everyday is Saturday...[emoji41]
Huu ni mwandiko wa PolepoleTANZANIA KUTOKUWA NA CORONA KATIKA TAARIFA ZA JANA ZA DUNIA KUMEWACHENGUA WAZUNGU.
Leo 18:30hrs 16/11/2020
Leo nilizungumza na Wachina waliokatazwa na nchi yao ya China kurudi kwao China kwa sababu huu ni msimu wa baridi China na kama mtakumbuka mwezi huu ndio kicorona kilianza uko China, Wachina hao wapo Kariakoo wanadunda washasahau hata kuvaa barakoa, nao pia wanashangaa kwa nini wenzao China wanakufa, na uko Marekani,
Leo pia nikakutana na Wazungu sita kutoka Poland, Ujerumani, Marekani na Uingereza wazungu waliniuliza hali ilikuwaje mwezi March na April wakati wa corona nikawaambia tulikuwa hivi hivi mnavyotuona.
Wazungu hao wakasema tuliambiwa mngekufa kama kuku barabarani maana Marekani walikuwa wanakufa hadi yakatengenezwa masemitrella pembeni ya barabara mtaani kuweka maiti, nikawaambia maneno yanaumba, sisi Rais wetu John Magufuli alisema Mungu aliyetuumba atatulinda. Sifa na shukrani tunamrudishia Mwenyezi Mungu aliyetulinda hata corona ikatushindwa, wakafurahi wakavua barakoa zao na kuanza kukumbatia wabongo Kariakoo,
Mdada wa kizungu mjamzito wa miezi 3 kutoka Marekani yeye alisema anatamani waendelee kukaa Zanzibar maana kwao ni kufungiwa tu anatamani ajifungulie Tanzania, tatizo Visa yake ni ya wiki mbili tu, God is real here, God has favoured Tanzania, Tanzania is another Israel niliwasikia wakiongea huku wakitafakari sana juu ya Mungu alichowatendea Watanzania.
Ndugu zangu Mungu anaweza, Mungu anajibu Maombi, tulimuomba Mungu atulinde na corona na hakika ametulinfa na leo kila kiumbe duniani kinaishangaa Tanzania, Ndugu zangu imani yetu isiwe tu baada ya Maombi kujibiwa na Mwenyezi Mungu, tuamini kabla, sasa na tuendelee kuamini Mungu anaweza kila kitu kwa kuwa ndiye aliyetuumba.
Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854
Uko deep! Statistics..Mjinga ni wewe bwasheee
Maana hao wachezaji wamejichanganya na watu wangapi per day?
Katika dilusion theorem,watu 12 watatumia karne ngapi kujichanganya na watu milioni 6 wa Dar es salaam pekee yake achilia mbali watu milioni 60 wa nchi nzima?
Jinga ni wewe kabisa
Unadhani ukiniambia wanajichanganya kwa scenerio ipi ya kuleta effect?kumbuka athletes ni most closed monitored group of prefessionals!
Acha hizo nyege wewe
amenTANZANIA KUTOKUWA NA CORONA KATIKA TAARIFA ZA JANA ZA DUNIA KUMEWACHENGUA WAZUNGU.
Leo 18:30hrs 16/11/2020
Leo nilizungumza na Wachina waliokatazwa na nchi yao ya China kurudi kwao China kwa sababu huu ni msimu wa baridi China na kama mtakumbuka mwezi huu ndio kicorona kilianza uko China, Wachina hao wapo Kariakoo wanadunda washasahau hata kuvaa barakoa, nao pia wanashangaa kwa nini wenzao China wanakufa, na uko Marekani,
Leo pia nikakutana na Wazungu sita kutoka Poland, Ujerumani, Marekani na Uingereza wazungu waliniuliza hali ilikuwaje mwezi March na April wakati wa corona nikawaambia tulikuwa hivi hivi mnavyotuona.
Wazungu hao wakasema tuliambiwa mngekufa kama kuku barabarani maana Marekani walikuwa wanakufa hadi yakatengenezwa masemitrella pembeni ya barabara mtaani kuweka maiti, nikawaambia maneno yanaumba, sisi Rais wetu John Magufuli alisema Mungu aliyetuumba atatulinda. Sifa na shukrani tunamrudishia Mwenyezi Mungu aliyetulinda hata corona ikatushindwa, wakafurahi wakavua barakoa zao na kuanza kukumbatia wabongo Kariakoo,
Mdada wa kizungu mjamzito wa miezi 3 kutoka Marekani yeye alisema anatamani waendelee kukaa Zanzibar maana kwao ni kufungiwa tu anatamani ajifungulie Tanzania, tatizo Visa yake ni ya wiki mbili tu, God is real here, God has favoured Tanzania, Tanzania is another Israel niliwasikia wakiongea huku wakitafakari sana juu ya Mungu alichowatendea Watanzania.
Ndugu zangu Mungu anaweza, Mungu anajibu Maombi, tulimuomba Mungu atulinde na corona na hakika ametulinfa na leo kila kiumbe duniani kinaishangaa Tanzania, Ndugu zangu imani yetu isiwe tu baada ya Maombi kujibiwa na Mwenyezi Mungu, tuamini kabla, sasa na tuendelee kuamini Mungu anaweza kila kitu kwa kuwa ndiye aliyetuumba.
Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854
Sasa wenye mamlaka watampataje bila mawasiliano mkuu?😂umeandika vema,
umesema vema,
na hayo yote ni mambo mema,
Ashukuriwe Mungu aliye juu,
ila ilikua hakuna umuhimu wa kuweka namba yako hapo;
Kuna watu wanajitoa akili sana.Hivi unajuaje watu hawaumwi bila kuwapima?
I wonder!