Tanzania kutokuwa na Corona katika taarifa za dunia kumewachengua wazungu

Vipi huyu aliyepiga kampeni nchi nzima,ambaye amejichanganya karibia na watu zaidi ya laki moja kaenda Ubeligiji hajakutwa na Corona.

Hii haitoshi hao watu zaidi ya laki nao watakuwa washajichanganya na watu wengine zaidi ya 50 lkn hamna chochote
 
Unajuaje kua hawaumwi bila kupima? Hivi hujui kua Covid-19 unaweza kua nayo bila kuonyesha any symptoms?
Nikapime nini wakati siumwi.Yaani sawa sawa uje uniambie tukupime malaria wakati mimi siumwi na sina dalili zozote za kuumwa.

Alafu mbona Corona mnaifanya big issues wakati ugonjwa unao ongoza kuwamaliza wa Africa Malaria hamuukomalii,manake Corona impact yake ndogo sana approximately equal to zero kwa sisi wa Wafrica.

Au ndio mnapima sababu ulaya wanapima? Acheni utumwa kifikra.
 
Sitaki kusoma ila nataka kujua kama umeweka namba ya simu au hujaweka?
 
Mkuu hawa jamaa wanaoshadadia Corona ipo nchini ni watu wa kuwapuuza, lengo lao wanataka nchi hii ipate majanga ili utawala uliopo uonekane wahovyo. Hakika watasubiri sana.
 
Una akili nzito sana kwenye uelewa! unaonekana ulimsumbua sana Mwalimu wako darasani kukufahamisha.
 
Hivi unajuaje watu hawaumwi bila kuwapima?

I wonder!
Hivi UNAUMWA KISHA UNAPIMA ?? AU UNAPIMA KISHA UNAUMWA? Nijibu kidha ndio nitajua Je una akili au unaigiliza akili. ... Unakula baada ya kupanda njaa. Au unapata njaa baada ya kula.
 
Una akili nzito sana kwenye uelewa! unaonekana ulimsumbua sana Mwalimu wako darasani kukufahamisha.
Mfocus na matatizo yenu nyinyi Wafrica na si kufanya eti ulaya kafanya,utumwa huo wa kifikra.

Yaani wewe unafanya sababu ulaya wanafanya ila reason hauna,kwako kila wanacho kifanya ulaya unaona sawa kwa akili yako ilivyo unaweza kuvaa koti kipindi cha joto kisa wakati huohuo ulaya wanavaa makoti,bila kufikiria ktk mazingira yako yalio kuzunguka.

Huu ndio upuuzi wanao ufanya Kenya anashindwa kufikiria ktk mazingira yanayo mzunguka anawatizama Ulaya,wakati mwaka huu wamevamiwa na nzige mara mbili wamekubwa na mafuriko mashamba yame haribiwa,kwa kifupi hawana chakula .Wao mwenyewe wamekili na WFP wakasema Kenya hawana chakula,sasa baada ya kushughulikia swala la chakula wanashugulikia Corona.

Siku wakikaa chini na kupiga mahesabu waliovuta kwa njaa,unakaweza ukakuta ni zaidi ya mara 10 ya waliovuta na Corona.
 
Kwa hiyo sio mpaka niupate ndo ujue upo sio?
Ugonjwa inaelekea ulipita ile mwanzoni na haukuwa na madhara kama mnavyotaka iwe. Nadhani watu wa WHO badala ya kulazimisha watu wapime wangetumia muda wao kujua kwa nn Africa haijaathirika kama walivyotabiri. USA kuna mji ilikuwa kila mtu 1 anaambukika wastani ya watu 3 au zaidi, sasa kwa jinsi tilivyojiachia ilitakiwa kila mtu 1 Bongo aambukize watu hata 100. Na jinsi huu ugonjwa ulivyo ni sawa na chawa wa kichwani, ukigusa tu unao.
 
Naona umeamua kuumwaga upupu unaokuwasha hapa! nani kakwambia uige Ulaya? Hebu tuliza akili na upunguze mihemko isiyokua na maana kisha fuatilia tena comments zangu huenda ukaelewa,ila kama umeamua kujitoa ufahamu kimakusudi hiyo ni juu yako,naona umejikoki kubishana!
 
Nani ana mihemko mimi hapo ulicho kiandika naona oya oya,bendera fata upepo.

Huna unachokijua zaidi kuiga,ukiulizwa mbona wenzetu wanafanya bila ya kijua wanachofanya wenzako wewe unakihitaji.
 
Nani ana mihemko mimi hapo ulicho kiandika naona oya oya,bendera fata upepo.

Huna unachokijua zaidi kuiga,ukiulizwa mbona wenzetu wanafanya bila ya kijua wanachofanya wenzako wewe unakihitaji.
Huu upupu uliouandika hapa nina uhakika akili yako ikikaa sawa na ukaja kujisoma tena basi utajisikitikia sana! naona unaruka ruka tu kama Kangaroo,sijui hata unajadili nini? umeshikilia eti kuiga ulaya!
 
Umeongelea data za USA hapo unajua wanapataje hizo data? Kwanini sisi bongo hatufanyi hivyo wanavyofanya wao kupata hizo data?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…