Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Hiyo ndio diplomasia wanayoipenda hawa makamanda.Diplomasia inayohitajika ni lazima ukubali kupumuliwa kisogoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndio diplomasia wanayoipenda hawa makamanda.Diplomasia inayohitajika ni lazima ukubali kupumuliwa kisogoni.
Mtoeni SASA mnachosubiri ni kipi hapo?? Nchi imeshatumbukizwa kwenye korongo na huyu ndoroboo!Ndugu yangu usiombe. Angalia Venezuela na Iran. Usiombe yatufike. Bora jiwe atoke
Wishful thinking.That can never happen.Na hata kama ikitokea,itakuwa ni kulipiza kisasi,taharuki,wivu na chuki itokanayo na yale yanayofanywa na serikali ya awamu ya tano.It is simply unbelievable.An African doing so well?Baada ya maongezi ya kina na kiongozi mmoja mwandamizi ndani ya taasisi nyeti, bila shaka uwoga umetanda kwamba tunaelekea kwenye vikwazo cha kiuchumi. 90%. Tanzania inabidi ianze diplomasia isiyo ya kawaida. Yaani high gear diplomacy
Licha ya misaada kusitishwa, kuna uwezekano wa travel ban pamoja na trade embargo dhidi ya Tanzania kwensa EU pamoja na Uingereza. Nadhani CCM wana jukumu la kutengua uongozi uliopo Marekani kwa kupiga kura ya kutokuwa na imani na kiongozi aliyopo madarakani kulinusuru taifa dhidi ya haya matatizo yanayokuja
MY TAKE; bora kusitishwa misaada, ila siyo trade embargo. Tutaumia sana Watanzania
Hata mimi mwenyewe nimeelewaTumeelewa kilichoandikwa
Flyover zote zilianzia kwa kikwete yeye kazikuta ujenzi ukiendelea si kwamba yeye ndiyo mwasisi wa maendeleo Nchi hiiAnatupumbaza na flyover zake utadhan tutakula hizo flyover/ imagine napita pale juu ya flyover then natekwa na watu wasiojulikana,kwahiyo utajua as country tupo kwenye messy kwamaana halisi
Ukitaka kujua athari za vikwazo muulize Iran hata dawa za raia wake ni shida na ni shida kweli.We achana na vikwazo.
Wewe vipi,?? Hivyo vikwazo unavyoviomba unadhani wakubwa vitawagusa??!!, ni sisi walalahoi ndio tutakufa kwa vikwazo kutoka nje na KUKAMULIWA KODI kutoka ndani.
Flyover zote zilianzia kwa kikwete yeye kazikuta ujenzi ukiendelea si kwamba yeye ndiyo mwasisi wa maendeleo Nchi hii
Uhuru na Udikteta haviwezi kuishi nyumba moja. Hivyo basi hakuna mafanikio ya kiuchumi bila Uhuru. Nchi yoyote ambayo raia wake wanaishi kwa hofu haiwezi kufanikiwa.
Hata mimi hapa mkuu, acha tuwekewe vikwazo kabisa, ndio angalau ccm iweze kuona hata mataifa ya ulaya yanaona ile shinda ikoHivi vikwazo vya magufuli visivyo rasmi bora tuwekewe vilivyo rasmi mpaka atakapokubali Demokrasia mimi naunga mkono vikwazo .
Wasitake kujifanya miungu watu,tunao marafiki zetu wengi tu kutoka urusi,uchina n.k .Wao wakisusa wenzao wanakula!
Malaya pekee hupenda rafiki wa kiuchumi,sie Tanzania sio Malaya!Mchina ni Mkoloni komba mwiko yeye hukimbia pindi Nchi ikiwa haina pesa hafai kuwa rafiki wa kiuchumi
Mwambie asijisumbue, hawalogeki wale. Kama wamemshindwa Lisu, watamweza wapi Mzungu!!!?Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite sasa yupo na vikao na kamati zake za ufundi akijaribu kuwambia kama kungekuwa na uwezekano kamati iwaroge wazungu wote ulaya wapate kufagilia Serikali yao ya kisukuma toka kolomije na chato.
Vikwazo huwakumba wao pia kwani pesa zao kwenye mabenk ya nje huzuiliwa na wenye mali na majumba nje ya nchi hutaifishwa
Hii Habari ni uongo mtupu. Ni propaganda za gazeti la East African la Kenya kuichafua Tanzania na sijui wanafanya kwa maslahi ya Nani au ni Nani amewatumaBaada ya maongezi ya kina na kiongozi mmoja mwandamizi ndani ya taasisi nyeti, bila shaka uwoga umetanda kwamba tunaelekea kwenye vikwazo cha kiuchumi. 90%. Tanzania inabidi ianze diplomasia isiyo ya kawaida. Yaani high gear diplomacy
Licha ya misaada kusitishwa, kuna uwezekano wa travel ban pamoja na trade embargo dhidi ya Tanzania kwensa EU pamoja na Uingereza. Nadhani CCM wana jukumu la kutengua uongozi uliopo Marekani kwa kupiga kura ya kutokuwa na imani na kiongozi aliyopo madarakani kulinusuru taifa dhidi ya haya matatizo yanayokuja
MY TAKE; bora kusitishwa misaada, ila siyo trade embargo. Tutaumia sana Watanzania