Wewe umezaliwa mwaka gani?!, au hujasoma historia baada ya vita vya Uganda na Tz, hali ya uchumi wa Tz ilikuwa vipi, kila kitu kilikuwa kwa KAYA (ration), bidhaa zote muhimu zilipatikana kwa shida kubwa mno sababu ya jeuri ya nyerere kutokusikiliza wengine, Gadaffi alitaka kulipa gharama yote ya vita ili askari wake tuliwateka tuwaachie huru lakini Nyerere (mungu amrehemu) kwa "jeuri" akakataa "ransom" na akawaacha huru bila chochote, hali ya uchumi ikawa mbaya mno, lakini Watz ni kama " kondoo na nyumbu", hali ikawa nzuri baada ya kuingia MZEE Ruksa ndipo Gadaffi akaleta mafuta bure kwa muda mrefu na uchumi ukaanza kuimarika na kukua.
Watz, ni "kondoo na nyumbu" na hili jambo ni mpango wa Mungu tuwe hivyo labda lina faida kubwa hapo baadaye.